mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 136
- 42
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...2achen vimwana jaman 2some..
Weka picha mkuu tuone huyo mjinga anavyoninginia!!
Acha kudanganya watu asingefikisha umri huo.Ina maana hujui kuna mother-to-child infection pia? Watoto kadhaa waliozaliwa post 1983 ni waathirika kwa njia hii!....Poor kid......how some of you vilify him make my stomach turn upside down
Acha kudanganya watu asingefikisha umri huo.
Lete ushahidi wa kupinga nilichosema na siyo link kama za JF tu ambazo ni Q & A.Ok Mr Doctor-who-knows-it-all ........ many thanks
How Long Can A Baby Live When Infected With Hiv/Aids? - The Body
Lete ushahidi wa kupinga nilichosema na siyo link kama za JF tu ambazo ni Q & A.
duuuh HIV noma lakini jamani
rip kijana mdogo
so alianza mapenzi secondary? ni hatari lakini
my goodness!Hakuwa na haja ya kujiondoa uhai wake,inasikitisha kijana anapoamua kuchukua maamuzi mazito dhidi ya maisha yake.Kwa kweli Mwenyezi Mungu amsamehe bure nadhani na namna ambavyoalitafsiri kwa haraka juu ya ukimwi but kama angempata mshauri mzuri yasingetokea.R.I.P Dickson!
watu wajiepushe kupata HIV