Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Hii nchi ina mambo yake mengine ambayo ukiyafikiria sana unaweza kujikuta unaokota makopo hivi hivi
Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.Hii nchi ina mambo yake mengine ambayo ukiyafikiria sana unaweza kujikuta unaokota makopo hivi hivi
Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kumkumbuka Mwalimu Nyerere. Sera yake ya Ujamaa na Kujitegemea ililenga njia zote kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma ili kitakachopatikana, tukigawane kwa wote, Hali sasa ni tofauti, gap kati ya wenye nacho na wasionacho linazidi kukua. Sasa tuna makundi matatu ya nchi, Wenyenchi, Walanchi na Wananchi!.

Kwa nini Ridhiwani anajiingiza ovyo kwenye kila kasha? Je baba yake anaunga mkono hili? Kama hivyo ndivyo basi hatma yao tutaiona 2015
Wapo huku wamekusikia ...nina imani kubwa kuwa ndani ya wiki ijayo HOJA YA UDA itaibuka bungeni,,......maana huu unaoendelea sasa ni ukwapuaji.......wa mali chache zilizobakia.....

Kwa nini Ridhiwani anajiingiza ovyo kwenye kila kasha? Je baba yake anaunga mkono hili? Kama hivyo ndivyo basi hatma yao tutaiona 2015
hata mimi na wewe ni wazawa..ilitangazwa tenda ili mimi na wewe tufanye bidding???hapo ndipo naposema umeandika crap at the highest level...mtoa mada kachambua mada vizuri ila wewe umeamua kutokuelewa

Hivi huyu dogo Ridhiwani mbona wana JF huwa mnamuandama sana! Sitashangaa siku moja mtu akajitokesa na kusema kwamba ana taharifa kwamba Ridhiwani anamiliki mizinga ya Nuklia,niliwahi kusoma mahali mtu anasema eti vituo vyote vya mafuta kuanzia Ubungo mpaka Morogoro vinamilikiwa na RIDHIWANI! uki-analyise kimakini utagundua kwamba hata thread hii imeletwa hapa lengo lake hasa ni kumu-attack Ridhiwani aonekane ni mtu mwenye tamaa ya kutajirika by hooks and crooks na kibaya zaidi ni kutoa impression kwamba anatumia mgongo wa mzazi wake kujinemesha.yeye na rafiki zake - Je kuna chembe ya ukweli wowote katika huzushi huo? Haya tukija kwa sakata la Robert Kisena na UDA, nani wa kulaumiwa katika hilo tusianze kutunga stori za nchi ya kufikilika wakati hatujuhi ukweli na undani wa kuhuzwa kwa UDA, mara ngapi tunalalamika kila siku kwamba mashirika ya UMMA yahuzwe kwa wazawa na siyo wageni -leo hii kahuziwa mzawa kama tupendekezavyo inakuwa taabu tena kisa: kwa nini hauziwe mtu ambaye tunadhani yuko karibu na RIDHIWANI!, nia yangu hapa si kuwasema vibaya watu bali ni kuwaomba tujirudi tuachane na mambo ya kuzulia watu, wivu, kuwachafulia sifa binadamu wenzetu.Kama kuna mtu ana bifu na mwenzake wayamalize huko huko nje ya JF wasihanzishe thread zenye an hidden agenda ya kutaka kuwabomoa wenzao kwa hila tu. HASANTENI.
Mbona Mama Mkapa hajafanywa kitu kuchukua maflat ya ilala na kuyaita Lamada Appartment au bado ana kinga ya Uraisi wa Mkapa? na mali nyingi walizojichukulia na mkapa!! Riz1 keshanusa Watanzania ni watu wa Kusahau mapema!
hali zenu wana jamii wenzangu, hebu tuanze jadili mambo hapa. tuweke hadharani haya ambayo mimi na wewe tunayajua kuhusu huyu kijana RIDHIWANI .
maana nasoma mengi na yote yanakuwa kama vile maneno ya juu juu. tuandike vitu na kuweka ushahidi mbele. maana kama ni marafiki ridhiwani anao wengi sana. ningependa juu, haya ili tuwe sawa katika kila jambo.maswali ya msingi
1. je, kuwa na urafiki na ridhiwani ndiyo tiketi ya kuwa maskini au kutofanya biashara zako?
2. je, huyu bwana mdogo hapaswi kuwa na maisha na kuwa na marafiki?
3. je nini ambacho tatizo? amekaba au kukwapua mali ya mtu?

Hivi huyu dogo Ridhiwani mbona wana JF huwa mnamuandama sana! Sitashangaa siku moja mtu akajitokesa na kusema kwamba ana taharifa kwamba Ridhiwani anamiliki mizinga ya Nuklia,niliwahi kusoma mahali mtu anasema eti vituo vyote vya mafuta kuanzia Ubungo mpaka Morogoro vinamilikiwa na RIDHIWANI! uki-analyise kimakini utagundua kwamba hata thread hii imeletwa hapa lengo lake hasa ni kumu-attack Ridhiwani aonekane ni mtu mwenye tamaa ya kutajirika by hooks and crooks na kibaya zaidi ni kutoa impression kwamba anobert Kisena na UDA, nani wa kulaumiwa katika hilo tusianze kutunga stori za nchi ya kufikilika wakati hatujuhi ukweli na undani wa kuhuzwa kwa UDA, mara ngapi tunalalamika kila siku kwamba mashirika ya UMMA yahuzwe kwa wazawa na siyo wageni atumia mgongo wa mzazi wake kujinemesha.yeye na rafiki zake - Je kuna chembe ya ukweli wowote katika huzushi huo? Haya tukija kwa sakata la R-leo hii kahuziwa mzawa kama tupendekezavyo inakuwa taabu tena kisa: kwa nini hauziwe mtu ambaye tunadhani yuko karibu na RIDHIWANI!, nia yangu hapa si kuwasema vibaya watu bali ni kuwaomba tujirudi tuachane na mambo ya kuzulia watu, wivu, kuwachafulia sifa binadamu wenzetu.Kama kuna mtu ana bifu na mwenzake wayamalize huko huko nje ya JF wasihanzishe thread zenye an hidden agenda ya kutaka kuwabomoa wenzao kwa hila tu. HASANTENI.
huyo huyo SIMION GROUP analalamikiwa na wananchi wa ruvuma kwa kupewa monopoly ya kusafirisha mahindi kwenda arusha na dar kwa mgongo wa hifadhi ya taifa ya chakula!
..Ewee mtumwa..aliyekutuma [bwana wako] umuombe na akufunze kutumia Keyboard yako....
Hapa hakuna mtu mwenye time ya kumchukia mtu binafsi......kama ni watoto wa viongozi wako wengi ,wengine tumo nao huku....kwanini achukiwe yeye..narudia tena hakuna mwanadamu anayeweza kuhukumu ...kama hajakasimiwa kazi hiyo...na chombo pekee cha kukuhukumu ni mahakama....so haitasaidia kutuma watu waje humu na migurubaja yao kurusha taulo..mchezo huu bado ni mbishi.....
"nani wa kulaumiwa katika hilo tusianze kutunga stori za nchi ya kufikilika wakati hatujuhi ukweli na undani wa kuhuzwa kwa UDA, mara ngapi tunalalamika kila siku kwamba mashirika ya UMMA yahuzwe kwa wazawa na siyo wageni "
Hembu elewa kuwa unaoongea na watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo ni si wale ...wapambe mabongo lala....HIYO TENDA YA UDA KUUZWA ILITOKA KWENYE GAZETI GANI?? SHERIA YA TENDA HIZI NI WAZI UKISHINDWA KULIPA NDANI YA VALIDITY PERIOD UNARUDISHIWA PESA ZAKO BAADA YA KUKATWA ASILIMIA FULANI YA USUMBUFU.....inamaa tayari zowezi lote ni void kwa kuwa wameshindwa kulipia hisa zao ndani ya wakati na hata sasa........yote hatakufanyika ...hawakurudishiwa pesa zao..na zaidi wameenda mbali kuwamilikisha kampuni na tena kwa kuwafukuza menejimenti halali kihuni...hii ni kinyume kabisa cha rule of law inayohubiriwa.......
Tunataka wazawa wenye uwezo wauziwe kampuni kwa tenda za wazi na sio huu ujanja ujanja.....huu ni wizi wa mchana ..kununua kampuni yenye mali za dhamani ya bilioni 12 kwa shilingi milioni 200 tu!!!!!....mnawatafuta wananchi ubaya..