Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Mwafrika wa Kike. naomba kukuliza wakati DR. Gharib Bilal alipotaka kugombea urais wa Zanzibar na wazanzibar walimkubali akapitishwa vikao vyote. lakini kwa vile Bara alikuwa hakubaliki hakuweza kufika popote kwa nguvu za Bara.

tunaposema CCM tuna maana Tanania Bara na nimekuwekea takwimu zote kuwa watendaji wengi ni wakristu hilo lazima ukubali kama wenyeviti na makatibu wa wilaya waislam hawafiki nusu ya wakristu bado unasema chama cha waislam mimi sikuelewi.

turejee kipindi cha Mkapa kuwa rais yeye alikuwa mkristu kama mtendaji mkuu wa serikali na waziri mkuu mkristu.

mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa- mkristu, makamu mwenyekiti malecela-mkristu, katibu mkuu alikuwa Mangula mkristu, katibu mwenezi- Jacksom Msome Mkristu, hadi kwenye kinyanganyiro cha kugombea urais fomu lazima ukabidhiwe na mkristu- Matson Chizi.

spika nae ni mkristu hakuna aliyesema CCM ni chama cha kikristu.

Mwafrika wa Kike usipindishe mada wajumbe wa Zanzibar hawatuhusu hawana athari yeyote. chama ni bara nao wanajua.
au muulize Dr. Salmin Amour atakwambia.
nipe watendaji wa chama Tanzania Bara dada yetu.

Mswahili,
hapa watu tupo kufidiana nyuzi kama hizi, na watu wanapokataa ukweli that just shows how UPSET they are, maana hata kama wakiambiwa "mmechelewa", wao still watataka kusema "tumewahi", na nini solusheni yao, ni kupindisha mada !

mwenye macho haambiwi ona, mwenye akili atajua tu nini Mswahili anachosema ! NI FACTS TUPU !
 
inawezekana SPIN ikawa na maana tofauti siku hizi !

kila kitu spin damn !
 
Humu jamboforums waislamu ni wangapi na wakristo ni wangapi? Na wapagani ni wa ngapi?

Kama hii topic makes a sense, basi I would rather go with hii statement maana it makes a sense kuliko topic yenyewe, kama the topic makes a sense!
 
halafu hata sijui hilo swali huyo aliyeuliza itamsaidia nini !
afu sijui nini motive yake ya kujua waislam na wakristo idadi zao humu !
jamaa GAIDI huyo aliyeuliza idadi ya watu na imani zao !
 
Mie si SISIEM na sijawahi kuwa SISIEM, lakini ktk kitu ambacho SISIEM sio licha ya matatizo yao yooooooote basi ni kuitwa chama cha waislam.........that is totally and completely ridiculous, hapo Bill Maher wa "real time" ktk HBO angesema political incorrectiness at its best. Kama hiyo ndio "straight shooting" basi mie siendi tena kwenye targeting range!!.
Cha kushangaza bin muujiza ni kwamba angalia ni nani anayeongoza hii chaji hapa ktk thread hii.........jibu ni "Lady JF" with 16 posts, amazing uuunh??!!! halafu kuna mtu anasema ati huyu ni mfano wa kuigwa ktk ku-fight mafisadi wa JF. Labda neno fisadi na hasa ukisema mafisadi wa JF lina maana nyingine!! just thinking aloud.
Weekend Njema Wandungu. JF Oyeeeeee( Kama ile ya Forrest Whittacker "Idd Amin" ktk The last King of Scoland, aliposema Uganda Oyeeeeee). I hope u get it!!!!! kwikwikwikwi.
 
Wewe unaaga kila siku kuwa unaondoka wakati upo!
Watu wengine bwana kwa kujidai wamesoma au wanajua kuliko wenzao.

Kila siku kupondea JF na membaz wake, kama umekosa kazi hebu nenda kaombe hapa:

jamanininawivukwawanaJFnakikoroshokimenikaa.co.ninaki-komp
 
Huna mpya,kila siku una recycle kwikwikwi. Toa basi hiyo post ambayo nimeaga!! nipo mitaa ya big apple watu wameanza ma-thanxgiving, what's up?
 
Huna mpya,kila siku una recycle kwikwikwi. Toa basi hiyo post ambayo nimeaga!! nipo mitaa ya big apple watu wameanza ma-thanxgiving, what's up?

Ushadhani hapa mie research assistant wako... subutu! usijeanza kujisifia bure kuwa unatumia feza zako za "havard" kunilipa.

nenda kasome post zako uone kila mara unavyoaga kuwa JF imeishiwa na you have something better to do!

Watu wengine mnaboa hadi inabidi mpewe vidonge weekends!
 
Mwafrika wa kike

Kama kawaida yako huna mpya........halafu naanza kuhisi wewe ni katoto kajinga, soma ulichoandika hapo juu!! yaani kama mtu wa darasa la saba. Sijawahi kuaga, sita aga, kama unataka nijitoe kama Mchambuzi basi hapa umenoa.Sema utakavyo juu ya harvard, lakini facts zitabaki kuwa facts. Ndio maana watanzania wana-reject upinzani kwikwikwikwi kwani "watu" wenyewe ndio nyie, dhufri hali, bure ghali. Mkiwekwa kwenye kona kidogo tu basi huishiwa hoja kiurahisi na kuanza vioja, kazi yako kuuuuubwa hapa ni kupiga debe la kujengea watu sifa mbaya kwa ufitinishi. Ati utasema YNIM anapondea JF!!! thats a lie and you know it. Unasema, YNIM anamshambulia MKJJ, nope, hiyo ni kwasababu uwezo wako wa kuelewa ni mdogo..the dude ni one of my favorate hapa JF na mengi mengine ambayo sina muda wa kuyaweka yote hapa.......nakupa sifa moja tu dada lake, kwamba u'r good ktk mud slinging, lakini mie sita-quit nitakuwa naku-engage na small arms fire mpaka mwenyewe utachemsha na wapambe wako kukukimbia!!!.
 
Kijike cha kiafrika

vizuri sana ! baaab kubwa hapo !
 
Kijike cha kiafrika

Kama kawaida yako huna mpya........halafu naanza kuhisi wewe ni katoto kajinga, soma ulichoandika hapo juu!! yaani kama mtu wa darasa la saba. ....!!!.

Ahhh, same whining all the time

kama kawaida yako kuchambua elimu za watu hapa.
hapa umechemsha baba, au ya elimu huyawezi.

Uliaga mwenyewe hapa, hakuna alokuambia utoke.
Utaanza kuniita katoto kajinga au whatever but know that I am here to stay as longer as JF ipo hapa. Kumbuka pia kuwa JF ipo hapa to stay so change your postingz zote ulizoaga na kusema kuwa you are here to stay.

Of all pple, nani atake wewe uondoke, kazi yako kujisifia tu hapa na kuchambua elimu za watu. Hayo hayasaidii kwenye siasa za bongo so wewe endelea ku-whine tu kwani mie naenjoy presence yako hapa!
 
Sawa lakini wabongo wanarudisha SISIEM madarakani kila mwaka tena waislamu kwa wakristo!! whats up!. kajilengeshe basi kwenye railway track upingwe mzinga na la mizigo.
 
Sawa lakini wabongo wanakurudisha madarakani kila mwaka tena waislamu kwa wakristo!! whats up!. kajilengeshe basi kwenye railway track upingwe mzinga na la mizigo.

hahaaa, au asage chupa anywe !~ teh teh depression mbaya kweli !
 
vi-comp vitawamaliza na chama chenu hicho cha kidini

yaani wewe unasaidia sana kujenga chama cha mapinduzi haki ya nani !

maana unavyojaribu kuiponda ccm kwa mambo yasiyo ya kweli, BASI INAWIA RAHISI MNO UKWELI KUJITENGA NA UONGO,CHUKI ZAKO ! CHUKI,UONGO,HASIRA ZAKO DHIDI YA CCM ni sawa na maji na mafuta, mafuta hujitenga maji hujitenga ! maskini wee !

sasa hata kama ulikuwa na kitu cha kweli kukisema chama cha mapinduzi watu watakupuuzia kwa ajili ya reputation yako ya chuki, uongo na ubinafsi uliokuwa nao !

sasa wewe kama unataka kuiponda ccm, wewe hit the "real target" na sio chuki zako from nowhere maana hiyo inakuwa rahisi sana kuproove wewe wrong !

mimi kama mwanachama tawala nimejitolea kukupa somo hili bure na itakusaidia baadae, so usikose kukipa chama tawala credit baadae kwamba ilikupa somo bure !
 
ha hahaha ha aha a

yaani hata inachekesha ulichoandika hapo juu. of all pple nani asikie ushauri wa whiners. Watoto mayai kama nyie nani anawapa chance katika dunia hii.

hii dunia inahitaji watu strong sio whiners na watoto mayai ambao wanajikombakomba all the time.

kazi unayo mwaka huu...... ingia gym au jiunge na jeshi maana unatia huruma kwa urojorojo wako.

na mtapasuka kwa hasira ila huyu beast ndio mwanzo amekuwa unleashed! ukichoka sana nenda hapa:

tumepondeaJFmpakatumechokanasasatunaanzakujikomba.co.kuzimu
 
Wahahahahahahaha....hahahahahahaha
We Kada wewe unanichekesha sana siku hizi...yaani hadi umemtolea grafu mwenzio.....duh...you're wrong for that....
 
Mwafrika wa Kike, si ukubali yaishe?#%$^%^. Naona Jamaa wanapiga pande zote!!!!!

Ila hata mimi nahisi unapigia debe CCM, Uzushi mwingi dada!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom