UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

cha kujiuliza threads zenye public interest kama hizi kwa nini Invisible hataki kuzifanya sticky?

kwenye sticky katujazia threads za kishabiki zaidi

asante sana Philemon kwa kutuletea hili
 
Wana Jf nimeamua kuwaletea hii Taarifa baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu Ndugu Simon Kisena ni mfanyabishara wa kubangaiza wa siku nyingi sana katika sekta ya kilimo, haswa katika zao la pamba ambapo alifanikiwa kuwa na ginneries za pamba huko kwao shinyanga,ambayo baada ya muda, biashara hiyo ikawa ngumu na mabenki yaliyokuwa yamemkopesha yakawa yanaelekea kuuza ginneries zake, ndipo ikatokea MALAIKA Ridhwan kukutana kupitia Ndugu Martin Shigela wa UVCCM, ingawa kwa sasa huyu Shigela ni paka na panya na Ridhwan, hapo nyuma walikuwa karibu sana na waliaminiana sana, na kwasababu kisena na shigela wanatoka eneo moja, akatambulishwa kwa ridhwan kwaajili ya biashara kugawa chakula cha njaa ambapo alipata tenda ya zaidi ya Tsh Bn 187 za kusafirisha chakula kutoka Iringa,Ruvuma,Rukwa.

Wakati akitambulishwa kwa ridhwan, huyu simon group alikuwa na malori machache sana aliyokuwa akitumia kwenye biashara ya pamba na hapo ndipo ridhwan akamsaidia kumhakikishia kwaa mamemneja wa mabenki kwamba hii kampuni imepewa tenda ya kusafirisha chakula nchi nzima, kwahiyo haina shida

akakopeshwa malori na wizara ya kilimo wakati huo ikiwa kwa Wassira iliamuru Simon Group kupewa kazi zote na hata zile ambazo zilikuwa zinatolewa na ofisi za wakuu wa mikoa, ridhwan alipiga simu moja kwa moja kwa RC au RAS na kuagiza apewe Simon Group kama ilivyokuwa kwa mikoa yote niliyotaja. Wafanyakazi waliokuwa pale SGR walikuwa ni kawaida kumuona Kisena akiwa na Ridhwan kwenye gari moja wakija kukagua kazi zao, na ofisi zao wakiwa pamoja saa zote hapa pembeni ya ofisi za dstv sasa, maeneo ya st peters oysterbay.Ridhwani alipewa Shares katika kampuni ya Usafirishaji hii ya Simon Group kwa Jina Lenard ambalo si la Ridhwani.

Baada ya ndugu kisena kumpa shares ridhwan kwenye kampuni ya simon group na kumnunulia nyumba ya ukoo wa marealle kwa Bilioni Moja kama zawadi kwa ajili ya kumsaidia kupata Tenda huko maeneo ya masaki na pia kumnunulia magari kadhaa ya kutumia, magari ambayo kwenye press conference yake ridhwan, aliyaita magari ya marafiki zake, yaani Robert Kisena.

Baada ya hapo Ridhwan aliendelea kurudisha fadhila kwa kumsaidia Kisena kununuaa kiwanda cha kampuni ya scandnavia cha royal princess kilicho maeneo ya mikocheni light industrial area na baadaye ikawa mchongo mzuri wa UDA

Kiwanda cha scandnavia kilikuwa kinadaiwa na benki, kwahiyo ridhwan alisaidia kupitia wafilisi, kwahiyo alisaidia kumfilisi scandanavia

Ufisadi wa UDA walikubaliana kwamba mambo yameshachafuka sana na watu wengi wameshajua uhusiano wa ridhwan na kisena, kwahiyo sasa ridhwan akamwomba waziri shukuru kawambwa amabye alikuwa waziri wa miundombinu, na ndiye alichungulia deal na kumuambia ridhwan. Huyu kawambwa ndiye akamfuata Kapuya na ambaye naye akampeleka kwa waziri wa uchukuzi, manispaa ya jiji na wabunge wengi bungeni.

Itakumbukwa Kapuya alimfata Waziri wa Uchukuzi kupitia naibu waziri Mfutakamba pia kapuya alimfata Meya masaburi kwa ajili ya deal hii,walimtumia mbunge Ester bulaya alitumiwa na Robert kasena kufanya mpango aweze kuwapa Rushwa wabunge lakimi ikagonga mwamba na leo wabunge wakatoa ukweli wote.

Wana jf kasena aliwahi kuwa mgombea kura za maoni Jimbo la Shibuda, dola na hujuma zote zilitumikia kuhakikisha huyu jamaa anateuliwa na kuwa mgombea lakini alipigwa chini na makamnda wanaopigania haki za wanyonge CDM.
 
, kwahiyo sasa ridhwan akamwomba waziri shukuru kawambwa amabye alikuwa waziri wa miundombinu,

Hadithi yako nzuri sana, ila hapo kwa Kawambwa karekebishe, pamoja na utiifu wa Kawambwa kwa familia ya Kikwete,Ridhiwan na Kawambwa hawana uhusiano wala Ridhiwan hawaezi kabisa kumsogelea Kawambwa labda iwe kwa kupiga picha ya gazeti.
 
.....Good findigs...80% ya hii taarifa ipo...na kama ningekuwa mwalimu ningekupa A......nani atakataa ukweli kuwa Kisena alipewa tenda SGR,...Na ni kweli kuwa alikingiwa kifua sana na Wassira[no waounder wassira amekuwa karibu sana]....Wassira baada ya kumpa deal Rizwan kupitia Simon Group.......naye akaona atumie fursa hiyo pia kumsaidia mwanaye ....mabarage Wassira...alimpa tenda ya Mbolea za Pamba..[mbolea aliyoletwa mtoto wa wassira ilikuwa moja ya chanzo cha mavuno mabaya kabisa ya wakulima wa Pamba kanda ya ziwa mwaka Juzi..hili sio siri]....Pale Masaki kila mtu anamkuwa mzee marealle alivyomuuzia Rizwan nyumba kwa cash 1 million dollar...na kuamua ku retire kwenda kuishi kijijini .....nadhani mwaka juzi yule mzee mkewe alifariki[nitahakiki ]...majirani pale walishangaa kapata wapi pesa yote hiyo..amabaye mstaafu au hata mtu yeyote hawezi kukataa dola milioni 1....in hard cash...
Nani atakataa ukweli wa kuuziwa kile kiwanda cha unga kilichounguaga moto...mchongo wa makampuni ya transport..etc...hata hili la UDA ,no wounder wazee kama kina IDDI SIMBA ,[Haachii asili?...kumbukeni kashfa ya mafuta ya kula na sukari],huyu meya MASABURI ...[mtandao original]....wanakosa hata busara ...na kukimbiza mafaili kama wamekuwa na wazimu....
PALE BUNGENI MMEONA PILIKA ZA ESTHER BULAYA juzi kujaribu kuwashawishi wabunge mbali mbali[and you know what ...as coincidence huyu KISENA alikuwa behind the scene hotelini kuratibu haya yote......sijui waliomtuma walifikiri kwa kuwa CHADEMA shemeji zake watamuelewa.....

YAANI NCHI HII UKIFIKIRIA SANA UNAWEZA KUFA KABLA YA WAKATI....TUNAHITAJI MKONO WA MUNGU KUVUKA!!
 
Je ni huyu huyu mmiliki wa kiwanda cha New era oil mills jijini Mwanza?kilichokuwa mali ya NCU(1984)ltd?
 
I'm just overwhelmed JWTZ, Jairo, Ngeleja, UDA sasa nyie mnaweza vipi kupigana hii conventional wars?
 
