UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.

Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.

Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.

Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.

Kila la kheri UDSM
Muda umekaribia, tunaomba maendeleo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongeraa
 
kwamba waliona 2023 ni mbali sana kutokea 2016, au mradi umeshaanza ila watanzania hatujui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imenikumbusha wazo la butter trade hasa kwenye suala la double coincidence
Hivi ni kweli uhitaji wetu ni satellite na uhitaji wao ni Sisi tujitegemee???
 
Hiyo satellite nadhani itakuwa ni kwaajili ya kufuatilia hali ya hewa kama ile iliyorushwa na wanyarwanda kwa kushirikiana na wajapan
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.

Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.

Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.

Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.

Kila la kheri UDSM
Jina lenyewe tu, tayari ni failure namba moja!

UDSM hii hii yenye maprofesa wanao tembea na kadi za ccm au?

By the way nilisikia panaitwa jalalani siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDSM Hanna kitu mbona wanafunziwenu wanakimbilia Arusha technical wakilalamika wanafundishwa theory tuu hamna vitendo vyakutosheleza mnafeli wp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee wanasayansi wakitanzania wanaweza kurusha ni vocha tu.
 
Yaani mkirusha tu hiyo satellite yenu mnakatiwa misaada yote na na Mabeberu, hiki ndio kiwango kwao kinaonyesha Tanzania sasa ni DONA KANTRY
 
Back
Top Bottom