Uchunguzi huru: JF haina warembo

Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

wewe huna akili, you know why?.......

jf siyo mtandao wa kina maimuna ni mtandao wa members kama ni jinsia ya kike wengi ni wasomi, wanajielewa na wana fikra huru.

uzuri wa mwanamke ni mtazamo wa mwanaume kuna watu humu wanavutiwa sana na figure ya masogange lakini mimi si chaguo langu figure za hivyo.

pia kaa ukijuwa humu karibu members wote wana account zao Facebook na instagram ila wengi baada ya kuujuwa umuhimu wa jf mitandao hiyo mingine ya kusifiana ujinga au ucommenta kumfurahisha aliyeweka status yake watu wameipuuza na hapa jf wamefika.

kea mimi mtazamo wangu kuoa mwanamke ambaye si member wa jf ni zaidi ya hasara, kuna faida nyingi sana kama mkeo ni member wa hapa.
 
Wew sio bure kuna kitu hakipo sawa upstairs, maana kuna uzi mwingine nimeuona unaongea utumbo tena ukijinadi umefanya utafiti. Utafiti gan huu
 
Etiiii...sho..ga....aiseeeee!!!!!Kama unajiamini huna haja ya kutoa matusi...ni fikra tofauti tu tumboo usijenge chuki....

Nijenge chuki na ww ili inasaidie nn najiamin miaka buku na waswas kuna mmojawetu ulimtaka kakutaa ndio uneta upumba wakoo
 
Last edited by a moderator:
Hapa JF tunapata urembo wa ndani mkuu kama unataka wa mkorogo umeelekezwa vibaya.
 
Akina kaka wenyewe wa jf hawana mvuto,wabov kama Nin mahandsome wapo insta....
 
yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...jf haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na jf wao wako instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukwel.......

a woman who focusses much on appearance rather than identity has a mental disorder.research has proven that.
 
Jaman mm siyo mdada....afu hii post nimeiweka kwenye jukwaa husika sijakataa wadada wa hapa ni great thinker....nakubaliana na hlo sana ila naongelea urembo hapa siyo thkng capacity. MCHUNGUZI HURU

Mkuu Cargo wewe na MCHUNGUZI HURU ni mapacha? Mbona miandiko yenu na hitimisho lenu mnafanana sana?
Hapo mwisho umesahau ukajitambulisha kuwa wewe ni mchunguzi huru!

Samahani Lakini.
 
Last edited by a moderator:
huyu atakuwa malaya wa kutafuta wanawake kwenye mitandao subiri utongoze mwanaume mwenzako humu JF siku nkikutana atajuta
 
umeonana na wangapi hadi sasa???


Well said mkuu. Mara nyingi Wadada wa Fb au Insta huweka pics zao kujishow off tu.
 
Nijenge chuki na ww ili inasaidie nn najiamin miaka buku na waswas kuna mmojawetu ulimtaka kakutaa ndio uneta upumba wakoo

Aiseeee...kwel umenipania ila baada ya kuona pm yako natamani kutengua kauli yangu ika mko wachache tumboo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…