MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
These guys are walking on a very tight and thin rope.
Japo halijaingia kwenye Hansard baada ya Mwenyekiti wa mjadala wa jana kuzuia lakini moja ya maamuzi magumu ni kuondoa uhuru walionao Masaburi, Iddi Simba, Kapuya na wale wote waliotajwa kuhusika.
.....
PALE BUNGENI MMEONA PILIKA ZA ESTHER BULAYA juzi kujaribu kuwashawishi wabunge mbali mbali[and you know what ...as coincidence huyu KISENA alikuwa behind the scene hotelini kuratibu haya yote......!!
Katika mjadala wa jana wa bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na uchukuzi, yalijitokeza malalamiko kadhaa, lakini kubwa kuliko yote ni namna UDA ilivyobinafsishwa na fedha kuingia mfukoni kwa mtu binafsi. Lakini katika baadhi ya mapendekezo, wabunge waliomba maamuzi magumu yachukuliwe, kwa kuivunja Halmashauri ya Jiji ambayo kinara wake ni fisadi Masaburi. Wakasisitiza kwamba hatua kama hii ilipata kuchukuliwa huko nyuma na baada ya hapo Halmashauri ilirejea ikiwa ni imara. Hii ikanikumbusha enzi za utawala wa Sumaye akiwa PM na kuingia kwa akina Keenja ambao walisaidia kulisafisha jiji.
Lakini msisitizo wa kipekee ni kuchukuliwa kwa hatua za kisheria tena za mara moja dhidi ya wale ambao walikuwa katika mpango huu wa uporaji na kwa kweli hapa ndipo unapojiuliza ni kwa namna gani DG-PCCB, DG-TISS, DPP na DCI wanaendelea kula mshahara kwa kazi ambayo hawaifanyi. Hizi kelele za kumtaka CAG aingilie kati katika issues ambazo unaona wazi kwamba zina fraud ndani yake ni kupoteza muda kusiko na sababu. Afterall, watu kama Masaburi ndiyo wale walioua mradi wa mabasi ya wanafunzi baada ya kuacha kazi Kibuku kwa nia ya kuingia CCM ili kuendesha wizi wake!
Mkuu, kwa nafasi yangu kama katibu wa wabunge wa DSM nieleze tu kwamba Esther pamoja na Deo ambao wote ni wajumbe wa kamati ya kudumu ya hesabu za mashirika ya umma walishiriki kwenye kikao chetu cha jana cha wabunge wa DSM kutoa mchango wao wa mawazo kwa sababu kuna taarifa kuhusu kashfa ya UDA ambazo zilipitia kwenye kamati yao. Nafahamu kuwa Robert Kisena wa Simon Group Ltd alikutana na Zitto wakiwa pamoja na Esther siku kadhaa nyuma ili kuwapa taarifa za upande wao. Hata hivyo, naelewa kwamba msimamo wa wote wawili na kamati yao ni kupinga ufisadi na ukiukwaji wa sheria uliofanywa kuhusu UDA uliohusisha kampuni ya Simon na wamepingana wazi wazi na Robert. Leo wabunge wa Dar es salaam tumetoa tamko kuhusu matatizo ya UDA ikiwemo nafasi ya Meya Masaburi katika sakata zima pamoja kutoa mwito wa hatua za ziada kuchukuliwa zaidi ya kauli aliyotoa Waziri Mkuu Pinda bungeni leo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo. Nawatakia mjadala mwema
JJ
1. uhusiano wa kibiashara kati ya ridhiwani kikwete na robert kisena ..yamekuwa yakiongelewa kwa muda sasa....kuanzia kwenye ununuzi wa pamba [kisena akilaumiwa kuwapusha mzani wakulima]...hadi biashara ya kupeleka mafuta migodini...na uchakachuaji wa mafuta.....katika hali inayoendelea ni wazi kila mtu atajiuliza robert kisena ni nani hadi aweze kumilikishwa uda ...kwa kiasi cha shilingi milioni 250 tu.....
Ukizingatia mali zinazohamishika na zisizohamishika...za mabilioni ya shilingi ..ikiwemo yard kubwa sana jirani na bandarini.........imeshangaza sana kuwa uda inauzwa asilimia 52% kwa bilioni 1.4 ,robert anatoa 250 million na anapewa ..haki zote....tena bila kufuata taratibu za public procurement...nani hapa ameona tangazo la uda kutafuta mbia ..na taratibu zimefuatwa???
Tunapenda kuwa na wawekezaji wazawa lakini ..kitendo kinachodhaniwa kufanywa na mtoto wa rais kupenyeza rafiki zake kama kivuli cha kujimilikisha uda hakikubaliki kabisa ...kwani kila mtu anajuwa uhusiano wa kibiashara kati ya robert na ridhiwani ...hii ilipelekea hadi kwa ushawishi wake roberty akapitishwa kugombea ubunge maswa ..hata baada ya kushika nafasi ya tatu nyuma ya shibuda,na joseph......hii ilipelekea ccm ...kupoteza jimbo...serikali ya kishkaji!
uda yauzwa kwa bei chee, ofisi zake zavamiwa - page 4
mgombea wa ccm ampiga ocd,ridhiwani amdhamini......
"mgombea huyo (kisena) ametiwa nguvuni kutokana na mzozo wake na ocd wa maswa juzi kituoni hapo na kumpiga ocd," alisema kamanda siasi, ambaye mwishoni mwa wiki alikaririwa akisema kuwa suala la shambulizi hilo ni la ocd ndunguru na si jeshi la polisi na kufafanua kuwa ofisa wake ndiye aliyetakiwa kuamua au kutoamua kumshtaki mgombea huyo kwa tuhuma hizo za kufanya jinai.
Akizungumza kwa njia ya simu siku ya tukio, ocd ndunguru alisema mgombea huyo wa ccm aliyeambatana na viongozi wa chama hicho walifikika polisi na kuuliza mahali alipo shibuda, lakini kabla ya kujibiwa kisena alimrukia ocd na kuanza kumshambulia kwa mateke kiasi cha kumuangusha chini.
alinirukia na kunipiga, alieleza ocd, lakini 'bosi' wake, ambaye ni kamanda siasi, akasema kuwa suala la kisena na ocd ni jambo la kawaida kiutendaji na wala siwezi kulizungumzia... Kwa sasa hapa ninashughulika na suala zito la mauaji
the driver of the chama cha mapinduzi (ccm) parliamentary aspirant for maswa west constituency, mr steven kuilasa (16), was attacked and killed on friday by chadema supporters. The deceased was the driver of maswa aspirant mr robert kisena.
[h=1]mwekezaji mpya uda lawamani[/h][h=2]meneja uda aliyesimamishwa kazi amjibu meya masaburi[/h]meneja wa shirika la usafiri dar es salaam (uda), victor milanzi, aliyesimamishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu , amekanusha kuhusika na ubadhilifu wa sh.millioni 200 zilizopotea na badala yake amemtaka meya wa jiji la dar es salaam, didas masaburi.akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam jana, alisema masaburi anaficha ukweli kwa sababu anashirikiana na mmiliki wa kampuni ya simon group robert kisena kumchafua ili malengo yao yatimie.meya masaburi akishirikiana na wamiliki wa simion group ambao ni vigogo mbalimbali akiwemo waziri wa muda mrefu wameapa kuichukua uda kwa nguvu ili waigeuze container terminal ili kukidhi matakwa yao binafsi, alisema milanzi.milanzi alisema meya masaburi aliitisha kikao juni 10 mwaka huu na kubariki maamuzi ya bodi ya uda kwa kufanya kikao na mmiliki wa kampuni ya simon group huku akijua kuwa bodi ilikosea kwa kuwa ilikuwa haikuwahusisha wanahisa wakubwa.aidha, milanzi alisema meya katika kikao hicho alipitisha maamuzi hayo akijifanya yeye ni mwenyekiti na robert kisena mmiliki wa simion group kuwa katibu na kufanya maamuzi batili bila ridhaa ya baraza la madiwani na wanahisa wakubwa.hata hivyo, uchafu huo ulikamilika pale alipomkabidhi kampuni ya uda siku hiyo hiyo simion kisena kwa vile alilipa milioni 285 sawa na asilimia 12.5 ya hisa zote za uda na kumtangaza mbele ya wafanyakazi.alidai kuwa mmiliki wa kampuni hiyo juni 22, saa 2:00 ya usiku alivunja ofisi za umma za meneja mkuu wa uda na kuiba nyaraka muhimu zikiwemo hati miliki ya majengo na kuitaka serikali isikae kimya wakiangalia mali za uda zikiporwa kwani wao ndio mmiliki.awali meya alitangaza kuunda tume mbili kwa ajili ya kuchunguza fedha zilizopotea uda na mkataba uliopo pia kuchunguza matatizo yanayopatikana katika kituo cha ubungo na kwamba zitagharimu milioni tisa hadi watakapo maliza uchunguzi.meya alisema sh. Milioni 200 zilikuwa zimepotea na hazikuonyesha matumizi yake yoyote na ameipa tume mwezi mmoja ili kuweza kujua ukweli wa jambo hilo.
ninamshukuru mwenyezi mungu kwa kupunguza umri wa mwanadamu humu duniani....haya yote wayafanyayo linalonisuuza roho yangu na kuwa na amani ya bwana ni kuwa watayaacha hapahapa duniani........kwa hiyo wanajisumbua bure..............in jk's aura like father like son...............
....dogo yupo fasta...kuna ile hoteli opposite na imalaseko....kwenye kona ya maktaba....balozi...