I'm just overwhelmed JWTZ, Jairo, Ngeleja, UDA sasa nyie mnaweza vipi kupigana hii conventional wars
Dah! Hii nchi ufisadi kila kona. But simple. Ni pale tuu wananchi watakapoamua including you
 
I'm just overwhelmed JWTZ, Jairo, Ngeleja, UDA sasa nyie mnaweza vipi kupigana hii conventional wars?
Tungeweza sana kama akina SlidingRoof and the likes of him wangetuunga mkono katika jitihada zetu.
 
hata mimi na wewe ni wazawa..ilitangazwa tenda ili mimi na wewe tufanye bidding???hapo ndipo naposema umeandika crap at the highest level...mtoa mada kachambua mada vizuri ila wewe umeamua kutokuelewa

Kuna mahali alipoonesha kuhusika Ridhwan na ununuzi wa UDA?
 
<br />
<br />
"Mkuki kwa nguruwe mtamu, lakini kwa binadamu mchungu". Wengine mbona tunawahukumu kwa tuhuma tu na tena kwa ushabiki mkubwa kabisa, huyu leo ndiyo tunahitaji ushahidi baada ya taarifa zote hizi? Kasheshe kubwa.
 
.....Good findigs...80% ya hii taarifa ipo...na kama ningekuwa mwalimu ningekupa A......nani atakataa ukweli kuwa Kisena alipewa tenda SGR,...Na ni kweli kuwa alikingiwa kifua sana na Wassira[no waounder wassira amekuwa karibu sana]....Wassira baada ya kumpa deal Rizwan kupitia Simon Group.......naye akaona atumie fursa hiyo pia kumsaidia mwanaye ....mabarage Wassira...alimpa tenda ya Mbolea za Pamba..[mbolea aliyoletwa mtoto wa wassira ilikuwa moja ya chanzo cha mavuno mabaya kabisa ya wakulima wa Pamba kanda ya ziwa mwaka Juzi..hili sio siri]....Pale Masaki kila mtu anamkuwa mzee marealle alivyomuuzia Rizwan nyumba kwa cash 1 million dollar...na kuamua ku retire kwenda kuishi kijijini .....nadhani mwaka juzi yule mzee mkewe alifariki[nitahakiki ]...majirani pale walishangaa kapata wapi pesa yote hiyo..amabaye mstaafu au hata mtu yeyote hawezi kukataa dola milioni 1....in hard cash...
Nani atakataa ukweli wa kuuziwa kile kiwanda cha unga kilichounguaga moto...mchongo wa makampuni ya transport..etc...hata hili la UDA ,no wounder wazee kama kina IDDI SIMBA ,[Haachii asili?...kumbukeni kashfa ya mafuta ya kula na sukari],huyu meya MASABURI ...[mtandao original]....wanakosa hata busara ...na kukimbiza mafaili kama wamekuwa na wazimu....
PALE BUNGENI MMEONA PILIKA ZA ESTHER BULAYA juzi kujaribu kuwashawishi wabunge mbali mbali[and you know what ...as coincidence huyu KISENA alikuwa behind the scene hotelini kuratibu haya yote......sijui waliomtuma walifikiri kwa kuwa CHADEMA shemeji zake watamuelewa.....

YAANI NCHI HII UKIFIKIRIA SANA UNAWEZA KUFA KABLA YA WAKATI....TUNAHITAJI MKONO WA MUNGU KUVUKA!!

Kuna dots nyingine naweza kuziunganisha hapa, though inaweza kuwa nje ya topic!!!!!! Huyu Mabarage wassira ali wahi kuteam up na Johnson Lukaza (mojawapo wa mafisadi wa EPA) kufanya biashara hiyo ya mbolea. Na in 2007 walishaenda na Johnson kama 2 times in Italy kufuatilia masuala ya mbolea. Baadae moto kuhusu Lukaza wa EPA ulipokolea urafiki huu wa mashaka ukasitishwa. Not sure as of now. No wonder kila wakati mtamsikia Wassira akibweka against us.
 
Natamani niende likizo nisisikie mambo ya TV kwa muda mrefu!!!Ili nikirudi nione how many "new news" nitakuwa nimezipita.
 
Back
Top Bottom