Chuo cha DIT kurusha Satellite yao mwakani 2026

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,289
Reaction score
2,604
Dit satellite _20250713_084115_0000.png

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

images (43).jpeg

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.
 
View attachment 3403927

Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satellite 📡 yake ya kwanza angani ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa ujuzi , ubunifu na Teknolojia.

Chuo cha DIT kilianzia mpango huo Toka mwaka 2024 ambapo kiliweza kuingia mkataba na chuo kikuu cha RUDN Toka Urusi mpango huo huko kwenye hatua nzuri Sasa.

View attachment 3403928

Mpaka kufikia mwaka 2026 agosti basi Chuo cha DIT kitaweza kurusha satellite yake ya kwanza angani na ndo Itakua satellite ya kwanza kurushwa nchini Tanzania.

Kwa budget ipi?

Danganyeni wasiojielewa.
 
Ni jambo jema sana kwa nchi kama tuna wataalamu waliofikia hatua hiyo
 
Back
Top Bottom