kitumtui,Tupo Chuo kujifunza jinsi ya kutetetea maisha ya watanzania ambao wengi ni masikini tunaomba mtuunge mkono kwani bila msaada wenu hatutaweza...
Wanafunzi wa UDSM ni wazembe period!
wanayo access ya internet 24/7 sasa mmeshindwa vipi kuwa active humu au kuwa na forums zenu?
anywa..ombi lenu tumeliona lakini kwa sasa tuko bizee na Mustafa Mkullo
Mkuu, wawie radhi... Wako katika nyakati za kuchanganyikiwa kwa sasa. Nashukuru kwa maoni yako na mapendekezo.Hawa si ndio waliandama kuwaunga mkono mafisadi sijui CCM na ma T-Shirt yao ya kijani na njano?
Na katika mawazo yote jaribu kutumia usomi wako kuchambua cha kukusaidieni. Connect the dots and you'll succeed. Wajibu wangu ni kukuombeeni kwa wadau wajaribu kuwapa namna mbadala za kupata suluhu ya tatizo lenu.NDIO MAANA TUNALETA KWENU TUPATE MAWAZO ZAIDI YA KULITATUA HILI TULILONALO SASA HIVI.
Jamani hadi inafikia hatua ya kuomba msaada sio kwamba hatujajaribu njia nyingine. Labda tu ni kwamba aliyeomba msaada ameuwasilisha vibaya kwa kuomba msaada wa kugoma. Ila kama mahakamani hata katika uchaguzi wa mwaka jana tulijaribu kwenda mahakamani ila tarehe za kesi zilivyopangwa tukajua hapa hatutapata kitu. kuhusu hii ishu ya mwaka huu tulijaribu kufikiri kususua uchaguzi lakini nahisi kuna watu watafaidika zaidi. NDIO MAANA TUNALETA KWENU TUPATE MAWAZO ZAIDI YA KULITATUA HILI TULILONALO SASA HIVI.
Hawa nao cjui namna gani utawakuta muda woote wakichat kutafuta mademu tu.Kuna wengina hata anuani za barua pepe hawana!wanayo access ya internet 24/7 sasa mmeshindwa vipi kuwa active humu au kuwa na forums zenu?
Ila Wanafunzi majority wa Chuo kikuu wanudhi sana, leo wanalia wanaonewa kesho Makamba akiitisha mkutano Diamond Jubilee hawa jamaa watavalishwa Tshirt za Kijani Wakiwa wamepandishwa kwenye Mabasi wakiimba nyimbo za Kumsifu Makamba, ni lazima kwanza wabadilike hawa Watoto,
Kuna wengina hata anuani za barua pepe hawana!
Hawa nao cjui namna gani utawakuta muda woote wakichat kutafuta mademu tu.Kuna wengina hata anuani za barua pepe hawana!
Mhhh!
Hizi vurugu zote nini hasa tatizo???