Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
That statement in red sums it all about you. Whatever you see in ukabila is worse than what Chenge did? The same Chenge who brought us Buzwagi, IPTL, and all dubious contracts?

You are beyond comprehension my friend, this potrays you negatively.

I agree that I care more about our wholesome than just dealing with individuals like Chenge. We can fight Buzwagi, IPTL etc. and win it in a matter of days/weeks/montsh etc., as long as our leaders wishes to and we are united. But once we become tribalistic, the energy to fight will disappear and even a very junior fisadi will be as strong as his trabalistic supporters. Ukabila is only good for the beneficiaries, and a catastrophe to the nation, ask the Rwandese and will tell it better.
 
Dhafuri hakuna wakiristo labda wale wa upande wa Kingunge Wakiristu wa Sudan wanapatikana kwa wingi upande wa Kusini mwa Sudan kwa akina John Garange.
tatizo la Dafur ni mali iliyopo chini ya ardhi mafuta na madini ya Uranium ndio vita vyote hivi unavyoviona.Be care with propaganda za kimarekani na video zinazotayarishwa Holywoode.
 
Point yako ni nzuri na nimeielewa. Lakini pia sidhani kama wewe unaweza kusoma moyo wangu kujua kuwa ninasema kile wanachosema walioko Darfur. Mimi nimesema tu vile nilivyo bila kudhalilisha yoyote yule ambaye yuko tofauti na mimi. Ninatambua diversity bila kumtenga yoyote yule. Ni kama vile wewe ulivyosema kuwa ni mchaga lakini sidhani kama una maana kuwa wengine watakojiita wasukuma watakuwa wanatafuta ugomvi nawewe.

Hakuna makosa kwa wewe kusema kuwa ni mchaga kwa sababu umesema ukweli kuhusu wewe. Ukianza kuwatenga ambao sio wachaga kwa vile tu wao si wachaga basi hapo ndipo kuna tatizo.

Itakuwa pia tatizo kama wengine pia wataanza kukutenga na kukuchukia kwa vile tu wewe ni mchaga.

Point taken...At least for NOW.
 
Dhafuri hakuna wakiristo labda wale wa upande wa Kingunge Wakiristu wa Sudan wanapatikana kwa wingi upande wa Kusini mwa Sudan kwa akina John Garange.

Duh!
Hii kali! WE JANJAWEED AMA?
MAANA UNAJITETEA KWELI KUHUSU WAPI NI KWA NANI...! DARFUR NI KWANANI?
NA IKO KASKAZINI AMA KUSINI?

NB😀.......!Darfur kweli ilinifanya nipige kelele dhidi ya vita ya kikwete huko Zimbabwe!
Kwani ni double standards za wamarekani! Hao wanaouwawa ni wakrsto tena wako huko NEBRASKA..KIBAO!WAKIMBIZI WA SUDAN!

Hakuna wakimbizi wa ZIMBABWE HUKU! PILI PILI YA NDUGUYE MWINGEREZA ILIMUWASHA!

SASA KAMA NI UKRISTO WANAOUPIGIA KELELE KILA SIKU...VIPI UKO ZIMBABWE?
 
I agree that I care more about our wholesome than just dealing with individuals like Chenge. We can fight Buzwagi, IPTL etc. and win it in a matter of days/weeks/montsh etc., as long as our leaders wishes to and we are united. But once we become tribalistic, the energy to fight will disappear and even a very junior fisadi will be as strong as his trabalistic supporters. Ukabila is only good for the beneficiaries, and a catastrophe to the nation, ask the Rwandese and will tell it better.

Trying to use your logic, are we now doomed coz CCM is a religious party (to be specific an islamic party) thus cant lead the nation to fight corruption?

Do we have to ask Sudanese who have been fighting for over 30 years among themselves by using brands like christians against Muslims about the nature of their wars? Is this where CCM is leading us to? Religious civil war? - Just using your logic here.
 
So far, you are talking about the same thing, you cant accuse Chadema of tribalism and not do the same to CCM. The same standards you are using have been used by somebody else to show that 30 of 38 CCM CC members are muslims.

You have to equally blame both parties (if this really matters) if you want to make a point. Otherwise, you are just presenting yourself as a party zealot who will bend rules and issues to score a point. Shame on you and all who try to instill religious and tribalistic feelings into our minds.

