Udbs hamtendi haki na hizo internship zenu.

ndo zile internship za kupeana mbona mimi mwana udbs lakini nasikia tu kuna watu wanafanya crdb. nyie si mmezoea kuchakachua chakachuen basi na hayo malipo. mnapeana eeeeeeeeeeehhhhhh mlidhani hizo ni posho za bungeni. ushauri; gomeni kunji la ukweli

nawe una gundu zako tu, mbona karibia wote walioomba wamepata? Au na wewe una UDBS yako?
 
kama vp wachaneni mawaiti, uwo si mpanga wao wanajua sababu mna njaa mtafanya tu amna jinsi. but mjoonge mjongeni lkn akiyake mpeni. niyo tu mkuu, poleni sana, msikubali kufanya kazi kwa ziki.
 
kama vp wachaneni mawaiti, uwo si mpanga wao wanajua sababu mna njaa mtafanya tu amna jinsi. but mjoonge mjongeni lkn akiyake mpeni. niyo tu mkuu, poleni sana, msikubali kufanya kazi kwa ziki.

kama hana ziki kelele za nini, aache aone wenye ziki wanavyofanya kazi fasta, mfungwa hachagui gereza kijana.
 
Back
Top Bottom