UDSM mwaka huu kuna nini?

Babuu

Afu mbona sijawahi kuwa kilaza, toka O level shule ya bweni (single sex), Advance Special School, Chuo UDSM hapo COET.

Sema nn sometimes najichetua ili maisha ya flow vile yanataka kuwa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nakuaminia hapo
,sie kambini huku Sudan/congo ukiona mwenzio kachapwa unachukua munduki kusonga mbere hamna kulala
 
Kwani ni lazima wachaguliwe UDSM!? Waombe Vyuo vingine
 
Wenye 1 ya 3 na 4 ni wengi saaana kwa hio wanawachukua hao na wenye 1 ya 5 ni wengi zaidi kwa hio chuo kinachukua cream yaan 1 ya 3 au 4 tu kwa mwaka huu sababu ni wengi elimu mseleleko kizazi cha AI
 
Kama wewe hukuona cha kusoma huko iweje wao? Kwanza hakuna hata mto, bahari tutakuwa tumewaonea sana watu wataogelea wapiπŸ˜‚
Kwa kada yangu mie, ni UDSM, DIT, MUST, ATC.
Nashukuru 1St round ikatiki UD, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwa matokeo yangu, ingekua ndo mwaka huu, MUST na DIT zingenihusu. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…