Mwanakijiji skewed the statistical analysis.

First, 5 of 6 does not parallel 25 of 38. There's no comparison.

Second, you have 26 regions to disperse 6 seats. That is a far cry the distribution of 38 seats. How can you go wrong dispersing 6 seats to 26 regions? Do 5 out of 6 need to go to a single region?

Third, the rumblings of lopsided representation within CHADEMA did not start yesterday, or after the 2005 elections. It's an age-old grievance from various quarters over the years, not just Wangwe.

Four, and most importantly, membership to the National Executive Committee of CCM has a pre-determined blind system of selection.When the rules say that NEC shall consist of, say, the Speaker of the National Assembly from CCM, it does not matter who that speaker is, his or her religion, tribe or gender. In contrast, the 6 CHADEMA parliamentary members were handpicked. Mwanakijiji knows this, and he chose to create a bogus comparison for ideological expedience.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Ibara ya 109 (1)

(1) Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa itakuwa na wajumbe wafuatao:-

(a) Mwenyekiti wa CCM.
(b) Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania anayetokana na CCM.
(c) Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.
(d) Rais wa Zanzibar anayetokana na CCM.
(e) Katibu Mkuu wa CCM.
(f) Manaibu Katibu Mkuu wa CCM.
(g) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizasheni.
(h) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi.
(i) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
(j) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha.
(k) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano anayetokana na CCM, na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar anayetokana na CCM.
(l) Wajumbe wengine wasiozidi kumi na wanne waliochaguliwa na Halmashauri
Kuu ya CCM ya Taifa wakiwemo wanawake wasiopungua wanne, wawili
kutoka Tanzania Bara na wawili kutoka Tanzania Zanzibar.
(m) Mwenyekiti wa Taifa wa kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa na CCM.
(n) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CCM.
(o) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM.
 
Back To The Numbers!?
Kwanini Tusi Kaunti Namba Za Mafisadi Wanaojaribu Kujisafisha?
Time Here Is The Most Valuable Factor Ever!
 
Kuhani,

Now you are expanding the argument to highlight the context. This is very good. This is what should have been the argument and not just picking up numbers. We should look at the process and qualifications and not tribes and religious affiliations.

Somebody counted 30 out 38 ccm leaders and called them muslims as the other who counted 5 out 6 Chadema MPs and called them Chaggas. NO body cared to go a step further and say what there are 5 chaggas and 30 muslims.

This is very nice of you.

However, no matter the context, the facts are still there, there are 5 chagas and 30 muslims (as it's been described here).

The question is, should this matter at all?
 
Couldn't say it better. Mwanakijiji is trying to defend this inequity either because he is part of the beneficiaries (the Kilimanjaros) or he is a party insider trying to protect the image of CHADEMA. I guess he is both.
 
Sijawahi kuona kama dini ni tatizo Tanzania. Kuna baadhi ya watu (wajinga) wanajaribu kuutumia uislamu kujipatia malengo yao ya kisiasa, lakini kila mara wanapata shida na wanashindwa. Kwa sababu hiyo ni ajanda ya wasiosoma, na wale wasio na issue au sera.
Tanzania tumeona kuna baadhi ya viongozi waislamu,wakristo,wahindu wote ni wezi
 
Whatever the motive, Nobody should look at his/her fellow Tanzanians through the glass of tribes and religions. So far, You kubwajinga, Mgaya and some here have potrayed youself here as a tribalists and a party zealots who can even kill somebody for who they are.

It is wrong and shamefully below this forum.
 
Sijawahi kuona kama dini ni tatizo Tanzania. Kuna baadhi ya watu (wajinga) wanajaribu kuutumia uislamu kujipatia malengo yao ya kisiasa, lakini kila mara wanapata shida na wanashindwa. Kwa sababu hiyo ni ajanda ya wasiosoma, na wale wasio na issue au sera.
Tanzania tumeona kuna baadhi ya viongozi waislamu,wakristo,wahindu wote ni wezi

Na ndio maana hao uliowataja hapo juu dont relly matter in this case.
What actually matters ni SHERIA ZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMBAZO ZINA WAGOVERN HAO WOTE HAPO HAPO JUU! bila kujali descriptions!
SIASA ZITABAKI KUWA SIASA LAKINI UKWELI UTAAMULIWA NA SHERIA.
 
