UDSM hakufai ni vingora na mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM hakufai ni vingora na mabomu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUFYA, Nov 16, 2011.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa usalama wa taifa amekamatwa na wanafunzi wamempiga na wakawa wameendelea kumshikilia, kitendo hicho kimepelekea polisi kuja kumuokoa mwenzao.
  nilipo wauliza wanafunzi kwa nini wanakimbia? wakajibu kuwa wanaogopa kukamatwa na polisi.
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Whaaaat? Mabomu siku hizi fasheni eeh?
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mpaka tuishe woooote!
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unajua mkifanya mgomo nusu nusu mnajisababishia usumbufu hata nyie, amueni moja kuvumilia hiyo hali au kupambana hadi kieleweke!!
   
 5. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  na IMTU wanafunzi zaid ya 400 wameenda kudai transcript zao kusud wahame chuo. Finance manager kalazwa regency kwa pressure
   
 6. young activist

  young activist Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa polisi wanatuliza vurugu wanachochea vurugu, kuna uvumi umeenea kwamba polisi weng wana-beef sana na wanafunzi wa vyuoni kuna polisi huwa tunapiga nao mazoez ya soka waliniambia hivyo baada ya kumchezea faulo uwanjani aka-panic akataka kunivunja mguu akaniambia ndo maana wanatuchukia sana wanafunz kisa weng wao daraxa la saba na form 4 xa wanaxema wanafunz wa vyuon wanawadharau! Xa nna mashaka kidogo na utulizaji wao wa migomo na maandamano vyuon maana co vurugu insuch!
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Aseee.....interesting!!
   
 8. L

  Luluka JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mi wananibore kiukweli!watu gani kila cku chuo hatukai kwa raha!!
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  eeeeeeeh! aisee! kaaazi kweli kweli.
   
 10. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hapo bado mpaka afe afande
   
 11. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  duh poleni sana
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona hawa polisi wana hamu na Vita si waende kumsadia kenya kupambana na Al Shababy kama kweli wanaweza kazi.
  Ama kweli hili ni jeshi la Magamba lisilojari watu wake kitu kidogo tuu FFU + Mabomu.
  Njoja nkizichapa na wife nawaita waje tuliza ghasia maana tushawazoea
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nahisi yule nabii aliyetabiri kuwa hii serikali ya magamba haitafika 2015 unabii wake unakaribia sasa. Mbona kila sehemu ni fujo tu sa ivi, ikiisha huku inaibuka sehemu nyengine, jana niliskia na wadaladala nao wanagoma!!! baadae itatibuka nchi nzima, sijui hao polisi watampiga na kumkamata nani? au watatukamata nchi nzima?
   
 14. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loh!! hiyoo nayo imetulia. tuabalishe zaidi mjomba.
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hao usalama wa taifa ni wa kupiga kabsa-maana wapo kichama sana
   
 16. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hapo inahitajika dam ya mtu ndiyo mgomo upate mwafaka la sivyo mtapigana na hao vilaza wa 7 na form 4 mwaka mzima cha msingi kamaten police 1 mtoen kafara.
   
 17. Shut Down

  Shut Down Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rejao...nakuona hapo chini uanaperuzi, vp leo naww upo mitaa ya chuo??tujuze bana
   
 18. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hawa polisi waende kusaidia kenya kupambana na al-shabaab kama wana hamu ya kurusha mabom na risasi
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,386
  Likes Received: 22,266
  Trophy Points: 280
  CCM inaimarisha ulinzi na usalama kwa kupiga watu virungu, mabomu ya machozi na risasi za moto. CCM oyeeeeeeeee!!!!!!!! UDSM ziiiiiiiiiiiiii, Wananchi ziiiiiii
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawa ni wa kufundishwa adabu mara moja ikiwezekana na wakati wanapewa kifinyo unamsisitiza ya kwamba kazi yake haiitaji nguvu namna hii,,,,,,,,,,,,,kazi yake ni ya kutumia akili sana na siyo ya kulumbana na Wanafunzi. Maana Mi naona hawana adabu kabisa hawa usalama wa Taifa wa kwetu.   
Loading...