UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

Ama kweli Tanzania ni shamba la bibi! Kwa hali hii, mama zetu wataendelea kufa kwa wingi kwa kukosa huduma za afya, wagonjwa kulala wanne wanne kwenye kitanda kimoja, watoto wetu wataendelea kuka chini kwenye vumbi kwa kukosa madawati, watoto wa makabwela wataishia St. Kata schools na kadhalika na kadhalika!
 
Ndugu JK si mjinga kiasi hicho mpaka amwache huyo denti aharibu kiasi hiki. Tapeli Simon ndo anatumia picha aliyopiga na huyu denti na wala huyu denti hajui kama huyo Tapeli wa kutupa anatumia picha yake. Waulizeni watu wa Maswa kwa nini hawakumchangua ni kwa sababu ya dhuruma anazofanya.
 
Ndugu JK si mjinga kiasi hicho mpaka amwache huyo denti aharibu kiasi hiki. Tapeli Simon ndo anatumia picha aliyopiga na huyu denti na wala huyu denti hajui kama huyo Tapeli wa kutupa anatumia picha yake. Waulizeni watu wa Maswa kwa nini hawakumchangua ni kwa sababu ya dhuruma anazofanya.

Labda tujiulize inakuwaje tapeli anakuwa close na familia ya raisi? Kuna msemo unasema "if you want to know the type of a person I am, just look/find out the type of people I hang out with" Tujiulize pia huyu Robert Kisena kabla ya utawala wa JK alikuwa nani, alitokea wapi na amefikaje hapo alipo?
 
....dogo yupo fasta...kuna ile hoteli opposite na imalaseko....kwenye kona ya maktaba....balozi...
<br />
<br />

Kumbe lisemwalo lipo, hii habari ya Embassy Hotel imenong'onwa saaaaana mwaka jana mwishoni kwamba dogo kachukua baada ya kuwepo na technical complications Manji aliitaka kupitia kampuni ya (KJ Motors Ktd, ambayo ni mali ya marehemu babake Manji na ni mufilisi) iliyoibia wizara ya ujenzi enzi hizo.
Huyu mtoto kiboko.
 
Hii nchi inatia kinyaa sana,hivi huyu dogo ananguvu gani mpaka anafanya uchafu wote huu tena waziwazi?takukuru wapo au wamelala?
 
Mashirika yote wameyaua sasa wanamalizia haya yaliyobaki,jamani serikali okoa mali zako
 
NALAANI AINA YA USHIRIKA KAMA HUO....

WATANZANIA JE tuna subiri nn baada ya mzee ben na anna mkapa kututenda ktk utawala wao, tunazidi kawasahau wanaendelea kula bataa.
mpk leo hakuna uamuzi tuliochukua?,
miaka inazidi kukatika!

JE TUNAKAA TUU NA KUOMBA MIUGIZA BABA WA TAIFA AFUFUKE....? HAIWEZEKANIII, MUHIMU KUCHUKUA HATUA...!

Haiwezekani tena kuwa na huu uvumili wa Govt ya JK, Rizone na washirika wao wanazidi kutupiga bao na kutuona wajinga,
ni muda ss wa kuirekebisha hii Govt legelege na fisadi.....!

Je wale watu safi waliopo ndani ya Govt, wanatusaidiaje ktk hile la kuirekebisha Govt legelege na kuchukua hatua za kuzilinda rasilimali za Tanzania?
Wajemeni watu safi mlio ndani ya Govt unganeni tupigane hii vita!

kwa kuanzia wafanyakazi wa UDA msilkubali huo ufisadi wa kishenzi kabisa, wafungieni milango hao mafisadi wasiingie katika uendeshaji wa management yenu na wadaini mali za umma kwa niaba ya watanzania wote... Tupo pamoja!
 
Naona kijana simon kisena anajifanya kuongea kwa kujiamini sana lakini anatia shaka hasa alipokuwa anasisitiza sana kwamba hakuna mtoto wa kigogo kwenye UDA.
 
