UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

UDSM ndio chanzo cha mfubao wa Elimu Tz

Mahesabu,

it seems you have not read my post well enough to realize the tone that I chose to use. In my post, I have not taken a 'Hosea' position and for your information I am in very good contact with my alma mater and I visit the university every once in a while whenever I go home.

These sentiments that Mkamap is throwing are similar to the sentiments that students who were selected to similar programs offered at DUCE and MUCE with the same programs at UDSM. Initially these students took a very inferior position compared to those at UDSM. Nasty sentiments were sent across. But with the diligence and commitment of the staff in this constituent colleges these sentiments are dying out because we have seen record performances from students in these constituent colleges.

I know of lecturers who failed to join UDSM but managed to join these other universities quite easily and hold grudges against UDSM. These are the proponents of some of these sentiments.

In my earlier post, I did not mean to support UDSM but rather try to understand where Mkamap was coming from. So if that did not work for you as it has not worked for Mkamap then you are also entitled to your own interpretation.

everything takes time after all UDSM may act in the manner it has chosen for the sake of quality. How would you allow an institute with only 1% PHD holders, 7% MA/MSC holders and 40% One degree holders with the rest being Advanced Diploma holders become a University? Think about this. But the good thing is that these colleges have worked hard in employing more qualified lecturers and have qualified part-timers in a bid of setting off better programmes. And as I said it is a process. Mkamap will always hear negative sentiments but he should work on getting a good degree rather than wasting his energy on negative comments. He and all those enrolled in these colleges are the salt for change in attitudes. Not me and not you mahesabu unless you are also a student/lecturer there.

If I did not respect his views in the first place I would not have had a good word for him. Maybe you are the one who needs a check for the way you responded.

Bi Mkubwa ukubali usikubali UDSM ndivyo inavyofanya kama alivyosema Mkamap. Vile vile naomba kupingana nawe BiMkubwa kuhusu data zako za % za Ph.D., MSc. etc ambazo umezitoa, kwani vyuo hivyo vingine vinao hao wengi zaidi ya hiyo percentage. Pili kwataarifa yako (NA kwa HAKIKA UNAJUA kuwa) ili upate kazi UDSM lazima ujuane na mmoja wao (hata muda mwingine hupenda kuangalia je PhD yako ni ya Canada au ni ya UK au ni ya Russia). Imewahi kunitokea hilo, kwani nilikuwa na qualification za juu zaidi kuliko mwenzangu lakini kwa vigezo hivyo hapo juu sikuweza kupata nafasi pale UDSM.

Kuhusu idadi ya PhD holders kwenye vyuo vingine tofauti na UDSM itazidi kuwa chini hadi hapo serikali itakapo wapa hadhi sawa wahadhiri wote kutokana na elimu yao. Yaani Mhadhiri UDSM analipwa mshahara (SCALES - wenyewe wanaziita PHTS)tofauti na Mhadhiri wa DIT hata kama wote wana PhD na even scientific publications zao ni sawa.
 
Ebwana Bin Maryam unaendelea je?
Mushombosi pia umefikia wapi? pia na wengine wote mmefikia wapi?

Bado tunaangalia na kutafakari namna bora ya kutekeleza mapendekezo kadhaa ambayo tumeyajadili hapo juu! Nadhani tutarudi na majumuisho na mambo mengine mengi!
Tuendelee na mjadala.
 
Ebwana Bin Maryam unaendelea je?
Mushombosi pia umefikia wapi? pia na wengine wote mmefikia wapi?

Najaribu kutafuta kamusi ya mambo ya kiswahili. Nilifikiri nakumbuka kiswahili kumbe mambo mengi yamenipotea.
Lakini kwenye website nitaweka tafsiri ya maneno kwa kila taaluma. Nataka kuanza na hisabati kwanza. Na hiyo kazi nitaifanya weekend hii.
 
vyema
Lakini mimi ningeshauri tutumie misamiati ya kiingereza kwa kuiandika kiswahili kama nchi nyingi hasa za ulaya zifanyavyo-

Mfano
co ordinate(majira ya nukta) sisi tunaandika koodineti
complex=kompleksi
Natural number= namba za kuhesabia(=?)
integer=namba aushi(=?)
Mingine inaweza kua misamiati migumu bora kutumia neno la kiingereza na kuliandika kiswaz.au mna sema je??
 
Nimekupata. Weekendi hii nitafanyia kazi.
 
all in all am inrolled in very ranked university than udsm.

Nani anabisha hapo udsm wasichana hawavui chupi ili wapite mitihani yao ??

I agree with you. However can you mention open and loud one example of the student who put off the under... and to whom.
 
tunakukaribisha ktk club ya kutengeneza vitabu kwa lugha ya kiswahili.

Bin maryam tu upudeti huko chunguni kumefikia wapi?
 
all in all am inrolled in very ranked university than udsm.

Hata hivyo hiyo ranki ya university si kitu kwangu kwangu mie nini nilichonacho kichwani mwangu

Hizo mentality zenu za udsm zimepitwa na wakati you must reform your mentality
kama kuna tuhuma udsm lazima watu wakubali na wazifanyie tathmini na kupata marekebisho ili tupate wataalamu bora mambo ya kukumbatia uozo acheni msiwe kama ccm wamekumbatia mabomu mpaka yanaanza kuwaripukia.

Nani anabisha hapo udsm wasichana hawavui chupi ili wapite mitihani yao ??
Nani anabisha huyo dr sijui prof masua hakuchomewa gari lake DIT ni sababu zipi naomba mniambie??

Hiyo udsm wakati inaanzishwa ilikua na ma prof wangapi,dr ms wangapi??
kuanza siku nyingi si kigezo, mnajua kuna vyuo vilianza kabla hata ya yesu lakini leo vinazidiwa na vyuo ambavyo hata miaka 20 havina.
So far what udsm had has done cha kujivunia na kusema chuo hiki ni mahili????

Egypt(misri) ni kati ya nchi kongwe duniani na ni nchi ya kwanza kustaarabika ndio maana wengine tunakwenda karne ya 21 wakati wamisiri wapo karibu karne ya 70 lakini ukongwe wao bado wamezidiwa mbali mno na chi changa kama canada, usa nkn.
hivyo ukongwe wa udsm si hoja ,hoja nikuchukua mhitimu wa udsm na mzumbe na dit pia ifm na kuona nani mfanisi ktk shughuli.

Wahenga wanasema, mtu akikosa huwa anasema "mbivu hizi sizitaki". Nafikiri nyie wandugu mnaoponda mlimani ni waleee ambao maksi za form six hazikutosha..!! Unajua hata kwenye harusi, wanaotoa michango kama TZS 5,000 au 10,000 huwa wanakuwa wanachonga sana na hujifanya wanajua matumizi kuliko wale walichangia TZS 100,000 na kuendelea. Sasa ndio the same katika hii situation, watu ambao maksi hazikutosha kuwaingiza mlimani wanakuwa wanasumbuliwa na hali ya kuji-feel inferior.

Mimi nawashauri, wasijione dhaifu, wakubali hali halisi kuwa UDSM bado kiko juu. Na sio katika kufundisha, no, ni katika kumjenga mwanafunzi katika hali ya kuwa "mpiganaji". That's why ma-investors wengi wanawaita "aggressive" and wanawapenda sana kwa sababu hiyo pamoja na kuwa wakiajiriwa, ukawaboa kesho yake hawapo, wanakutwanga resignation letter.

Sasa hilo comfo ndilo inabidi na nyie wa vyuo vingine mlijenge. Msipoteze muda kushindana na mlimani, manake bado kitakuwa bora duniani. Kama unakumbuka kiliwahi kuwa ranked kama cha 64 kwa ubora duniani. Sasa who are you kuki-rank kuwa cha chini kwa hapa bongo. Ukweli kuna vyuo vimeingia hapa bongo kupitia migongo ya vyuo kama IFM, navyo vinatoa kozi nzuri ambazo hazipo mlimani. But that's not the case. Hivyo vyuo kama MU kuna mdau mmoja wa JF aliwahi kutoa list ya fake P.h.d's. Then wewe unategemea nini katika rankings za kimataifa..??

Kuna mchangiaji ameongelea kuhusu wahadhiri na kudai kuwa UDSM nayo ilianza bila wahadhiri bora. Mimi silijui manake hata nilikuwa sijazaliwa. But ninachokumbuka ni kuwa ma-VC (kama unasoma chuo bora utaelewa code hiyo), wa kwanza kwanza walikuwa foreigners, ndipo wakaja wazawa. So, natumai hata wahadhiri wengi walikuwa foreigners. Pia ninachokifahamu, by then, mlimani ilikuwa na wanafunzi wachache sana, nahisi kila mwanafunzi alikuwa anakaa chumba chake. Kwa mantiki hiyo, kama umesoma ratio analysis, hapo utakuwa umeshapata ka-correlation kuwa hata demand ya wahadhiri haikuwa kubwa sana kama sasa hivi.

Muwe mnakubali facts. UDSM kina mapungufu pia, hakiko kamili. Na upungufu mkubwa unatokana na wanasiasa wasio na akili kukitumia kama ngazi ya wao kujijenga kisiasa. Ndio maana unakuta kuna ma-VC kama Mukandala ambao wamepata u-VC sio kwa sababu ya uwezo wa kitaaluma na uzoefu, la hasha, ni fadhila za kisiasa. Kwa wale wasiomfahamu Mukandala, huyu alishiriki sana kumbeba JK katika uchaguzi wa 2005. And wengi walitegemea jamaa apewe uwaziri. But ikabidi alipwe fadhila kwa kupewa u-VC. Sasa huyu jamaa hata akiambiwa na CCM kujaza wanafunzi with no regard to the available resources (i.e. majengo, wahadhiri n.k) yeye atajaza tu. Pia rushwa na ufisadi umezidi na nahisi hii hata kwa vyuo vingine pia ipo. Watu wanapewa hela za kuendeleza vyuo, wao wanakula. Pia ka-assumption kuwa walio na GPA kubwa ndio wanaoweza kufundisha. Sasa unakuta watu ni vipanga but delivery of nyanga inakuwa chini huku wakitunga pepa ngumu. Hii ni sababu ya kutokuwa na training maalumu za ualimu. Unajua ualimu sio swala la kukurupuka, ni swala linalotaka mtu awe na uwezo wa kucheza na saikolojia za wanafunzi wake. Na hili sio swala la GPA tu, ni swala la kusomea.
 
Ndugu yangu .
Naheshimu mchango wako ,maana kila mwisho wa mawazo ya mtu mmoja ndio mwanzo wa fikra za mwingine.

Harafu mimi nashindwa kuelewa kwanini watanzania tunapo pingwa kutoka upande wa pili mara zote tunajenga hoja za uadui ama kinyume nyume ili kuiua hoja hosika badala ya kuichukulia kama changa moto.

Na tatizo lingine tunapenda kuvumisha uvumi ambao hauna maana na kujikweza kusipokua nafaida wala maana yoyote ,hili la udsm kua ya 64 duniani hivi ni nani aliwanywesha sumu hiyo?? Maana wameshakuja watu kadhaa ktk maada hii wakidai hivyo.Ndg yangu kwa kukuhakikishia zaidi UDSM haipo hata kwenye 2000 elfu mbili bora.

Pia kuhusu swala la sizitaki mbichi hizi hii si kweli kabisa watu wangapi wamepata adimision mbili na hawajiungi na udsm.
watu wangapi wanasoma udsm na wakipata nafasi za nje wanaipiga chini udsm??? wanaenda zao,challenge zinapokuja tuzichukulie kama changamoto za kutujenga na si vinginevyo .Lakini jinsi mda unavyoenda ukweli unajiweka wazi zaidi.
 
mkamap, labda kipindi udsm inakuwa 64, alikuwa hajazaliwa, na ameoambiwa watu na watu. si unajua hata sisiem kuna mwenyekiti wa propaganda.

ila mimi ninawaombeni akina kishaza, ukiogopa kumkemea mtoto wako kuwa hapa kakosea utakuwa unamlemaza, hata kama atakuona mwema.
 
MUSHOBOZI
Kweli kabisa sisi sijui tumekua je? yani kukemeana na kuambiana ukweli eti ni uadui na eti na kumuonea gere unayamwambia ukweli

Na ukimpa sifa zisizo staili eti ndio rafiki wa kweli maajabu sana

hebu pitia ka habari haka japo hakana uhusiano sana.

Chuo Kikuu Malawi chaibuka mshindi shindano la Celtel

na Mwandishi Wetu

CHUO Kikuu cha Malawi kimeibuka mshindi katika shindano la Chemsha Bongo ya Celtel Africa Challenge dhidi ya Chuo Kikuu cha Strathmore cha Kenya katika awamu ya 11 ya mashindano ya wanafunzi kwa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na Kusini.

Meneja wa Huduma za Jamii wa Celtel, Tunu Kavishe, alisema jana kuwa mashindano hayo ambayo yataendelea kuonyeshwa nchini kupitia kituo cha televisheni ha ITV kwa wiki 16 yalianza kuonyeshwa wiki 10 zilizopita.

Alisema katika awamu ya kwanza, Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki cha Mikocheni, Dar es Salaam kiliibuka na ushindi dhidi ya Chuo cha Makerere cha nchini Uganda.

Katika awamu ya pili, Chuo Kikuu cha Kenyatta kiliibuka na ushindi dhidi ya chuo Kikuu cha St. Agustine kilichopo Mwanza.

"Katika awamu ya tatu, Chuo Kikuu cha Copperbelt cha Zambia kilipata ushindi dhidi ya Chuo Kikuu Kenyatta kutoka Kenya.

"Awamu ya nne ni Chuo Kikuu cha Egerton cha Kenya kilishinda dhidi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, awamu ya tano Stratmore waliwashinda Mzuzu, awamu ya sita Malawi waliwashinda Uganda Christian, ya saba Nkumba waliwashinda Chuo Kikuu cha Zambia na awamu ya nane Sokoine waliwashinda Mbarara," alisema Kavishe.

Alisema awamu ya tisa Kenyatta waliwashinda Hurbet Kairuki Memorial na wiki iliyopita Egerton iliwashinda Copperbelt.

Kavishe alisema mashindano hayo yanashirikisha vyuo vikuu mbalimbali kutoka Tanzania, Uganda, Kenya, Zambia na Malawi na kufanya vyuo hivyo kufikia 16.
 
watakuja na agenda ya kuwa it was by accident. i dont know untill when these accidents will be off?
 
Mimi ni mwanafunzi, a graduate student hapa mlimani na bahati nzuri nimekuwa ktk vyuo vikuu 2 kabla ya hapa. Ukweli hadhi ya chuo kitaaluma imeshuka mno. Hiyo ranking ya 64 haijawahi kushikwa na chuo kikuu chochote cha Africa. Kwa sasa vyuo vikuu 1000 vya mwanzo duniani kwa ubora viko Marekani. Africa tuko baada ya 3000. Tanzania SUA iko juu ikifuatiwa na UDSM. Tukubali tunashuka na sababu ziko wazi kuanzia utawala, waalimu, miundombinu isiyoendana na idadi ya wanafunzi, na masuala ya gharama za mafunzo kwa upande wa wanafunzi. Mfano, nimetonywa kuwa MBA thesis nyingi za hapa zinazalishwa hapo Sinza. Kuna Mafisadi wenye ofisi zao wameamua kujiajiri kwa kuwaandikia watu thesis kwa gharama ya 600,000-1 million. Je, tutafika hivi? TUTAFAKARI
 
MUata ndoto
Ndugu yangu unajua sisi hua tunapenda kupeana sifa za uongo walakini tunaangamia.
 
Mkamap,

I am worried that you could be an individual who is emotionally charged to bring forth such accusations. None of your comments have any grounding whatsoever and seem more as a result of your disgust of a few individuals who want to seem superior to those studying in other institutions.

I am a graduate of UDSM and graduated more than 10 years ago and never had such sentiments circulating on campus. I have taught at UDSM for more than 5 years and I have never had such sentiments.

Now, I can understand your point of view from what is happening right now and I could say that I believe your emotionally charged comments and I can only associate your sentiments as a result of this recent proliferation of universities and affiliated colleges.

If I were you and anyone put in a compromising position as being inferior, I would work hard to prove these claims as wrong. Right now it is quite early for new universities and colleges to compete with an old university that is highly ranked among other African universities but time, commitment, diligence and integrity will prove that other new universities are forces to deal with.

My advice, Hang in there, get a good degree - and when I say a good degree I mean 1st or upper 2nd class degree.

Please forgive me if I may sound patronizing but it is not my intention.

Good day.

You are absolutely right mom, lots of people of that kind ni wale wanaotapatapa kulazimisha degree zao ziwe recognized even if zipo chini.

udsm rocks man
 
Sikuwahi kutembelea hii thread! Sina mchango zaidi.......! Bimkubwa said it all!
 
all in all am inrolled in very ranked university than udsm.

Hata hivyo hiyo ranki ya university si kitu kwangu kwangu mie nini nilichonacho kichwani mwangu

Hizo mentality zenu za udsm zimepitwa na wakati you must reform your mentality
kama kuna tuhuma udsm lazima watu wakubali na wazifanyie tathmini na kupata marekebisho ili tupate wataalamu bora mambo ya kukumbatia uozo acheni msiwe kama ccm wamekumbatia mabomu mpaka yanaanza kuwaripukia.

Nani anabisha hapo udsm wasichana hawavui chupi ili wapite mitihani yao ??
Nani anabisha huyo dr sijui prof masua hakuchomewa gari lake DIT ni sababu zipi naomba mniambie??

Hiyo udsm wakati inaanzishwa ilikua na ma prof wangapi,dr ms wangapi??
kuanza siku nyingi si kigezo, mnajua kuna vyuo vilianza kabla hata ya yesu lakini leo vinazidiwa na vyuo ambavyo hata miaka 20 havina.
So far what udsm had has done cha kujivunia na kusema chuo hiki ni mahili????

Egypt(misri) ni kati ya nchi kongwe duniani na ni nchi ya kwanza kustaarabika ndio maana wengine tunakwenda karne ya 21 wakati wamisiri wapo karibu karne ya 70 lakini ukongwe wao bado wamezidiwa mbali mno na chi changa kama canada, usa nkn.
hivyo ukongwe wa udsm si hoja ,hoja nikuchukua mhitimu wa udsm na mzumbe na dit pia ifm na kuona nani mfanisi ktk shughuli.

This is sheer nonsense!
 
Back
Top Bottom