UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

Mimi sio mwana sayansi,je wakirusha kutakuwa na impact gani kwa watanzania?

Satellite zina kazi nyingi zinaweza kutumika ku monitor hali ya hewa na mabadiliko ya tabia nchi, zitatumika pia kwa mawasiliano ya kiraia au kijeshi. Pia zinaweza tumika kwa upelelezi n.k kwa kweli kama wataweza wanastahili pongezi....
 
Ila 2023 ni parefu, tuombe mungu tufike tuone hayo maajabu
 
kama kurusha setilaite ni kama kurusha puto sawa kweli tunaweza lakin kama setilate hizi za kurusha kwa rocket na miindombinu mingine

mm... sipo
Misri, Algeria, Morocco, Sauzi na Nigeria zina satellites zao. Hatuna tofauti nao kivile. Kumiliki sio lazima kutengeneza
 
Mbona hatujaambiwa gharama zitakuuwa kiasi gani? Na satellite hiyo itakuwa na faida zipi kwa nchi pamoja na wananchi wenyewe?
Isije kuwa kama mambo ya big brother kutokwa na povu kushangilia kupiga kura halafu hakuna lolote la maana nchi inapata wala shabiki anaeshangilia
 
Wangeanza kwanza na vita basic, maana hakuna hata kifungo cha shati kilichowahi kutengenezwa hapo CoICT
 
Habari ilirushwa Jumatatu kwa hiyo ni ndoto tu.

Taasisi walizotaja ni CoET na CoICT tu na wakashau CoNAS ambayo ndiyo taasisi inayosimamia sayansi pale UDSM. Inachukuliwa teknologia ndiyo sayansi. Siyo.

Teknologia inavumbuliwa na kuundwa kwa kutumia Sayansi.
 
Lakini ni nzuri kuwa na ndoto. Maendeleo mengi ya Sayansi yametokana na imagination za science fiction.

Tuendelee kueleza ndoto zetu, yaani mategemeo yetu ya maendeleo.
 
Habari ilirushwa Jumatatu kwa hiyo ni ndoto tu.

Taasisi walizotaja ni CoET na CoICT tu na wakashau CoNAS ambayo ndiyo taasisi inayosimamia sayansi pale UDSM. Inachukuliwa teknologia ndiyo sayansi. Siyo.

Teknologia inavumbuliwa na kuundwa kwa kutumia Sayansi.
CoNAS (college of Natural and Applied Science ) wanahusikaje kwenye satellite? Unaelewa unachokiandika ama umetoka usingizini?
Jamani kama huna cha kuchangia si ukae kimya? Mbona sie tunapita tu humu mnatuona wajinga ama
 
Msaga sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1534][emoji1534]
 
Nimecheka nataka kupasuka mbavu msaga sumu weweeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom