UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

Zomba, Zomba. Hata hapa unaingiza udini? Waliotafuta kiwanja wakina Chief Patrick Kunambi walikuwa waislamu? Huyo Aga Khan leo mmemuona muislamu? Hawa waismaili si kila siku mlikuwa mnawakataa! Leo nongwa. Hivi ni nani alimzuia Aga Khan kuanzisha Chuo Kikuu? Mbona mlipewa nafasi Chang'ombe na hamna kilichofanyika isipokuwa kuweka jiwe la msingi? na hicho cha Morogoro ambacho mmepewa? Si mkatoliki mwingine aliyewapa? Huyo Nyerere unayemlani, si ndiye aliyezifanya shule zoteziwe wazi kwa watanzania wote, bila kujali dini wala rangi? Si huyo huyo alitufanya Tanzania tuwe na moja ya the highest literacy rate Afrika? Mchukie Nyerere na wakristu lakini muogope Mungu wako!

Fundi Mchundo:

Sikuona hiyo posti ya Zomba. Katika masuala ya elimu tuachane na masuala ya dini. Hili ni suala la kitaifa na tuzungumza kama watanzania.
 
Lakini nyerere aling'atuka mwaka 1985 na bado baada ya hapo kuna nchi kadhaa zilikua hazijapata uhuru kwa namna nyingine zilipata uhuru baada ya 1985 lakini leo zinatuzidi kwa kila kitu.

Si ndiyo maana yake, waswahili wanasema "kubomowa rahisi, lakini kujenga kazi".

Tumuombee JK awe na moyo huu huu alioanza nao wa kuendeleza elimu kwani tumeona jinsi within two years alivyotuwekea chuo kikuu kipya, mashule ya sekondari kede-kede na vyuo vingine vipya kama kumi vipo njiani. Tuombe aendelee na moyo huo huo.
 
Zomba, Zomba. Hata hapa unaingiza udini? Waliotafuta kiwanja wakina Chief Patrick Kunambi walikuwa waislamu? Huyo Aga Khan leo mmemuona muislamu? Hawa waismaili si kila siku mlikuwa mnawakataa! Leo nongwa. Hivi ni nani alimzuia Aga Khan kuanzisha Chuo Kikuu? Mbona mlipewa nafasi Chang'ombe na hamna kilichofanyika isipokuwa kuweka jiwe la msingi? na hicho cha Morogoro ambacho mmepewa? Si mkatoliki mwingine aliyewapa? Huyo Nyerere unayemlani, si ndiye aliyezifanya shule zoteziwe wazi kwa watanzania wote, bila kujali dini wala rangi? Si huyo huyo alitufanya Tanzania tuwe na moja ya the highest literacy rate Afrika? Mchukie Nyerere na wakristu lakini muogope Mungu wako!

Naomba usibadilishe mada, East Africann Muslim Welfare Society haikuwa ya Aga Khan peke yake, ilikuwa ni kwa waIslam wote wa Afrika Mashariki, yeye alikubali kufinance chuo kikuu cha Dar. Na nadhani inspite ya wazo la chuo kikuu kuchukuliwa na serikali still alichangia. Sileti udini ila nakumbusha historia na mfubao wa elimu. Siko katika mada hii kujuwa wala kujibu nani muislam nani si muislam. Wala siwachukii wakiristo, la, la, hata chembe, nachukia waliowabadilishia wakiristo yaliyomo kwenye kitabu. Na hapa si mahala pake. Kama nilivyokuambia hapo juu mada ni mfubao wa elimu nami nimesema ni nyerere ndie sababu, na si kwa ukiristo wake, la hasha, bali ni kwa maamuzi yake mabovu. Hata angekuwa ni Mu Islam lakini kama anafanya makosa ntamueleza tu, kwani katika uIslam hakuna kuoneana haya kwenye haki.
 
Mushobozi:

Mimi sina bifu na UDSM lakini siku zote napinga myth. Chuo kikubwa kabisa katika nchi kinatoa wahitimu 3000 kwa mwaka na bado watu wanaona mafanikio. Hayo sio mafanikio katika nchi yenye watu 34 Millioni na zaidi.

