Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,328
MWANAKIJIJI.
Jana kwenye mjadala wa Wangwe kusimamishwa na Chadema ukurasa wa 52 ulisema maneno yafuatayo, nakunukuu,
'LINAPOKUJA SUALA LA UKABILA NA UDINI UPANDE WANGU, IAM VERY STRICT AND FOCUSED KWANI HOFU YANGU NI KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI'
mwisho wa kunukuu au rejea maneno yako nayaambatanisha hapa. chinihttps://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14998&page=52
Swali baada ya kuweka mchango wako kule umekuja hoja kufungua mjadala wa kidini ambao kule kwenye ukabila ulijumuisha kwa kusema kuwa ni KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI. kauli hizi mbili za kutatanisha umezitoa siku moja muda tofauti,hatukuelewi unakusudia nini au tushike lipi?
Hivi ni wapi mimi nimesema CCM kuna udini? Angalia hoja ya kwanza Mgagagigikoko don't project what you think of me na kufikiri nimesema kitu ambacho sijasema.