True Bongolander,

Wezi ni wezi tu bila kujali dini, kabila, au sehemu walikotoka. Ukiona mtu kama kubwajinga anasema kuwa yeye hajali kuhusu ufisadi wa chenge ila anajali sana kuwa Chadema ina wabunge wachagga basi ujue kuna tatizo kubwa sana nchini mwetu.

Inasikitisha tena pale anaposisitiza kuwa anajali na anapinga ubaguzi wa kikabila chadema bila kukemea udini ndani ya ccm. Nilisema mwanzoni kuwa, kuanza kufuatilia makabila na dini za watu huwa kunaishia kwenye genocide tu na hakuna mwisho mwingine.

Huu ni mchezo ambao wakoloni waliucheza na bado wanaucheza leo kule Iraq kwa kuwachonganisha wasuni na washia, au wanachotumia kule Congo kwa kuchonganisha wanyamulenge na wakongo wengine.

Aibu kubwa. Members wa forum muhimu kama hii lazima twende beyond these shameful lines.
 
Na ndio maana hao uliowataja hapo juu dont relly matter in this case.
What actually matters ni SHERIA ZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMBAZO ZINA WAGOVERN HAO WOTE HAPO HAPO JUU! bila kujali descriptions!
SIASA ZITABAKI KUWA SIASA LAKINI UKWELI UTAAMULIWA NA SHERIA.

Kweli jmushi1,

Ukianza kuangalia kabila kama vile alivyosema Lowassa na Chenge kuwa wanaonewa tu kwa vile wao ni wamasai au wasukuma, au ukianza kuangalia dini ya viongozi wa ccm au makabila ya chadema, basi utaishia kupigana na kina Slaa au Zitto na makabila yao badala ya kuangalia issue kubwa hapa ambayo ni haki na utawala bora wa nchi yetu.
 
Hawa wajumbe wa NEC hawakuchaguliwa kwa kigezo cha dini zao walipigiwa kura na wajumbe wa chama kwa misingi ya chama chao,swali hili ungewahoji waliopiga kura kama mimi na wengine ninavyowauliza kina Ndesamburo kulazimisha watoto na watu wa kabila lao kuwa wabunge wa viti maalum vya Chadema bila kupigiwa kura na Wanachama .

Chadema wabunge sita wametoka Kilimanjaro na mmoja aliyetoka kigoma kuna maneno mitaani kuwa ni kigoli wa mkubwa wa Chadema ndio akapewa hiyo nafasi, hawakupita kwa chaguzi wala kupigiwa kura waliteuliwa na watu wachache wa kabila la kichagga kuwa wabunge wa viti maalum ingekuwa sahihi kuwaita wabunge wa kuteuliwa wa Chadema na si wa viti maalum, hakukuwa na kanuni wala taratibu za kuwachagua wabunge hao na wanachama au wajumbe hawakuwapa ridhaa zao.
CCM inaongozwa kwa sera na kanuni sio utashi wa watu watatu kama chadema na wote kabila moja.

imewahi kusemwa humu kuwa kusema kuwa CCM ni chama cha kiislam sio kweli, sababu wakati Mkapa ni mwenyekiti wa CCM taifa alikuwa mkristu, makamu wa rais alikuwa John Malecela mkristu, Katibu mkuu alikuwa Philiph Mangula Mkristu,Katibu mwenezi alikuwa mkristu bwana Jackson Msome,Mwenyekiti wa makao makuu Dodoma mzee Ndenjembi-mkristu alikuwa na katibu wa mkoa mkristu, Katibu w chama Jiji la Dar-es-salaam kwenye makao makuu madogo ni Barongo-mkristu.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa-Emmanuel Nchimbi mkristu, katibu mkuu wa umoja wa vijana alikuwa Makalla-mkristu,msaidizi wa katibu wa umoja wa vijana Beno Malisa-mkristu,Katibu Jumuiya ya wazazi -mkristu, Kiongozi wa bendi ya Chama TOT ni mkristu bwana John Komba, nenda kwa wakuu wa mikoa na wilaya halafu tizama sasa wenyeviti na makatibu wa chama wa mikoa ni wakristu kwa asilimia 80% Tanzania Bara, ukienda kwa Makatibu wa wilaya na wenyeviti wa CCM hivi sasa wakristu kwa asilimia 75% swali la msingi waislam ni minority Tanzania Bara? hakuna mtu alisema kuwa CCM chama cha Kikristu.

na Rais Mkapa alikuwa na msaidizi wa kikristu bwana Sumaye kama waziri mkuu kwa upande wa serikali, Hivi Mwanakijiji unasema kutoka moyoni kwako kuwa umefanya utafiti w kweli na haki? haya maelekezo yametolewa hapa Jf mara nyingi hujawahi kuyaona? kuna ile makala uliandika kuwa Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali haina tofauti na hii ya leo,

Ulichokosea kumsema wazi Wangwe unaonesha uko Upande wa Mbowe kuzidi kumsakama,lakini unamzidishia umaarufu juzi umemuhoji, Hadi wakili wake Tundu Lissu kuvunja miiko ya kiwakili kwa kutoa siri za mteja wake(client confidential code) na kufanya mambo kinyume na professional yake, huwezi kuwa Mwanasheria unatoboa siri za mteja wako na unakubali kuhojiwa na mtu kwenye simu usiyemjua au anayetumia jina bandia na wala huna uhakika hiyo taasisi(KLH NEWS) ina legal status ipi.

Ikitokea Wangwe anakwenda mahakamani kumshitaki Tundu Lissu kwa kutoa siri za mteja wake redioni na aliyewahoji (Mwanakijiji)anatakiwa Mahakamani kutoa ushahidi, Tundu Lissu atampata wapi Mwanakijiji au akiulizwa anaitwa Mwanakijiji bin nani? anuani yake? ataonekana na hakimu au jaji hajui kazi na ame act Unprofessional na leseni yake inaweza kusitishwa,
Au atashitaki kwenye bodi gani ambayo itaidhibiti redio(Klh News) kwa kutoa habari ambazo bado ziko mahakamani au kwa kosa lolote? siku zote wakili anatakiwa ku act to the best interest of his/her client bwana Tundu kafanya kinyume chake hii ni picha kamili kuwa mawakili wetu wengine makanjanja.
 
Kuhani,

Now you are expanding the argument to highlight the context. This is very good. This is what should have been the argument and not just picking up numbers. We should look at the process and qualifications and not tribes and religious affiliations.

Somebody counted 30 out 38 ccm leaders and called them muslims as the other who counted 5 out 6 Chadema MPs and called them Chaggas. NO body cared to go a step further and say what there are 5 chaggas and 30 muslims.

This is very nice of you.

However, no matter the context, the facts are still there, there are 5 chagas and 30 muslims (as it's been described here).

The question is, should this matter at all?

mwafrika.. very good.. finally Kuhani naye ameanza kuiona point yangu. Swali langu kuna viongozi wangapi Chadema (mtu asichukue sita tu na kugeneralize kwenye chama kizima). Then watuoneshe ni jinsi gani wamefikia suala hilo la Ukabila. Wangwe na wale wengine wenye kurudia masuala ya Ukabila wanajilimit kwenye namba ya wabunge sita tu na kuonesha generalization ya chama kizima na uongozi mzima wa Chadema.

Kuhani,

Of course najua Katiba ya CCM inasema (nikiwa nimelelewa ndani ya chama hicho). Najua jinsi gani viongozi wake wanapatikana, na ukirudi nyuma nimewahi kusema binafsi sijali sana nani ananiongoza as far as immutable characteristics are involved... Angalia definition yangu ya ukabila na udini ilivyo kwenye posti ya kwanza ili uelewe unachosema ndicho nimekijengea hoja, japo imekuchukua muda kufikia hapa.
 
Hawa wajumbe wa NEC hawakuchaguliwa kwa kigezo cha dini zao walipigiwa kura na wajumbe wa chama kwa misingi ya chama chao,swali hili ungewahoji waliopiga kura kama mimi na wengine ninavyowauliza kina Ndesamburo kulazimisha watoto na watu wa kabila lao kuwa wabunge wa viti maalum vya Chadema bila kupigiwa kura na Wanachama .

Chadema wabunge sita wametoka Kilimanjaro na mmoja aliyetoka kigoma kuna maneno mitaani kuwa ni kigoli wa mkubwa wa Chadema ndio akapewa hiyo nafasi, hawakupita kwa chaguzi wala kupigiwa kura waliteuliwa na watu wachache wa kabila la kichagga kuwa wabunge wa viti maalum ingekuwa sahihi kuwaita wabunge wa kuteuliwa wa Chadema na si wa viti maalum, hakukuwa na kanuni wala taratibu za kuwachagua wabunge hao na wanachama au wajumbe hawakuwapa ridhaa zao.
CCM inaongozwa kwa sera na kanuni sio utashi wa watu watatu kama chadema na wote kabila moja.

imewahi kusemwa humu kuwa kusema kuwa CCM ni chama cha kiislam sio kweli, sababu wakati Mkapa ni mwenyekiti wa CCM taifa alikuwa mkristu, makamu wa rais alikuwa John Malecela mkristu, Katibu mkuu alikuwa Philiph Mangula Mkristu,Katibu mwenezi alikuwa mkristu bwana Jackson Msome,Mwenyekiti wa makao makuu Dodoma mzee Ndenjembi-mkristu alikuwa na katibu wa mkoa mkristu, Katibu w chama Jiji la Dar-es-salaam kwenye makao makuu madogo ni Barongo-mkristu.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa-Emmanuel Nchimbi mkristu, katibu mkuu wa umoja wa vijana alikuwa Makalla-mkristu,msaidizi wa katibu wa umoja wa vijana Beno Malisa-mkristu,Katibu Jumuiya ya wazazi -mkristu, Kiongozi wa bendi ya Chama TOT ni mkristu bwana John Komba, nenda kwa wakuu wa mikoa na wilaya halafu tizama sasa wenyeviti na makatibu wa chama wa mikoa ni wakristu kwa asilimia 80% Tanzania Bara, ukienda kwa Makatibu wa wilaya na wenyeviti wa CCM hivi sasa wakristu kwa asilimia 75% swali la msingi waislam ni minority Tanzania Bara? hakuna mtu alisema kuwa CCM chama cha Kikristu.

na Rais Mkapa alikuwa na msaidizi wa kikristu bwana Sumaye kama waziri mkuu kwa upande wa serikali, Hivi Mwanakijiji unasema kutoka moyoni kwako kuwa umefanya utafiti w kweli na haki? haya maelekezo yametolewa hapa Jf mara nyingi hujawahi kuyaona? kuna ile makala uliandika kuwa Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali haina tofauti na hii ya leo,

Ulichokosea kumsema wazi Wangwe unaonesha uko Upande wa Mbowe kuzidi kumsakama,lakini unamzidishia umaarufu juzi umemuhoji, Hadi wakili wake Tundu Lissu kuvunja miiko ya kiwakili kwa kutoa siri za mteja wake(client confidential code) na kufanya mambo kinyume na professional yake, huwezi kuwa Mwanasheria unatoboa siri za mteja wako na unakubali kuhojiwa na mtu kwenye simu usiyemjua au anayetumia jina bandia na wala huna uhakika hiyo taasisi(KLH NEWS) ina legal status ipi.

Ikitokea Wangwe anakwenda mahakamani kumshitaki Tundu Lissu kwa kutoa siri za mteja wake redioni na aliyewahoji (Mwanakijiji)anatakiwa Mahakamani kutoa ushahidi, Tundu Lissu atampata wapi Mwanakijiji au akiulizwa anaitwa Mwanakijiji bin nani? anuani yake? ataonekana na hakimu au jaji hajui kazi na ame act Unprofessional na leseni yake inaweza kusitishwa,
Au atashitaki kwenye bodi gani ambayo itaidhibiti redio(Klh News) kwa kutoa habari ambazo bado ziko mahakamani au kwa kosa lolote? siku zote wakili anatakiwa ku act to the best interest of his/her client bwana Tundu kafanya kinyume chake hii ni picha kamili kuwa mawakili wetu wengine makanjanja.

wewe sasa ndio unazidi kuharibu kabisa. Huwezi kutetea ccm kuwa chama cha kiislam sasa hivi kwa vile tu wakati wa mkapa kilikuwa cha kikristo. Hii bado haibadili hii dhambi ya kuangalia watu kwa misingi ya ukabila na udini.
 
Hivi Mwanakijiji unasema kutoka moyoni kwako kuwa umefanya utafiti w kweli na haki? haya maelekezo yametolewa hapa Jf mara nyingi hujawahi kuyaona? kuna ile makala uliandika kuwa Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali haina tofauti na hii ya leo,

Katafute makala hii niliyosema kuwa "Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali". Sijawahi kusema hivyo.
Ulichokosea kumsema wazi Wangwe unaonesha uko Upande wa Mbowe kuzidi kumsakama,lakini unamzidishia umaarufu juzi umemuhoji,

Niko upande wa reason. Soma post ya kwanza utaelewa ninasema nini.

