UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,361
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.

Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.

Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.

Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.

Kila la kheri UDSM
 
Chanzo mkuu ????
 
Hureeeee hongera zao ,nilichofurahi tu ni kuwa tumeweza kuwatoa vijana ma Engineer, technicians na operators ningependa kufahamishwa
Mission objective ya kupeleka satellite kwenye orbit ni nini ??
Nadhani ingekua vyema hizo Millions of Us dolars tukatandika reli kutoka Dar-Kigoma- DRC ,Tanga- Arusha - Shinyanga , nk nadhani ingesaidia kidogo ,vinginevyo hao ndugu zetu wamefanya vizuri kuonyesha nia yao
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kushirikiana na kitengo cha uhandisi na teknolojia (CoET) pamoja na kile cha uhandisi wa kompyuta na mawasiliano (CoICT) wamezindua mpango maalumu wa miaka 7 wa kurusha satellite ya kwanza Afrika Mashariki, ifikapo mwaka 2023.

Mkuu wa mradi huo ndugu Magaka amedai Kituo maalum cha mambo ya anga cha Mfaume Kawawa Space Centre (MKSC) ambacho kipo katika hatua za mwanzo kabisa za ujenzi kinaendelea kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwa tayari hapo mwaka 2023.

Baada ya kurushwa kwa satellite ya kwanza hapo mwaka 2023, kutakakuwa na mpango wa kurusha satellite nyingine kila baada ya miaka mitatu mitatu huku nyingine zikirushwa mwaka 2026,2029,2032 na mwaka 2035.

Hii ni baadhi ya miradi ambayo chuo kikuu cha Dar es Salaam kinafanya ili kuendelea kuwa chemchem ya maarifa Afrika na dunia kwa ujumla huku nyingine ikiwa ni mpango wake wa kusambaza nguvu za jua kwa watanzania milioni 15 hapo mwaka 2030.

Kila la kheri UDSM
kama kurusha setilaite ni kama kurusha puto sawa kweli tunaweza lakin kama setilate hizi za kurusha kwa rocket na miindombinu mingine

mm... sipo
 
:D:D:D.. hilo puto hilo. Kuunda Bajaji mtihani, sembuse rocketi???? Danganya toto hizi
 
kama kurusha setilaite ni kama kurusha puto sawa kweli tunaweza lakin kama setilate hizi za kurusha kwa rocket na miindombinu mingine

mm... sipo
Haiwezakani ... bado sana.hata ulaya sio nchi zote zina hio kitu.wenyewe wameungana
 
Hahah huu utani sasa, kama vyoo tu wanashindwa kukarabati visivyo garimu hata 200m, ndio warushe satellite zenye kugharimu trillions of shs. Kwa msio fahamu miaka ya nyuma marais wa Africa waliafikiana kurusha satellite kilichowakwamisha ni funds za project waliomba mkopo kati ya IMF au WB haukufanikiwa, mpango ulisuasua mpaka ghaddafi akajakumwaga mzigo wote na sat ikarushwa.
 
Back
Top Bottom