Kwenye website za UNESCO, zinaonyesha kabisa kuwa watanzania wanajiandikisha kwa wingi katika elimu ya msingi (700,000). Idadi ya wanaofanya mitihani ya O level ni 50,000. Na wanaomaliza High school ni 20,000. Na wanaomaliza UDSM 3,000. Kwa uwiano wa wanaojiandikisha shule za msingi na wale wanaomaliza universities, Tanzania hipo nyuma sana hata kwa standard za Afrika.

Katika maendeleo ya sasa wahitimu wa vyuo vya juu ndio wanaoleta maendeleo. Katibu muhtasi mwenye digrii anamsaidia vizuri sana bosi wake kuliko yule anayejua kupiga chapa tu.

Na ukiangalia zaidi ni kuwa nchi za dunia ya tatu zenye kufaidika na wawekezaji kutoka nje ni zenye wasomi kwa sababu wasomi wataleta ufanisi wa kazi.

Nchi kama Tanzania isiyo na wasomi itaendelea kwa miaka mingi ijayo kupata wawekezaji katika sekta za madini au uchumaji maliasili. Katika sekta hizi siku zote atakeondoka na bonge nono ni mwekezaji tu.

Naam Bin maryam
Nikweli kipimo halisi cha elimu ya juu ktk nchi husika kipo mkabala sambamba na uchumi wa nchi, kufeli kwa uchumi ni matokeo ya kufeli kwa elimu ya juu .
Hawa wanaobisha waangalie nchi zinazofanya vizuri ktk uchumi ndizo hizo hizo zinazoongoza kwa ubora wa elimu na ranking ya vyuo vyake ipo juu.
Huu mfubao wa uchumi wetu ni matokeo ya mfubao wa elimu ya juu ambayo yamesababishwa na udsm , tz bado tuna nafasi nzuri ya kurekebisha uchumi wetu na kua nchi babe afrika kama marekebisho ya elimu ya juu yatafanyika haraka iwezekanavyo,tz ina kila sababu ya kua moja ya nchi tajiri ila tatizo lake ni kwenye elimu tu.
Udsm ndio chanzo cha mfubao wetu kielimu pia kiuchumi
 
Naomba usibadilishe mada, East Africann Muslim Welfare Society haikuwa ya Aga Khan peke yake, ilikuwa ni kwa waIslam wote wa Afrika Mashariki, yeye alikubali kufinance chuo kikuu cha Dar. Na nadhani inspite ya wazo la chuo kikuu kuchukuliwa na serikali still alichangia. Sileti udini ila nakumbusha historia na mfubao wa elimu. Siko katika mada hii kujuwa wala kujibu nani muislam nani si muislam. Wala siwachukii wakiristo, la, la, hata chembe, nachukia waliowabadilishia wakiristo yaliyomo kwenye kitabu. Na hapa si mahala pake. Kama nilivyokuambia hapo juu mada ni mfubao wa elimu nami nimesema ni nyerere ndie sababu, na si kwa ukiristo wake, la hasha, bali ni kwa maamuzi yake mabovu. Hata angekuwa ni Mu Islam lakini kama anafanya makosa ntamueleza tu, kwani katika uIslam hakuna kuoneana haya kwenye haki.

Zomba unayetaka kubadili mada ni wewe,Mkuu. Hii mada inahusu UDSM kuwa chanzo cha mfubao...... Haiuhusu nani kaanzisha UDSM. Au una maana kuwa angekiendesha Aga Khan (na sio waislamu wengine maana tumeona yalivyotokea kwenye elimu ya sekondari) huo mfubao usingekuwepo?

Sasa hicho Chuo alichotaka kuanzisha Aga Khan kinahusu nini University College of Dar es Salaam? Hii ninavyofahamu mimi chanzo chake kilikuwa Mnazi mmoja ndipo kikajengwa pale Msewe. Wazo lilikuwa ni kujenga Chuo Kikuu cha taifa na sio cha dini moja. Huyo Aga Khan angekuwa na nia ya kujenga Chuo Kikuu wakati ule angejenga kama alivyofanya kwao Pakistan. Wakati ule milango ilikuwa wazi na palikuwa hamna sababu ya yeye kutokujenga chuo parallel na hicho Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambacho kilikuwa sehemu ya Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki. Kama Nyerere alikuwa hataki waisalmau waanzishe chuo, ile nafasi ya chang'ombe alitoa nani? Maana hata wakati ninacheza halaiki jiwe la msingi lilikuwepo! Hapana, ndugu yangu, una nyodo na wakristu na posti zako zinaonyesha. Unamsifia JK, mbona haumsifii Mkapa aliyewapa bure kilichokuwa Chuo cha Tanesco pale Morogoro? Kwenye mambo kama haya tusiruhusu dini zetu zi'cloud' mtazamo wetu.