Hadi wakili wake Tundu Lissu kuvunja miiko ya kiwakili kwa kutoa siri za mteja wake(client confidential code) na kufanya mambo kinyume na professional yake, huwezi kuwa Mwanasheria unatoboa siri za mteja wako

Hakutoa siri yoyote ya mteja acha kupotosha watu. As a matter of fact in the interests of full disclosure (kama unaelewa hiyo concept) alitakiwa kusema alichosema.

na unakubali kuhojiwa na mtu kwenye simu usiyemjua au anayetumia jina bandia na wala huna uhakika hiyo taasisi(KLH NEWS) ina legal status ipi.

Nani alikuambia KLH News ni taasisi? Na hii Marekani ndugu yangu siyo nchi ya Kikomunisti kuna mambo yanawezekana hapa ambako kwingine hayawezekani.

Ikitokea Wangwe anakwenda mahakamani kumshitaki Tundu Lissu kwa kutoa siri za mteja wake redioni na aliyewahoji (Mwanakijiji)anatakiwa Mahakamani kutoa ushahidi, Tundu Lissu atampata wapi Mwanakijiji au akiulizwa anaitwa Mwanakijiji bin nani? anuani yake? ataonekana na hakimu au jaji hajui kazi na ame act Unprofessional na leseni yake inaweza kusitishwa,
Au atashitaki kwenye bodi gani ambayo itaidhibiti redio(Klh News) kwa kutoa habari ambazo bado ziko mahakamani au kwa kosa lolote? siku zote wakili anatakiwa ku act to the best interest of his/her client bwana Tundu kafanya kinyume chake hii ni picha kamili kuwa mawakili wetu wengine makanjanja.

Hiki ndicho kichekesho cha mwaka. Kwanza hakuna siri ya mteja iliyotolewa. Pili wakienda mahakamani wana namba yangu wanipigie tu 1 248 556 6748 na waniulize mimi ni nani Bin Nani.. So waende tu mahakamani. Hivi kweli unafikiri watu wote ninaozungumza nao kwa kutumia "mwanakijiji" hawanijui mimi ni nani? duh! unaiunderestimate serikali yako sana. Wakitaka kuandika wasifu wangu wanaweza kuandika kuanzia wapi nilizaliwa hadi ninapofanya kazi sasa. Wanaheshimu ninachofanya ndiio maana wako tayari kuzungumza nami na kupokea simu zangu siyo Wangwe na Lissu tu hadi Rais Kikwete mwenyewe. Tofauti yetu siyo uadui. Haya ni mambo ya kisiasa, kama wewe unataka kufanya iwe personal utapotea kweli.
 
Mwanakijiji,

Kwanza nikupongeze kwa kutumia hoja yao katika kuonyesha hypocrisy. Kwanza ningependa watu waniambie wachaga ni watu wa wapi ? Kwa sababu sio kila mtu anayetoka mkoa wa kilimanjaro ni mchaga. Pili katika hilo kabila tunaloliita wachaga wamegawanyika katika makundi zaisi ya kumi na tano na lugha ni tofauti .

Kwa hiyo ni vizuri watu kujua historia ya sehemu fulani kabla ya kuanza kugeneralize.
 
MWANAKIJIJI.
Jana kwenye mjadala wa Wangwe kusimamishwa na Chadema ukurasa wa 52 ulisema maneno yafuatayo, nakunukuu,

'LINAPOKUJA SUALA LA UKABILA NA UDINI UPANDE WANGU, IAM VERY STRICT AND FOCUSED KWANI HOFU YANGU NI KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI'
mwisho wa kunukuu au rejea maneno yako nayaambatanisha hapa. chinihttps://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14998&page=52

Swali baada ya kuweka mchango wako kule umekuja hoja kufungua mjadala wa kidini ambao kule kwenye ukabila ulijumuisha kwa kusema kuwa ni KURUHUSU KUTENGENEZA CHUKI HATA ISIYO NA MSINGI. kauli hizi mbili za kutatanisha umezitoa siku moja muda tofauti,hatukuelewi unakusudia nini au tushike lipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom