kusema kwamba itakua sattelite ya kwanza Afrika mashariki hadi 2025 wa kenya washapiga bao watawahi kabla ya udsm
kweli hii long term project
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa nimeshamkaririNaina waswahili muda wote mnakua sirias sana ukisoma Post za Mtoa mada utacheka sio kila mda tujadili mambo sirias humu Msaga sumu post zake wengi hua hawamwelewi.wanakua na mihemuko na kila kitu kumbe n comedy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wananchi wanahitaji maendeleo wanasiasa (wapigaji)wanahitaji katiba mpyaIngekua inajitosheleza wananchi wasingetoa maoni yao katika mchakato wa katiba mpya, katiba mpya wananchi wanaitaka ila CCM hawaitaki
Hivi lissu hajapita UDSM?Udsm hii hii ya aliyopita lipumba, ********, kitila, warushe satellite...!!! Labda warushe jiwe
Umeme wa tabu UDSM. TANESCO wakikata Umeme hakuna masomo nyakati za Usiku. Leo ndo wanaongea huo upoooz😀😀😀.. hilo puto hilo. Kuunda Bajaji mtihani, sembuse rocketi???? Danganya toto hizi
Jamaa hapo umetuibia kidogo, angola satelite yao ilitengenezwa Urusi lakini bahati mbaya siku ya kuirusha ikapoteza muelekeo...kwahiyo bado hawana....ukraine hawana uwezo huo kwa sasa.Mkuu si lazima kuundwa hapa Tanzania. Inaweza kuundwa nchi za nje lakini ikamilikiwa na kuendeashwa na Tanzania.
Kama vile Angola walivyotengeza satellite yao Ukraine lakini wanamiliki wao.
Suala hapo ni je pesa za kugharamia mradi huo zitatoka au zimetoka wapi?
Ulisoma comb gan mkuu??Mimi sio mwana sayansi,je wakirusha kutakuwa na impact gani kwa watanzania?
Ahsante kwa kurekebisha taarifa.Jamaa hapo umetuibia kidogo, angola satelite yao ilitengenezwa Urusi lakini bahati mbaya siku ya kuirusha ikapoteza muelekeo...kwahiyo bado hawana....ukraine hawana uwezo huo kwa sasa.
Hivi UDSM ndo ile ile UDOM? Nikisikiaga jina hilo huwa nakumbuka noodles flani za kichina, Udom Spiced, tamu kishenzi. 😀😀 Tiyari ute ushaanza kunidondoka! 😀
Nilikuwa natania, ila tuachane na hayo ya UDSM, turudi kwenye UrDOomeD. 😀 Vipi wao hawana mpango wa kurusha setilaiti yao pia? 😀😀Hahah eti noodles!, hebu mtuache na UDOM yetu, UDOM na UDSM ni two different colleges, in fact, just two among many that we have.
Lakini naona mmeipenda UDOM na kuipigia debe kila wakati mpaka wengine wenyu kuibatiza jina kwa kidhungu! 😀
Nilikuwa natania, ila tuachane na hayo ya UDSM, turudi kwenye UrDOomeD. 😀 Vipi wao hawana mpango wa kurusha setilaiti yao pia? 😀😀
Hehehe 🙂 si mimi ni mwenzetu flani hivi. Kweli tutashangaa, hapana, tutapigwa na butwaa. Ila mkishatua huko kwa mwezi, mkishindwa kurudi msianze kututumia sms za kupanick mkiitisha usaidizi wa jirani. Hahaha 😀Hahaha!, hivi ni wewe kumbe uliita U'r doomed...lol
Ya kwao iko njiani hivyoo, na sio kurusha tu, mtashangaa tuko wa kwanza East Africa na Africa ku visit kwenye moon..🙂
Hehehe 🙂 si mimi ni mwenzetu flani hivi. Kweli tutashangaa, hapana, tutapigwa na butwaa. Ila mkishatua huko kwa mwezi, mkishindwa kurudi msianze kututumia sms za kupanick mkiitisha usaidizi wa jirani. Hahaha 😀