Quality guys!
Nafikiri UDSM are worried about mushrooming of tens of Universities in Tz without adequate equipment and staff!
Well sidhani kama ni wivu!
Way foward- MU, SUA, Dodoma, OUT, DIT wao wapublish na kuwa innovative na competitive kushinda hata UD- na kwa hiyo wapunguze kulia lia kama makinda ya ndege! Walishakuwa wakubwa tayari!
Napenda style aliyotumia kuelezea hii kitu huyu Mzelendohalisi. Hakuna haja ya kulialia. Work hard, prove them wrong!!! It has always worked for me... Tangu shule ya vidudu nimekuwa the odd-one na siku zote nime-prove them wrong.. Nilikuwa mdhaifu na nilitoka kwenye jamii ya dini na kabila ambamo watu hawaamini wanaweza kuwa wasomi wazuri. Hata walimu walinibeza. Mtaa nilikokuwa naishi pia watoto wasomi hawakuishi huko... Lakini nilipambana nikapita kwa flying colors kote wakabaki midomo wazi. Nilipofika colkege nikapata 1st class bachelor, ndio heshima ikasambaa rasmi. Sikutosheka, nilipofika kazini nikasema nataka kuwa tofauti na wale wasiopata 1st class. Basi ndani ya miezi mitatu jina juu!! Sasa nachagua kazi. Namshukuru Mungu kunipa ujasiri. Sisemi haya kwa kujidai/no-bragging lakini ili kuonyesha hakuna haja ya kupiga kelele kama makinda ya ndege. Piga msuli onyesha unaweza. Kama vyuo vinaona vinaweza ila wanahisi UD ni majungu, basi wathibitishe. Nchi ni yetu sote. Kama quality iko chini ni vijana wa kitanzania wataumia... hapo nadhani ndipo UD wanapoona uzalendo unahitajika, hasa wao wakiwa partiots wa higher educ in tanzania. Hii isiwe vita ya UD against UDOM, MU or whateva, ila vita ya quality education.Tusiwe watu wa kuogopa challange na kusema majungu. Quality ya educ ikiwa mbaya itaathiri kila mahala. Actually, hata UD yenyewe inahitaji mtu kuwapigia kelele wapandisha kiwango chake cha elimu, ila atakaepiga kelele inabidi awe amefikia kiwango fulani cha kujiamini.
Mungu ibariki Tanzania.