tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Huu umasikin wetu mmeamua kuutumia vizuri...kuna internship za UDBS(advans bank, ttcl na kwingineko) watu wanalipwa 150,000/months, ambayo 5,000/day-hela ambayo tuliigomea tukiwa chuo...kibaya ni kwamba mwanzo walihaidi watalipa 250,000 lakini ghafla wamebadilika na kuanza kulipa 150,000. Pia inasemekana kuwa pesa hizo ni za DANIDA, wenye mradi hapo UDBS kuweni na huruma hata kidogo.