VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 786
kweli kabisaTaifa la walalamikaji, legelege.......!
kweli kabisaTaifa la walalamikaji, legelege.......!
Ndugu JK si mjinga kiasi hicho mpaka amwache huyo denti aharibu kiasi hiki. Tapeli Simon ndo anatumia picha aliyopiga na huyu denti na wala huyu denti hajui kama huyo Tapeli wa kutupa anatumia picha yake. Waulizeni watu wa Maswa kwa nini hawakumchangua ni kwa sababu ya dhuruma anazofanya.
<br />....dogo yupo fasta...kuna ile hoteli opposite na imalaseko....kwenye kona ya maktaba....balozi...
hii nchi ikitokea vita ndipo heshima itarudi maana nao wajinga ni wengi sana nawanalewa madaraka kila kukicha
haya mambo ya waarabu (JK and sons) kutaka kutawala kifalme yatatuangamiza
<br />Mbona Mama Mkapa hajafanywa kitu kuchukua maflat ya ilala na kuyaita Lamada Appartment au bado ana kinga ya Uraisi wa Mkapa? na mali nyingi walizojichukulia na mkapa!! Riz1 keshanusa Watanzania ni watu wa Kusahau mapema!
Ni lazima Igwana ujuwe kuwa watu hapa tuko serious .....hatuleti hoja za kufikirika...au hoja zinazoongelewa magengeni uswahilini....tunakupa hoja za yanayongelewa na kweli unaona yanatokea kwenye corridors of power..yaani kwenye idara na maofisi nyeti ya serikali....!!!masuali yanazuka..
1] Imekuwaje UDA inauzwa bila hata tangazo kutolewa ...ili kama mbia apatikane kwa ushindani...
2]Imekuwaje Robert apewe umiliki wa kampuni tena kwa nguvu hata baada ya kushindwa kulipa bei chee aliyouziwa ya 1.4 Billioni..hadi expiration ya muda wa ku deposit ukafika.[amelipia milioni 250 tu kati ya hizo hadi muda unaisha]...kitaaluma angetakiwa kurudishiwa pesa yake atangazwe kutafutwa mbia mwingine.
3]Nini kilisukuma meya kwenda kuwaingiza ofisini kina robert kwa nguvu.....?
4]Ridhwani ataweza vipi kukana usharika wake na Kisena leo....
Hatujamuhukumu Ridhiwani kwa kujikwapulia UDA.[wala hatutamuhukumu yeyote iwe baba yake,mama yake wa kufikia ,shemeji yake au yeyote..ni kazi ya mahakama]...lakini its just a matter of time tutajuwa the un-touchable force behind Robert Kisena....na ijulikane wazi kuwa Rais anao watoto wengi tu ...kwaniini iwe mmoja tu anatuhumiwa kila mara..ingekuwa chuki basi na wengine pia wangechafuliwa..tusi divert attention kwa hoja za kutetea uovu...