UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

Nashauri hela za kutengeneza katiba mpya zielekezwe kwenye miradi ya namna hii
 
Msaga sumu wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Waangalie isije ikawa kama yule aliyezindua mchezo wa kujirusha kutoka ghorofani🙁
 
Haha!, itakuwa ndo hivyo, wasitudharau eti! 😀
Hivi UDSM ndo ile ile UDOM? Nikisikiaga jina hilo huwa nakumbuka noodles flani za kichina, Udom Spiced, tamu kishenzi. 😀😀 Tiyari ute ushaanza kunidondoka! 😀
 
Nashauri hela za kutengeneza katiba mpya zielekezwe kwenye miradi ya namna hii
Kwani katiba mpya ili ikamilike inahitaji hela zaidi ya ile ambayo ilitumika kwenye rasimu? Au katiba mpya itazuia setelaiti kuruka?
Mbona hujasema pesa za kurudia uchaguzi wa marudio zielekezwe huku
 
Kwani katiba mpya ili ikamilike inahitaji hela zaidi ya ile ambayo ilitumika kwenye rasimu? Au katiba mpya itazuia setelaiti kuruka?
Mbona hujasema pesa za kurudia uchaguzi wa marudio zielekezwe huku
Jimbo kukosa muwakilishi ni tatizo ila nchi kutaka katiba mpya wakati iliyopo inajitosheleza ni ujuha!
 
Jimbo kukosa muwakilishi ni tatizo ila nchi kutaka katiba mpya wakati iliyopo inajitosheleza ni ujuha!
Ingekua inajitosheleza wananchi wasingetoa maoni yao katika mchakato wa katiba mpya, katiba mpya wananchi wanaitaka ila CCM hawaitaki
 
Udsm hii hii ya aliyopita lipumba, ********, kitila, warushe satellite...!!! Labda warushe jiwe
 
😀😀😀.. hilo puto hilo. Kuunda Bajaji mtihani, sembuse rocketi???? Danganya toto hizi
Mkuu si lazima kuundwa hapa Tanzania. Inaweza kuundwa nchi za nje lakini ikamilikiwa na kuendeashwa na Tanzania.

Kama vile Angola walivyotengeza satellite yao Ukraine lakini wanamiliki wao.

Suala hapo ni je pesa za kugharamia mradi huo zitatoka au zimetoka wapi?
 
Back
Top Bottom