'nuff said.
 
Mada inahusu UDSM na Mfubao wa elimu, na may point is, mfubao wa elimu umesababishwa na nyerere na nikatowa vikolombwezo vya historia ili watu wasifikiri kuwa hata hiyo UDSM ni wazo lake, kwani wengi humu hawajuwi UDSM how it came to be.

Kuhusu utaifa wa agakhan kama kwao ni pakistan au paris au iran au kenya, hilo mimi sijuwi utachosema wewe mimi ntakubali. Kuhusu sifa, siwezi kusifu panya kwa kupuliza kwake, nikisifu inabidi nisifu na kutafuna kwake. Hakuna udini hapo, ukitaka udini kwenye historia ya elimu Tanzania, tutakuwekea wazi.

"After independence had been achieved in 1961 Muslims looked forward to the future with confidence. In 1962 a pan-territorial congress of all Muslim organisations was called in Dar es Salaam to discuss the future role of Islam in then free Tanganyika. The following organizations attended the East African Muslims Welfare Society, Da' wat Al Islamia Jamiatul lslamiyya fi Tanganyika, Jamiatil lslamiyya fi Tanganyika "A" and the Muslim Education Union. The congress agreed among other things of importance to establish a department of education under the auspices of the EAMWS. Muslims did not wait for the independence government to start fulfilling its pre-independence promise of redressing educational disparity between them and Christians. Muslims initiated their own plans to compliment government efforts. Plans were put on drawing board to build schools throughout Tanganyika and eventually build the first Islamic University in East Africa. The congress elected Tewa Said Tewa a Cabinet Minister, a veteran politician of the TAA and TANU founder member as Chairman of Territorial Council of the EAMWS. This was to be the beginning of antagonism between Muslims and the Christian dominated central government. Politics of conformity practiced during the struggle for independence now started to give way to politics of antagonism as Muslims started to initiate plans to change the colonial status quo."
 
Haya mambo ya dini nani kaanzisha hili na lile naomba tusiyahusishe naomba tuyaanglaie matatizo ya mfubao wa elimu yetu na hatima ya uchumi wetu.

Mie nafikiri Nyerere alipaswa kupewa pongezi sana na waislamu ktk suala zima la elimu maana huyu Nyerere alitaifisha shule nyingi za kikristu na kuzifanya Elimu sawa kwa watu wote.
Bila shaka wakati nyerere anachukua nchi shule karibu zote kuanzia middle school hadi high school karibu zote zilikua za wakristu na kama waislamu walikua nazo kwa tanganyika basi zilikua chache mnoooooooo.

Kifupi Nyerere kazi yake kubwa ilikua si kujenga uchumi Ila kazi yake ilikua kutuwekea misingi imara ya kitaifa kama vile umoja,upendo, kutoa elimu sawa kwa wote bila kujali misingi yao kidini,amani na baada ya kupatikana hiyo misingi akawakabidhi watu amabo wanajukumu la kuendeleza uchumi ambao ni UDSM bahati mbaya UDSM wamefeli kufeli kwao ni kufeli kwa uchumi wetu.

JK alipokua ufaransa juzi walimuuliza ni sababu zipi zinayoifanya tz kua masikini JK alisema hajui kwanini tz ni masikini.
JK alipokua nadhani Norway aliomba wataalamu huko na akasema watz hawana elimu ya kutosha ya kuingia mikataba yenye tija kwa taifa
JK ufaransa alishindwa tu ku combine na kusema tz ni masikini kwa sababu haina wataalamu elimu ya juu,wataalamu makini,wataalamu wabunifu ambao watatetea masilahi ya taifa.Na kama hatuna wataalamu ina maana elimu ya juu imefeli na kufeli elimu ya juu ni UDSM ndio imefeli hivyo tunatakiwa kutafuta mwarobaini.
 
samahani hizo statistics hazijatoka vizuri,ntazitengeza nizi edit samahani kwa hilo.
 
Katika hii ranking mbona MU na DIT siwaoni?

kimataifa chuo kinaanza kuingia kwenye list zake baada ya kuonyesha permanency ya kutoa products 5 mfururulizo. sasa je mzumbe ina products ngapi, sidhani kama zinazidi tano. pia DIT tumesema bado mlimani walikibania kuwa chuo kikuu, sasa unataka iweje. tutafurahi hata vyenyewe vikiingia kwenye capoon.

inamaana hili wewe wa UDSM ulikuwa hujui?
 
Mushobozi:

Mimi sina bifu na UDSM lakini siku zote napinga myth. Chuo kikubwa kabisa katika nchi kinatoa wahitimu 3000 kwa mwaka na bado watu wanaona mafanikio. Hayo sio mafanikio katika nchi yenye watu 34 Millioni na zaidi.

Kwenye website za UNESCO, zinaonyesha kabisa kuwa watanzania wanajiandikisha kwa wingi katika elimu ya msingi (700,000). Idadi ya wanaofanya mitihani ya O level ni 50,000. Na wanaomaliza High school ni 20,000. Na wanaomaliza UDSM 3,000. Kwa uwiano wa wanaojiandikisha shule za msingi na wale wanaomaliza universities, Tanzania hipo nyuma sana hata kwa standard za Afrika.

Katika maendeleo ya sasa wahitimu wa vyuo vya juu ndio wanaoleta maendeleo. Katibu muhtasi mwenye digrii anamsaidia vizuri sana bosi wake kuliko yule anayejua kupiga chapa tu.

Na ukiangalia zaidi ni kuwa nchi za dunia ya tatu zenye kufaidika na wawekezaji kutoka nje ni zenye wasomi kwa sababu wasomi wataleta ufanisi wa kazi.

Nchi kama Tanzania isiyo na wasomi itaendelea kwa miaka mingi ijayo kupata wawekezaji katika sekta za madini au uchumaji maliasili. Katika sekta hizi siku zote atakeondoka na bonge nono ni mwekezaji tu.

bin maryam, we are sailing in the same boat. mimi msikivu, nina uwezo wa kuchambua pumba na mchele, ili mradi tufike wote tunapotarajia.
 
samahani hizo statistics hazijatoka vizuri,ntazitengeza nizi edit samahani kwa hilo.

Mkuu hizi takwimu zako sizielewi Na hata hivyo mie sihitaji kujua waislamu/wakristu wangapi walienda/wapo shule ila mimi ninachojua kama sijakosea mashule mengi makubwa ya serikali sasa hivi yalikua ya wamisionari kama vile tabora boys na zingine Hata JK mwenyewe kasoma ktk shule hizo .
Hoja ni kutaka kuku onyesha jitihada za Nyerere zilikua makini kuleta elimu bora kwa kila mtz Mie nafikiri Nyerere sio chanzo cha mfubao wa elimu yetu.

Isingekua Nyerere leo tungekua chini ya dola ya makabila matatu 1.Wahaya 2. wachaga 3. wanyakusya
wamisionari walijikita kujenga shule nyingi sehemu hizi na ndio effect yake hadi leo ipo.
Lakini Nyerere alifanya juhudi za makusudi kutoa mtu siginda na kumpeleka uchagani,kumtoa mtu bagamoyo na kumpeleka uhayani maana huko ndiko kulikua na shule.

Nyerere mie naona hausiki ktk Mfubaisho wa elimu yetu bali alijenga misingi imala ya kuipata hiyo elimu ,tatizo lilopo ni hao walikabidhiwa kutuelimisha UDSM ndio wameifubaisha.
 
kimataifa chuo kinaanza kuingia kwenye list zake baada ya kuonyesha permanency ya kutoa products 5 mfururulizo. sasa je mzumbe ina products ngapi, sidhani kama zinazidi tano. pia DIT tumesema bado mlimani walikibania kuwa chuo kikuu, sasa unataka iweje. tutafurahi hata vyenyewe vikiingia kwenye capoon.

inamaana hili wewe wa UDSM ulikuwa hujui?
Mkuu mie ndio nimeshangaa ikabidi nigune tu nakundika shame
DIT wao ndio wametoa product ya kwanza mwaka huu.

Ukiongelea elimu ya juu unaongelea UDSM na ukiongelea mfubao wa elimu ya juu unaongelea kufubaa kwa udsm na ukiongelea kufubaa kwa udsm unaongelea pia kufubaa kwa uchumi na ukiongelea kufubaa kwa uchumi unaongelea maisha duni na maisha duni unaongelea ukosaji wa huduma na ukiongelea ukosaji huduma unaongelea watu wanaopoteza maisha kwa kukosa hiyo huduma .
 
Mkuu hizi takwimu zako sizielewi Na hata hivyo mie sihitaji kujua waislamu/wakristu wangapi walienda/wapo shule ila mimi ninachojua kama sijakosea mashule mengi makubwa ya serikali sasa hivi yalikua ya wamisionari kama vile tabora boys na zingine Hata JK mwenyewe kasoma ktk shule hizo .
Hoja ni kutaka kuku onyesha jitihada za Nyerere zilikua makini kuleta elimu bora kwa kila mtz Mie nafikiri Nyerere sio chanzo cha mfubao wa elimu yetu.

Isingekua Nyerere leo tungekua chini ya dola ya makabila matatu 1.Wahaya 2. wachaga 3. wanyakusya
wamisionari walijikita kujenga shule nyingi sehemu hizi na ndio effect yake hadi leo ipo.
Lakini Nyerere alifanya juhudi za makusudi kutoa mtu siginda na kumpeleka uchagani,kumtoa mtu bagamoyo na kumpeleka uhayani maana huko ndiko kulikua na shule.

Nyerere mie naona hausiki ktk Mfubaisho wa elimu yetu bali alijenga misingi imala ya kuipata hiyo elimu ,tatizo lilopo ni hao walikabidhiwa kutuelimisha UDSM ndio wameifubaisha.

ACHANA NA HAWA WANAOINGIZA DINI NA UKABILA. EBU TUMWAGE DATA HAPA ILI TUWEKE NCHI YETU KATIKA MSTARI ULIONYOOKA.
 
Haya mambo ya dini nani kaanzisha hili na lile naomba tusiyahusishe naomba tuyaanglaie matatizo ya mfubao wa elimu yetu na hatima ya uchumi wetu.

Mie nafikiri Nyerere alipaswa kupewa pongezi sana na waislamu ktk suala zima la elimu maana huyu Nyerere alitaifisha shule nyingi za kikristu na kuzifanya Elimu sawa kwa watu wote.
Bila shaka wakati nyerere anachukua nchi shule karibu zote kuanzia middle school hadi high school karibu zote zilikua za wakristu na kama waislamu walikua nazo kwa tanganyika basi zilikua chache mnoooooooo.

Kifupi Nyerere kazi yake kubwa ilikua si kujenga uchumi Ila kazi yake ilikua kutuwekea misingi imara ya kitaifa kama vile umoja,upendo, kutoa elimu sawa kwa wote bila kujali misingi yao kidini,amani na baada ya kupatikana hiyo misingi akawakabidhi watu amabo wanajukumu la kuendeleza uchumi ambao ni UDSM bahati mbaya UDSM wamefeli kufeli kwao ni kufeli kwa uchumi wetu.

JK alipokua ufaransa juzi walimuuliza ni sababu zipi zinayoifanya tz kua masikini JK alisema hajui kwanini tz ni masikini.
JK alipokua nadhani Norway aliomba wataalamu huko na akasema watz hawana elimu ya kutosha ya kuingia mikataba yenye tija kwa taifa
JK ufaransa alishindwa tu ku combine na kusema tz ni masikini kwa sababu haina wataalamu elimu ya juu,wataalamu makini,wataalamu wabunifu ambao watatetea masilahi ya taifa.Na kama hatuna wataalamu ina maana elimu ya juu imefeli na kufeli elimu ya juu ni UDSM ndio imefeli hivyo tunatakiwa kutafuta mwarobaini.

Hili sio suala la dini. Na kama lawama za Nyerere zinakuja, zije kwa siasa zake katika masuala ya elimu.

Shule zilizotaifishwa nyingi zilikuwa za dini lakini sehemu kubwa ya funding ilikuwa inatoka serikalini. Hivyo Nyerere alifanya vizuri kutaifisha shule. Nyerere alisomeshwa kwa schoolarship ya serikali lakini kazi alipangiwa katika shule ya dini. Na haya yalikuwa mapungufu makubwa ya serikali ya mkoloni.

