UDINI ni kitu kibaya sana

Biashara ipi kubwa hiyo zaidi ya pembe za ndovu na watumwa,?
Umesahau, pembe za faru, dhahabu na kuleta shanga, kaniki, vioo vya kujitazamia na kuchukuwa watumwa.

Ilikuwa "mport and export".
 
yaani mnakula nguruwe kila siku na w

atoto wako halafu unataka watoto wa kiislam waje humo wacheze na wanao ili muwalishe na kuwashikisha nguruwe! hapana kwakweli
 

Shetani hapendi amani,
 

Ndio mafunzo yao,adui wao mkuu ni ukristo na uyahudi,watu wa dini hizo wanawachukia kwa muongozo wa kurwani.
 

Wewe hata ukitombewq mke wako utasingizia wamarekani,
 
Umesahau, pembe za faru, dhahabu na kuleta shanga, kaniki, vioo vya kujitazamia na kuchukuwa watumwa.

Ilikuwa "mport and export".

Umejibu vyema,ni ngumu kumtenganisha mwaarabu mslamu wa dini yake na biashara haramu
 
yaani mnakula nguruwe kila siku na w


atoto wako halafu unataka watoto wa kiislam waje humo wacheze na wanao ili muwalishe na kuwashikisha nguruwe! hapana kwakweli

Wapi muislaamu kakatazwa kula kitimoto,nadhani wewe utakua muislamu wa mchongo.
 
Mambo ya Kujifanya Namjua sana Yesu au Mtume pamoja na mafundisho yao Kwangu hapana kabisa, Natambua babu zetu hawakuwa na Technology ya Kulay down instructions ambazo tungezitumia kuendesha mambo ya Kijamii kwa sasa kama Sherehe, Misiba na Mengineyo ndo mana tuna conduct kwa kufata taratibu za Islamic au Christian mimi I'm none of those two
 

Watakuja kusema hao sio waislamu[emoji28]
 
Mimi sikubaliani na wewe tz hatujafikia huko sisi ni wamoja bado ungesema siasa sawa lakini udini nakataa mfano mdogo mtaani kwetu asilimia 99 ni wakiristo lakini mwenyekiti wa mtaa ni muislamu na tunaheshimiana
 
Umejibu vyema,ni ngumu kumtenganisha mwaarabu mslamu wa dini yake na biashara haramu
Haramu kwa sasa, wakati huo zilikuwa ni biashara za kawaida kabisa.

Usisikie ya kuambiwa, Waarabu unaowaponda leo hii ndiyo wsliokuelewdsha hata hilo neno "haramu".


Manufaa mengi sana ya nchi hii yaliletwa na Waarabu, hata mchele, mahindi na ngano usingeyajuwa isingekuwa Waarabu.
 
mzee hebu tupe miongozo hizo dini za kiafrika (mifumo yake ipoje) maana naona mnadanganywa na nyinyi mnaingia tu mkenge...

historia zote za kweli ukisoma ni kwamba tangu zamani hapa africa uislamu ulienea kila kona kabla ya uvamizi wa wageni kutoka ulaya na kuja kupenyeza dini zao

well, utasema huo uislamu uliletwa na waarabu ukiwakuta waafrika wako na upagani wao lakini njia uliyoletewa haikuwa na madhara kabisa na walipoletewa waliupokea wakifurahi kabisa na wakaishi vizuri na hao waarabu

hebu rudi sasa kwenye njia zilizotumika kuingiza dini za ulaya, unakuta mauaji, nguvu, ubabe, hila, unyang'anyi na kila lililo kinyume na matakwa ya binadamu
Kila nikikumbuka niliwahi kukosa mke Kwa ajili ya utofauti wa dini za wazungu na waarabu naishiwa nguvu.Muogope sana mtu anaeendekeza dini regardless anaamini dini za waarabu au wazungu Bora awe anaamini dini zetu za kiafrika
 
Udini ni Mbaya sana, ona sasa kuna baadhi ya mambo unashindwa kuyatafakari kikawaida na kuyachukulia kidini.
Habari za viongozi mara kula nguruwe kutapika.. Huoni kama ni chuki tu.

Hey come on guys, Tuish Maisha bhna kwa kupendana.
hakika naamini kama hizi dini znge kuta waafrika wanajielewa zsingefanikiwa kupenya kwenye bara la Africa tatzo zlikuta wakna Mangunga,Mkwawa na wengine ndo walikua wanaakil kwa kipnd icho wakazibeba sisi tukizaliwa tunamezeshwa kila mtu anavutia upande wake tunakosa vtu vng sana vitamu acha nimalizie kiti moto yang kwanza apa ntakuja baadae
 
Wewe hata ukitombewq mke wako utasingizia wamarekani,
Unajua katika Imani ya Kiisilamu tumefundishwa sana kuheshimu watu na uvumilivu,mimi siwezi kutukana humu mtandaoni,maana najua haya tunayoandika siku moja tutakuja onyeshwa mbele ya Muumba wetu
 
Kuna jirani muislamu,kaninunia kisa nafuga nguruwe,una la kusemaje juu ya huyo ndugu muislamu
Inategemeana unafuga katika mazingira gani,kwanza kumbuka nguruwe ni mchafu kuanzia jinsi anavyofuga,harufu inayotoka bandani mwake hairuhusu kufuga kwenye misongamano ya watu.

Jirani yangu mmoja alikuwa anafuga nguruwe kabla sijaslimu ilikuwa inanipa tabu sana, harufu makelele yake na kila kitu
 
Iko hivi yaani ukitaka uishi kama maisha waliyokuwa wanaishi Mitume wa Mwenyezi Mungu,watu watakuchukia tu,yaani vaa kanzu mda wote,fuga ndevu,sali sana,ule upande wa pili watakubatiza majina mengi bila kusahau hayo ndiyo yalikuwa maisha ya Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…