Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Gamba la Nyoka is being objective. AS 4 the REV, Mhh, you better think twice.

Kweku,

What are your fears if top team of CCM is made by Muslims? Do you simply think because they are in leadership they will convert the country into an Islamic republic? then may be you do not know Watanzania.

They may try but will never succed, that is why I do not care! And of course no blood will be shed for this. Kama mwafikiri kushika kwao uongozi ni kuleta udini, basi nanyi mmejaa fikira za udini na ni wabaguzi wa kidini!
 
Mhh,

haya mambo ya mahakama ya kadhi na namna Kikwete anavyotaka kucheza usanii yamenifanya nianze kuamini maneno ya mugaya hapa kuwa CCM kimeanza kuwa chama cha kidini!

sitaki imani zangu ziwe kweli lakini haya yanayoendelea nchini inabidi viongozi wa ccm wawe makini sana na maamuzi yao
 
CCM wao ni mabingwa wa kusema wenzao ni wadini mara wakabila ila hawajitazami hata kidogo wao wenyewe.

Naupinga udini ila kwenye hili kuna haja ya mjadala kwani kama lingetokea kwenye chama kingine lingekuwa mjadala mkubwa sana kutokana na propaganda za ccm.
 
Mahakama ya Kadhi poa sana. Mwizi akiiba hata serikalini kama Mahalu(kama ni mwislamu) ana katwa mikono. Nyie hamuoni ni POAAAAA?

Yule aliyemuiba mke wa Mongela naye kama ni mwislamu anapigwa mawe mpaka kifo!!!

Jamani ni poa tu!
 
Yeah...unyama unyama tu na undava undava tu. Ukikamata piga ua....who cares. Na wewe ukileta nyodo unafanyiwa vile vile....ndio karne ya 21 hiyo ebo!!
 
Rev. Kishoka,
Uncle nipo nawe, wewe mwanamme rijal haswa...
Enyi bandugu, jamani mahakama ya kadhi hai deal na vitu hivyo kabisa Ama ndio ktk kuponda kupaka na kunyanyambua!.
I think mnachukua njia mbovu sana kufikiria viongozi hao wana nia gani kwani mara nyingi mtu anayemshuiku mwenza (Kutembea nje) na kulaumu kila siku ni kwa sababu yeye mwenyewe malaya!...Inawezekana vipi mtu kujua kile anachofikiria mtu mwingine?...Au ndio njama za Bush kwa Saadam hizi?.. Yes CCM wabovu lakini mnapochukua njia hii wajomba tutakosa mwelekeo kabisa! JF itakuwa kijiwe cha Unazi...
Isije kuwa hili ndio lengo lenu kila mnapochukua madaraka maanake sasa Siasa zimekuwa dini baada ya kiongozi wenu Mtikila kukiri kuwa ameingia Siasa kueneza neno la Mungu. Hivi kweli statement hii angeitoa Muislaam sijui kama hapa pangekalika!

Je, mnafahamu kwamba kuna nchi nyingi za Kiislaam kama mnavyoziita - viongozi 100% waislaam, na wananchi wake 99% waislaam lakini hawafuati sheria ktk judicial system yao. Sidhani kama hili linawezekana ktk dini nyingineyo!..
 
mtu huyu shalow naona anakuja na kuchungulia hapa, halafu anamchokonoa kada sijui kwa nini ! yaani he is used to it !

Well,mimi nakuja tu na kuchungulia hapa tu,kwa sababu nina mambo ya msingi zaidi ya kufanya kuliko kupoteza mda kwa umbeya usio na maana.Wewe sijui umeajiriwa kwa hizo nonesense zako unazomwaga hapa?inaezekana hiyo ndio kula yako.

Mimi niko Shalow,sasa sijui wewe uko deep kwenye lipi kwani tangu nimekuja hapa jamvini sijaona kitu chochote constractive ulichowahi kuandika hapa zaidi ya upuuzi wako mwingi tu bila kuconsider mda wako mwingi unaopoteza kwa hizo nonesense.Pia inawezekana wewe ni mtu mzima tu ila hujali umri wako.

Kwanza kuna uhuru wa kusema lakini wewe unavyoutumia uhuru huo sivyo inavyotakiwa.We mtu mzima sana tu lakini inaezekana una nerves zako zina kasoro ndio maana hata hapa ninapotype nasikitikia mda wangu ninaopoteza na mwendawazimu kama wewe.

Nilishakuambia tena jaribu kujitofautisha na wendawazimu but still naona hutibiki wewe.

Next time njoo na hoja kuliko kuja na emotions zako hatulei watoto hapa.tengeneza hoja tupambane ndipo utakapojua hatupigi kelele ovyo ovyo hapa kama wewe

Jamani tuendelee kukata ishus
 
Ben,usiseme Kada tu hata wewe yawezekana umejisajili nick zaidi ya moja.Hapa wapo kibao tu wamejisajili majina zaidi ya moja.

je ni kosa kujisajili hivyo?

Hata moderators na may be Adm mwenyewe anaweza kuwa kajisajili zaidi ya mara moja

Heshima yako mkuu,

No mimi sijajisajili mara mbili.Kada nimemtumia kama mfano coz nilikua na evidence kwani yeye hagusiki?Haogopwi mtu hapa.Asilete uhuni wa primary schools hapa .

Kama kuna aliyejisajili mara mbili admin. afanye kazi yake bwana
 
Rev. Kishoka,
Uncle nipo nawe, wewe mwanamme rijal haswa...
Enyi bandugu, jamani mahakama ya kadhi hai deal na vitu hivyo kabisa Ama ndio ktk kuponda kupaka na kunyanyambua!.
I think mnachukua njia mbovu sana kufikiria viongozi hao wana nia gani kwani mara nyingi mtu anayemshuiku mwenza (Kutembea nje) na kulaumu kila siku ni kwa sababu yeye mwenyewe malaya!...Inawezekana vipi mtu kujua kile anachofikiria mtu mwingine?...Au ndio njama za Bush kwa Saadam hizi?.. Yes CCM wabovu lakini mnapochukua njia hii wajomba tutakosa mwelekeo kabisa! JF itakuwa kijiwe cha Unazi...
Isije kuwa hili ndio lengo lenu kila mnapochukua madaraka maanake sasa Siasa zimekuwa dini baada ya kiongozi wenu Mtikila kukiri kuwa ameingia Siasa kueneza neno la Mungu. Hivi kweli statement hii angeitoa Muislaam sijui kama hapa pangekalika!

Je, mnafahamu kwamba kuna nchi nyingi za Kiislaam kama mnavyoziita - viongozi 100% waislaam, na wananchi wake 99% waislaam lakini hawafuati sheria ktk judicial system yao. Sidhani kama hili linawezekana ktk dini nyingineyo!..

Mkandara,

sidhani kama Mtikila anawasemea viongozi wote wa upinzani. Msimamo wake ni tofauti kabisa na watu kama Mvungi na Mbowe katika hili suala.

Watu wengine hapa wanazungumzia hili kulingana na uelevu wao. Sidhani kama ni unazi ila naona kitu kikubwa hapa ni gharama za kuendesha hiyo mahakama ya kadhi ndio inagusa watu hapa.

Taratibu tu tutaelewana ingawa so far nafurahi kuona kuwa vyama vya upinzani hawajaanza kukiita ccm kama chama cha waislam kama ambavyo ccm wamekuwa wanaeneza propaganda chafu dhidi ya CUF kwa muda mrefu sasa!
 
Napenda kupinga huo unaodaiwa udini Ccm kuwa na asilimia 75. naomba nitoe majina ya waliochaguliwa NEC naanza na viti 20 vya bara ambalo no kundi la kifo.

1-Edward Lowassa 2-Andrew Chenge 3-Makamba 4-Membe 5- Jaka Mwambi-6- Kapuya 7-Kinana, 8- Gachuma 9-mwangi 10-mahanga makongoro 11-Sumaye 12-Komba, 13-kingunge 14-Lukuvi 15-John Chiligati 16-Amos Makala 17-profesa Wangwe 18-Profesa Mwakyusa na Jackson Msome bila kumsahau Mzee Wassira. hapo utaona waislam ni Kinana, Kapuya na Makamba kati ya watu 20 waislam ni watatu tu.

kundi la vijana ni zainab Kawawa, Mzindakaya,Nape Nauye, Jerry Slaa,Msafiri Ally,Beno Malisa, Sanga na lucy Mayenga hapo wislam ni Zainab Kawawa, Msafiri Ally na Lucy (Laila) Mayenga.

Kundi la UWT ni Mama Sitta,Diana Chilolo, Anne Malecela,Sofia Simba,Rehema Nchimbi, shamsa Mwangunga,DR.Asha Kigoda, DR.Pindi Chana na Zakia Meghji.

hapa waislam ni watatu ambao ni Zakia Meghji,dr.Asha Kigoda na Shamsa Mwangunga.

kundi la Wazazi kuna Stella Manyanya, dr.Zainab Gama, Zungu, Adam Malima, Richard Nyaulawa. hapa waislam ni watatu.

Wenyeviti wa mikoa wa bara 20 waislam ni ni nane tu.

Makatibu 20 wa bara waislam ni sita kati ya 20.

wenyeviti wa wilaya wakristu ni 80 na waislamu ni 47.

Makatibu wa wilaya wa ccm wakristu ni 86 na waislamu ni 43.
na mwenyekiti JK amewachagua Mkuchika-mkristu, John Chiligati- mkristu na Makamba- Muislam.

jamani hiyo asilimia 75 inatoka wapi? acheni majungu.
 
mswahili karibu tena, kuna jamaa mmoja humu anaitwa kada, anatusumbua sana. Mzee Mwanakijiji naye bado yupo, baada ya wewe kusafiri kwa kweli alitesa sana maana kada alimshindwa kabisa.
 
Napenda kupinga huo unaodaiwa udini Ccm kuwa na asilimia 75. naomba nitoe majina ya waliochaguliwa NEC naanza na viti 20 vya bara ambalo no kundi la kifo.

1-Edward Lowassa 2-Andrew Chenge 3-Makamba 4-Membe 5- Jaka Mwambi-6- Kapuya 7-Kinana, 8- Gachuma 9-mwangi 10-mahanga makongoro 11-Sumaye 12-Komba, 13-kingunge 14-Lukuvi 15-John Chiligati 16-Amos Makala 17-profesa Wangwe 18-Profesa Mwakyusa na Jackson Msome bila kumsahau Mzee Wassira. hapo utaona waislam ni Kinana, Kapuya na Makamba kati ya watu 20 waislam ni watatu tu.

kundi la vijana ni zainab Kawawa, Mzindakaya,Nape Nauye, Jerry Slaa,Msafiri Ally,Beno Malisa, Sanga na lucy Mayenga hapo wislam ni Zainab Kawawa, Msafiri Ally na Lucy (Laila) Mayenga.

Kundi la UWT ni Mama Sitta,Diana Chilolo, Anne Malecela,Sofia Simba,Rehema Nchimbi, shamsa Mwangunga,DR.Asha Kigoda, DR.Pindi Chana na Zakia Meghji.

hapa waislam ni watatu ambao ni Zakia Meghji,dr.Asha Kigoda na Shamsa Mwangunga.

kundi la Wazazi kuna Stella Manyanya, dr.Zainab Gama, Zungu, Adam Malima, Richard Nyaulawa. hapa waislam ni watatu.

Wenyeviti wa mikoa wa bara 20 waislam ni ni nane tu.

Makatibu 20 wa bara waislam ni sita kati ya 20.

wenyeviti wa wilaya wakristu ni 80 na waislamu ni 47.

Makatibu wa wilaya wa ccm wakristu ni 86 na waislamu ni 43.
na mwenyekiti JK amewachagua Mkuchika-mkristu, John Chiligati- mkristu na Makamba- Muislam.

jamani hiyo asilimia 75 inatoka wapi? acheni majungu.

Hii Spin mbona haisaidii kitu hapa. Weka majina ya wajumbe wa NEC na CC wa kutoka Zanzibar pia au wao si wajumbe wa CCM.

