UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance...

Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje?

Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
 
Stori za vijiweni hizi😂😂...Kwa kukusaidia tu UDOM ndio chuo pekee Afrika Mashariki na Kati chenye uhakika wa asilimia 100 kwa mwanafunzi kupata bweni plus majengo ya madarasa(mpaka mengine yamezidi) .
UDOM wana muundo tofauti kidogo na vyuo vikuu vingine ...wao kila college inajitegemea kwa hosteli na lecture rooms zao na kwa zile kozi wanazo-share lecture rooms umbali wake ni wa kutembea tu kwa mguu kama ilivyo apa UDSM ila kama ilivyo kwa sisi Watanzania ma-gap ya uchumi hayaishi kwahiyo unaweza kuta sehemu ya kutembea mita 200 tu mwenzako anachukua boda au bajaji kulingana na shekeli zake😂😂
 
LLB atakaa College of Humanities and Social Sciences hana haja ya kupanda daladala. Maji challenge ilikua zamani, UDOM na DUWASA wameshasolve imekua changamoto ya kawaida.
asante sana. Unajua wazazi kijijini pesa shida ikiwa tena kupanda mabasi ni mtihani. ana multiple admissions na Mbeya, Mbeya Mbali , sasa kama UDOM pako poa basi.
 
Stori za vijiweni hizi😂😂...Kwa kukusaidia tu UDOM ndio chuo pekee Afrika Mashariki na Kati chenye uhakika wa asilimia 100 kwa mwanafunzi kupata bweni plus majengo ya madarasa(mpaka mengine yamezidi) .
UDOM wana muundo tofauti kidogo na vyuo vikuu vingine ...wao kila college inajitegemea kwa hosteli na lecture rooms zao na kwa zile kozi wanazo-share lecture rooms umbali wake ni wa kutembea tu kwa mguu kama ilivyo apa UDSM ila kama ilivyo kwa sisi Watanzania ma-gap ya uchumi hayaishi kwahiyo unaweza kuta sehemu ya kutembea mita 200 tu mwenzako anachukua boda au bajaji kulingana na shekeli zake😂😂
Ubarikiwe sana. Nimeambiwa kuwa kuna tatizo la usafiri. Maji ataishi kama wenzake. Issue ilikuwa nauli ya kila siku! Thanks a lot!
 
asante sana. Unajua wazazi kijijini pesa shida ikiwa tena kupanda mabasi ni mtihani. ana multiple admissions na Mbeya, Mbeya Mbali , sasa kama UDOM pako poa basi.
Course gani na course gani admission?
 
Back
Top Bottom