UDSM hakufai ni vingora na mabomu

UDSM hakufai ni vingora na mabomu

CCM inaimarisha ulinzi na usalama kwa kupiga watu virungu, mabomu ya machozi na risasi za moto. CCM oyeeeeeeeee!!!!!!!! UDSM ziiiiiiiiiiiiii, Wananchi ziiiiiii


Pole Bwana mdogo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,malaria imekuanza lini???????????
 
amani inayoimbwa iko wapi. hawa watoto ndo zimekuwa ngoma zao !!hawajui ndo marais wanaofuata !!!nao wakilipiza kisasi itakuwaje???
 
Back
Top Bottom