MBUFYA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 445
- 68
hapa nipo pande za udsm, ni vurugu tupu, nim,efika na nimekuta wanafunzi wanakimbia huku na huko, nilipo pita karibu na kikundi fulani cha wanafunzi nikasikia wakisema kuna mtu mmoja wa usalama wa taifa amekamatwa na wanafunzi wamempiga na wakawa wameendelea kumshikilia, kitendo hicho kimepelekea polisi kuja kumuokoa mwenzao.
nilipo wauliza wanafunzi kwa nini wanakimbia? wakajibu kuwa wanaogopa kukamatwa na polisi.
nilipo wauliza wanafunzi kwa nini wanakimbia? wakajibu kuwa wanaogopa kukamatwa na polisi.