Pamoja na kutaifisha hizo shule na kuzifanya kuwa za taifa, sera zake za kuendeleza elimu zilikuwa mbovu sana. Mpango wa UPE ambao ulikuza literacy rates ulikuwa ni mbovu. Wataalamu wa mambo ya elimu walitoa mapendekezo yao kuwa ili UPE iwe na mafanikio bila kupunguza kiwango cha elimu, ni lazime mpango uwe wa miaka 20 (long term). Mapendekezo hayo aliyakataa na kusema UPE inaweza kufanyika kwa mpango wa miaka 7 tu. Na katika mpango wake huo akatumia walimu wasio na mafunzo. Na matokeo mabovu ya mfumo mzima yalianza kuonekana kabla ya yeye kuondoka madarakani. Na kama mipango yake ingekuwa mizuri katika UPE, serikali ya Mkapa isingerudia kufanya mpango uliofanana na UPE miaka michache iliyopita.

Pamoja na kuongeza shule nyingi wakati wa mpango wa UPE bajeti ya elimu haikuongezeka kukidhi mahitaji ya wizara hiyo. Hivyo kuwa na sera na kutotoa pesa za kusaidia sera hizo ni sawa na kutokuwa na sera zenyewe.

Pia alikuwa nyuma sana katika sera za elimu ya juu. Model yake ilikuwa kwa watu wengi kuwa na elimu ya darasa la saba. Baada ya kundi hilo kuwe na kundi watu waliomaliza vyuo vya kati ambao watakuwa kama viranja. Na baada ya kundi hilo liwepo kundi la wachache wenye elimu ya juu watakaongoza wenzao.

Mfumo huu ulizungumzwa kwanza na William Edward Burghardt DuBois (mmoja wa waanzilishi wa Pan Africanism). Yeye alisema kuwa hili watu weusi waendelee ni lazima wawe na talented ten (asilimia kumi ya wenye vipaji).

Matalajio yalikuwa ni kutoa watu wenye vipaji kuendeleza jumuia zao. Siku za mwisho wa maisha ya DuBois alisema hawa talented ten wamekuwa ni dissapointment kwa jumuia za watu weusi. Badala ya kutumikia jumuia zao wamekuwa Bourgeoisie na mchango wao ni mdogo katika maendeleo ya mtu mweusi.

Watanzania wengi wanapoteza muda katika vyuo vya kati. Kwa maoni yangu vyuo vya kati vifanyiwe marekebisho hili viwe vyuo vinavyotoa digrii. Na wataalamu wa ngazi za kati (Viranja) wawe ni watu wenye digrii na sio diploma. Wahitimu wenye digrii wafanye kazi kama viranja katika miaka mitatu mpaka mitano ya mwanzo (Entry and Junior level). Na baada ya miaka hiyo waweze kushika senior position, lakini hizo senior position zitegemee performance yao ya miaka iliyopita.

Ukiajiri wanafunzi kutoka shule na darasa moja, bado kutakuwa na tofauti kati yao. Ukichukua wanafunzi kutoka shule moja campus tofauti, bado kutakuwa na tofauti. Na vile vile tofauti kati ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali ni kitu cha kutegemewa lakini sio cha kufanya chuo moja kuwa bora zaidi ya kingine. Mwajiri anapotoa ajira kwa wahitimu wapya ni lazima kutoa mafundisho ya utamaduni wa sehemu yake ya kazi, matarajio ya mwajiri na baadaye atumie angalau mwaka kuona ni jinsi gani mwajiriwa anafanya kazi yake vizuri.

Mpaka sasa utasikia wanasiasa wetu au wenye elimu ya juu Tanzania wanasema kutoa digrii kwa watu wengi kutawafanya wahitimu kuwa madreva wa taksi kama ilivyo Nigeria au Ghana. Kwa maoni yangu msimamo huu ni PURE CRAP. Watu wasinyimwe elimu kwa sababu ya ukosefu wa kazi. Mwenye digrii akiwa dreva wa taksi anafanya kazi hiyo kama stepping stone na lazima atakuwa na shughuli zingine za kuendeleza maisha. Mwenye elimu ndogo akiwa dreva wa taksi atafanya kazi hiyo kama way of life.
 
kimataifa chuo kinaanza kuingia kwenye list zake baada ya kuonyesha permanency ya kutoa products 5 mfururulizo. sasa je mzumbe ina products ngapi, sidhani kama zinazidi tano. pia DIT tumesema bado mlimani walikibania kuwa chuo kikuu, sasa unataka iweje. tutafurahi hata vyenyewe vikiingia kwenye capoon.

inamaana hili wewe wa UDSM ulikuwa hujui?

Kila kitu ni lazima kiwe na historia yake. Huwezi kuanzisha University na kuwa na PHds na Maprofessor katika anga zote. Hivyo ni lazima vyuo vingine vipewe nafasi za kujiendeleza.

Kwa miaka ya sasa kuwa na digrii ya kwanza sio big dili. Na kwa maoni yangu fani zingine zingetowa katika kanda au mikoa.
 
Mkuu umeeleweka vyema
 
Heshima Mkuu.
Hapo ndipo falsafa yawana u dsm ilipofeli vibaya kwa kung'ang'aniza watu kuishia elimu ya kati na ikiachia watu wa chache kupata elimu ya juu.
Na hiyo ndio sera iliyowapelekea kubana vyuo vingine vibaki vikitoa elimu ya kati kumbe ukiangalia kwa makini unaona hiyo elimu ya kati ni upotevu wa mda .
 
"After independence had been achieved in 1961 Muslims looked forward to the future with confidence. In 1962 a pan-territorial congress of all Muslim organisations was called in Dar es Salaam to discuss the future role of Islam in then free Tanganyika. The following organizations attended the East African Muslims Welfare Society, Da' wat Al Islamia Jamiatul lslamiyya fi Tanganyika, Jamiatil lslamiyya fi Tanganyika "A" and the Muslim Education Union. The congress agreed among other things of importance to establish a department of education under the auspices of the EAMWS. Muslims did not wait for the independence government to start fulfilling its pre-independence promise of redressing educational disparity between them and Christians. Muslims initiated their own plans to compliment government efforts. Plans were put on drawing board to build schools throughout Tanganyika and eventually build the first Islamic University in East Africa. The congress elected Tewa Said Tewa a Cabinet Minister, a veteran politician of the TAA and TANU founder member as Chairman of Territorial Council of the EAMWS. This was to be the beginning of antagonism between Muslims and the Christian dominated central government. Politics of conformity practiced during the struggle for independence now started to give way to politics of antagonism as Muslims started to initiate plans to change the colonial status quo."

Ndiyo maana nakwambia Zomba, chuki yako inakupa upofu. Hiyo Islamic University inahusiana nini na University College of Dar es Salaam? Haya University mlizuiwa na Mwalimu, hizo shule jee? Mbona mliishia na kinondoni? Mnatafuta uonevu hata pale pasipo na uonevu! Soma hapa chini kuhusu upande mwingine wa hiyo picha! Sasa mchawi nani kama siyo wenyewe. Hicho Chuo Kikuu unachozungumzia kilikuwa kijengwe Mombasa au Zanzibar lakini ilishindikana. Sasa UDSM wapi na wapi? Halafu soma jinsi waislamu wenzako walivyofurahia kutaifishwa kwa mashule mwaka 1968 kwa vile waliona kuwa wangepata nafasi ya kupata usawa katika elimu.Hiyo ni miaka arobaini iliyopita na usawa bado haujapatikana. Nani sasa alaumiwe, yule aliyefungua milango au yule aliyekataa kuingia. Udini wala Nyerere hawana nafasi katika mada hii.

The few Moslems who turned against the socialist politics were mostly of Asian origin. Some of the Moslem resistance was in the beginning channeled through the East African Muslim Welfare Society (EAMWS). It was founded in Mombasa in 1945 by the then Aga Khan with the aim of promoting Islam and raising the standard of living for the East African Moslems. Asian Shiites, especially Ismaili, dominated and financed the organisation, but Aga Khan recommended that all Moslems regard EAMWS as an organization with pan-Islamic ambitions. When its headquarters were moved from Mombasa to Daressalaam in 1961, the Nyamwezi chief and TANU opponent Abdallah Fundikira, regarded as Nyerere's principal political rival in the 60's, became the president of the organization. EAMWS concentrated on building schools and mosques, providing scholarships and spreading literature. There were also plans for founding an Islamic university in Zanzibar or Mombasa, but they were never realized. However, the Muslim Academy founded in Zanzibar in early 50s continued to exist as a training college for teachers of Arabic and Islamic education until it was closed down by the autonomous Revolutionary Government of Zanzibar in 1966. In regard to this it is interesting to note that Zanzibar has several times since January 1993 announced plans for a separate Islamic university and high schools connected to the University of Daressalaam; and since the middle of the 70s the Muslim Academy has been reopened, a new Muslim Secondary School has been built and Arabic has been adopted as the third official language of Zanzibar.