Dogo Ridhwan please slow down nchi haitawaliwi kihivyo. Kumbuka tu kwamba watu wengi wanakutumia wewe kuweza kufikia malengo yao binafsi na sii kwamba wapo nawe kwa moyo wa kuijenga nchi.. Huyu Meya Masaburi naye kaingia kimchongo sana na kwa bahati mbaya anapenda sifa..Na hizi sifa zitampeleka pabaya!
 
haya mambo ya waarabu (JK and sons) kutaka kutawala kifalme yatatuangamiza

Mkumbuke kuwa huyu mkwele wetu alikwenda Misri kwa Mubarak kutaka kujifunza jinsi alivyokuwa anawatayalisha wanawe kumrithi; sasa yaliyomkuta mwalimu wake yatakuwa fundisho kubwa kwake kuwa when the chips are down KINGS VANISH!!Mungu husikia dua za wanyonge na hawa mafisadi wetu hukumu itawafikia.
 
ile orodha ya mafisadi inapaswa iongezwe akina KISENA, MASABULI , nk tuungane TUUKATAE UNYONYAJI.
 
jamaa anajiamini sana na anushawishi mkubwa sana ,kama angefuata kanuni za kuinunua uda mimi nisingekuwa na mashaka naye ila kwa sasa simwamini kabisa japo ni mzalendo
 
ukilaza wa huyu dogo umetumiwa na wajanja wengi kujinufaisha, kasi yake ni ya kutisha, anafanya michezo ya kitoto akidhani haitagundulika. Pccb na usalama wa taifa wapo likizo,
yaani umpige askari akiwa kazini tena kwenye uniform alafu useme ni issue ya askari na mshitakiwa? Kudadeki kweli hii nchi ina wenyewe,
usanii toka ngazi ya juu kabisa ya utawala mpaka ngazi ya kata.
 
Mbona Mama Mkapa hajafanywa kitu kuchukua maflat ya ilala na kuyaita Lamada Appartment au bado ana kinga ya Uraisi wa Mkapa? na mali nyingi walizojichukulia na mkapa!! Riz1 keshanusa Watanzania ni watu wa Kusahau mapema!
<br />
<br />
"RIZ I KESHANUSA WATANZANIA NI WATU WA KUSAHAU MAPEMA" hapo ndiyo umesema kwa kifupi sana tatizo kubwa na sugu la Watanzania
 
Ni lazima Igwana ujuwe kuwa watu hapa tuko serious .....hatuleti hoja za kufikirika...au hoja zinazoongelewa magengeni uswahilini....tunakupa hoja za yanayongelewa na kweli unaona yanatokea kwenye corridors of power..yaani kwenye idara na maofisi nyeti ya serikali....!!!masuali yanazuka..

1] Imekuwaje UDA inauzwa bila hata tangazo kutolewa ...ili kama mbia apatikane kwa ushindani...

2]Imekuwaje Robert apewe umiliki wa kampuni tena kwa nguvu hata baada ya kushindwa kulipa bei chee aliyouziwa ya 1.4 Billioni..hadi expiration ya muda wa ku deposit ukafika.[amelipia milioni 250 tu kati ya hizo hadi muda unaisha]...kitaaluma angetakiwa kurudishiwa pesa yake atangazwe kutafutwa mbia mwingine.

3]Nini kilisukuma meya kwenda kuwaingiza ofisini kina robert kwa nguvu.....?

4]Ridhwani ataweza vipi kukana usharika wake na Kisena leo....

Hatujamuhukumu Ridhiwani kwa kujikwapulia UDA.[wala hatutamuhukumu yeyote iwe baba yake,mama yake wa kufikia ,shemeji yake au yeyote..ni kazi ya mahakama]...lakini its just a matter of time tutajuwa the un-touchable force behind Robert Kisena....na ijulikane wazi kuwa Rais anao watoto wengi tu ...kwaniini iwe mmoja tu anatuhumiwa kila mara..ingekuwa chuki basi na wengine pia wangechafuliwa..tusi divert attention kwa hoja za kutetea uovu...

Profesa Juma Kapuya ni mmoa wa wakurugenzi wa Simbion, hivyo yuko kwenye hilo sakata moja kwa moja kama mnunuzi
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom