nikuweke
JF-Expert Member
- Sep 23, 2025
- 370
- 835
Safi kabisa. Policy ya sasa ni kuwawezesha watoto wa kikeMkaka
Safi kabisa. Policy ya sasa ni kuwawezesha watoto wa kikeMkaka
Unajikuta kichwa cha kompyuta sayansiKwa kada yangu mie, ni UDSM, DIT, MUST, ATC.
Nashukuru 1St round ikatiki UD, 😂😂😂😂
kwa matokeo yangu, ingekua ndo mwaka huu, MUST na DIT zingenihusu. Lol
Muhandisi wa komenti 😂Wee, mie ni muhandisi wa kitu fulani kikubwa, usinichukulie poa.
Mie nilisoma 1 kati ya hizi, ELE, CE, ME. CS ni cha mtoto hicho.
😂😂😂😂😂
Wa amani na upendo.😂😂😂😂😂 wee wa nini?
Kama umenitukana mwenyewe, kama ni mibaraka nawe ikupate zaid na zaidi.Pamadaku gaku veve.
Probably yes..Kushinda UDSM?
Kwa PCM 3, 4 na baadhi ya 5 ziko jumla ziko 472.Kati ya hao 50,tayari wako kambini kusoma nje ya nchi kupitia samia scholarship extended.Hata huyu wap CE? 1 ya t5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
ONE ya 3 na 4 Mwaka huu ni wenhi sana na Kitaifa wanafunzi wanaosoma sayansi wamekuwa wengi kuliko sanaa na BiashaaraHata huyu wa CE? 1 ya 5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
Si walikuwa wanasema jalalani? Kiko wapi?Kuna chuo kikuu halafu kuna Chuo kikuu kikuu cha Tz. Watu wanabisha ila kuna raha fulani kuchaguliwa UDSM.
NI chuo cha ndoto za wanafunzi wengi tukiwa sendokari.
Duuh polee yake sana, ajaribu kuangalia vyuo visivyo na competition, anaweza pata.ONE ya 3 na 4 Mwaka huu ni wenhi sana na Kitaifa wanafunzi wanaosoma sayansi wamekuwa wengi kuliko sanaa na Biashaara
Kuna Dgo O level ana One ya 8 Advance ana ONE ya 6 PCB Hadi sasa hajapata chuo chochote!!
Nani kakudanganya? Vipanga wengi, hukimbilia Civil, Electrical, na Mechanical, Telecommunications, petroleum kuna kipindi zilikua na soko, kwa sasa wengi wao wanalia,Kwa PCM 3, 4 na baadhi ya 5 ziko jumla ziko 472.Kati ya hao 50,tayari wako kambini kusoma nje ya nchi kupitia samia scholarship extended.
Muulize ni kweli amepata 5,isije ikawa kakudanganya.Because PCM vipanga wengi hukimbilia electrical,biomedical,telecommunication na petroleum.
Hii SIASA ime ingilia elimu yetu One 504?Matokeo ya mwaka umeyaona lakini? Hiyo ni shule moja tu tena ya kawaida