Because of the pan-Islamic tendencies and the capitalist oriented leadership of EAMWS, pro-TANU Moslems opposed it. The organization, it was claimed, constituted a threat to the ruling party. The antagonism culminated in 1968, when the organization was declared illegal in Tanzania. Other Moslem organizations were dissolved as well. Instead the pro-TANU Moslems, with several leading Qadiriyya sheikhs playing important roles, formed with the support of TANU the new national organization Baraza Kuu la Waislam wa Tanzania (Tanzania Muslim Council), BAKWATA, whose constitution was in large parts a copy of the TANU constitution. Because of the close connection to the ruling party and many leading Moslem politicians' interference in BAKWATA's activities, the role of the organization has been controversial. Its achievements have been limited due to poor finances. Criticism against BAKWATA increased during the 1980's, when the opposition to the socialist politics of Tanzania grew and liberalization started.

Under internal Moslem pressure and international Islamic tendencies BAKWATA has lately become somewhat more profiled. The organization has arranged lectures on Islam in different parts of the country and in 1987 it called on the government to reinstall the system of Moslem courts that existed in colonial and post-colonial times. With the increased profile international Islamic contacts are on the rise. Some Arab countries have financed new mosques, schools, scholarships, dispensaries and provided teachers to the newly established schools.

The question of schools and Islamic education has for a long time been Tanzanian Moslems' main issue. They had few equivalents to the mission schools whose activities not only spread Christianity but also led to a higher educational level among Christians. The decision by the TANU government to nationalize the schools in 1969 was therefore warmly welcomed by the Moslems. The Islamic schools which have been founded lately in a political climate more favorable to private initiatives, for example Kunduchi Islamic High School, seem to have an uneven standard but constitute an interesting development for the Moslems of Tanzania.

Tuwaache hawa wenzetu waliopitia huko na sehemu nyingine kama hizo waichambue mada. Mimi na wewe tuliokwepa umande tukae pembeni!
 
Mada inahusu UDSM na Mfubao wa elimu, na may point is, mfubao wa elimu umesababishwa na nyerere na nikatowa vikolombwezo vya historia ili watu wasifikiri kuwa hata hiyo UDSM ni wazo lake, kwani wengi humu hawajuwi UDSM how it came to be.

Kuhusu utaifa wa agakhan kama kwao ni pakistan au paris au iran au kenya, hilo mimi sijuwi utachosema wewe mimi ntakubali. Kuhusu sifa, siwezi kusifu panya kwa kupuliza kwake, nikisifu inabidi nisifu na kutafuna kwake. Hakuna udini hapo, ukitaka udini kwenye historia ya elimu Tanzania, tutakuwekea wazi.

"After independence had been achieved in 1961 Muslims looked forward to the future with confidence. In 1962 a pan-territorial congress of all Muslim organisations was called in Dar es Salaam to discuss the future role of Islam in then free Tanganyika. The following organizations attended the East African Muslims Welfare Society, Da' wat Al Islamia Jamiatul lslamiyya fi Tanganyika, Jamiatil lslamiyya fi Tanganyika "A" and the Muslim Education Union. The congress agreed among other things of importance to establish a department of education under the auspices of the EAMWS. Muslims did not wait for the independence government to start fulfilling its pre-independence promise of redressing educational disparity between them and Christians. Muslims initiated their own plans to compliment government efforts. Plans were put on drawing board to build schools throughout Tanganyika and eventually build the first Islamic University in East Africa. The congress elected Tewa Said Tewa a Cabinet Minister, a veteran politician of the TAA and TANU founder member as Chairman of Territorial Council of the EAMWS. This was to be the beginning of antagonism between Muslims and the Christian dominated central government. Politics of conformity practiced during the struggle for independence now started to give way to politics of antagonism as Muslims started to initiate plans to change the colonial status quo."

Mkuu Zomba,
Bado nasisitiza kwamba hujatenda haki kuleta malumbano ya kidini katika mada hii. Utatuhaibia mtiririko!
 
Back
Top Bottom