Makubaliano hapa yamefikiwa na utaona hakuna watu wa upinzani ambao wanaita ccm chama cha waislam ingawaje ukweli ni kuwa asilimia hiyo 75 ya viongozi wake kuwa waislam ni kweli?

The best spin ningewashauri wanaccm hapa ni kuukubali ukweli kuwa ccm inaviongozi wengi waislam pale inapomatter - kwenye CC na kwenye NEC - na kwenye top 4 officials ila hiyo si sababu tu ya kufanya chama kichukuliwe kuwa cha kidini.
 
Mwafrika wa Kike. naomba kukuliza wakati DR. Gharib Bilal alipotaka kugombea urais wa Zanzibar na wazanzibar walimkubali akapitishwa vikao vyote. lakini kwa vile Bara alikuwa hakubaliki hakuweza kufika popote kwa nguvu za Bara.

tunaposema CCM tuna maana Tanania Bara na nimekuwekea takwimu zote kuwa watendaji wengi ni wakristu hilo lazima ukubali kama wenyeviti na makatibu wa wilaya waislam hawafiki nusu ya wakristu bado unasema chama cha waislam mimi sikuelewi.

turejee kipindi cha Mkapa kuwa rais yeye alikuwa mkristu kama mtendaji mkuu wa serikali na waziri mkuu mkristu.

mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa- mkristu, makamu mwenyekiti malecela-mkristu, katibu mkuu alikuwa Mangula mkristu, katibu mwenezi- Jacksom Msome Mkristu, hadi kwenye kinyanganyiro cha kugombea urais fomu lazima ukabidhiwe na mkristu- Matson Chizi.

spika nae ni mkristu hakuna aliyesema CCM ni chama cha kikristu.

Mwafrika wa Kike usipindishe mada wajumbe wa Zanzibar hawatuhusu hawana athari yeyote. chama ni bara nao wanajua.
au muulize Dr. Salmin Amour atakwambia.
nipe watendaji wa chama Tanzania Bara dada yetu.
 
Mswahili,

Kama umefuatilia posting zangu hapa kuanzia nijoin rasm JF, nimekuwa napinga sana suala la udini na niliweka post kibao tu nikimpinga mchambuzi na skam yake ya kutaka rais ajaye Tz lazima awe mkristo.

Sijali kama viongozi wote wakati wa mkapa walikuwa wakristo au kama Dr Bilali alinyimwa kura na wakristo. Ukweli I dont give a damn about it.

Tanzania ni moja na ccm ni chama ambacho kipo bara na visiwani. Kama ccm waliendesha propaganda kupondea cuf kuwa ni chama cha waislam bila kujali hiyo sababu unayoiweka hapa kuwa zanzibar wengi ni waislam, then ccm nao lazima waangaliwe kwa ujumla wao kote kote bara na visiwani.

So far, viongozi wa juu 4, NEC, na CC ya ccm ina waislam zaidi ya asilimia 75%. Hawa ndio watoa maamuzi na sera za ccm. Sijali kuwa makatibu kata wa ccm wengi ni wakristo au kuwa wakati wa Mkapa waliokuwa wengi ni wakristo. I am talking about leo hii na wala sio longo longo zingine.

CCM wakiendelea na mchezo wao mchafu wa kuchafua vyama vingine kuwa vya kidini au vya kikabila, basi wategemee the same bullet ikituma back to them loud and clear.

KWA SASA, CCM INA VIONGOZI WENGI SANA WAISLAM. KWA STANDARD YA PROPAGANDA ZA CCM DHIDI YA CUF, CCM PIA NI CHAMA CHA WAISLAM.
 
Mswahili mlitumia vigezo gani kukiita CUF chama cha waislamu?

Mlitumia vigezo gani kukiita CHADEMA cha wachagga?

Huenda vigezo hivyo hivyo ndio vimetumika kukiita CCM cha kiislamu////
 
sipendi hata kuchagia headings kama hizi maana ni kama kuendeleza udini tuu
 
kwa nini tukitofautiana kwa hoja basi tunaiita ile hoja kuwa SPIN ?? sasa huu ni utoto na ujinga, na kushindwa kwa hoja,

hadi mnafanya sasa neno SPIN lisiwe na maana yoyote !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom