Uchunguzi huru: JF haina warembo

Usikute ulikutana na gube gube huko sura imemkaa kushoto ndo ukasema wote labda panaweza kuwa na ukweli fulani
 
nadhani mpaka hapo atakuwa kaelewa somo!😀😀😀😀😀😀😀😀
 
em njoo tufanye mambo yetu mrembo! achana nae huyu anaepima kina cha maji kwa miguu yote miwili!

come and shake it to me!

Umeona ee kajiskia kueka upumba wake humu ka demu wake anasura mbovu anazan wotee hehehee
 
Weka picha yako apo tuone ka we ni mzuri na waswas we ni sho.ga ai.simam ww

Etiiii...sho..ga....aiseeeee!!!!!Kama unajiamini huna haja ya kutoa matusi...ni fikra tofauti tu tumboo usijenge chuki....
 
Last edited by a moderator:
Nenda jukwaa la wakubwa kule ndio utajua


Sent from my iPhone
 

embu atume maana ya urembo? alafu urembo unaweza onekana kwenye picha.... lakini sidhani kama mahaba yanaonekanaje kwenye picha? kama yanaonekana ni vipi?
 
JF sio FB wala Insta.... Hapa watu tunajiheshimu na tunachangia mada za maana na kujifunza mengi sio kutongozana. Wewe mleta mada nenda katafute mal@aya hukoooo sio hapa

Mekupenda bure dadaangu... Afu umepotea sana jukwaani nani kakuficha???
 
Kwanza niwape hongera akina Dada wote waliopo JF, nilichogundua kwa Tanzania hii ukiona mwanamke yupo JF basi uelewa wake wa mambo uko vizuri sana, kuhusu uzuri ukweli ni kwamba JF kuna warembo wengi sana na wenye kuvutia na nimekutana nao kwa nyakati tofauti na kikubwa zaidi ni exposure waliyonayo kuhusu uchumi na mambo mengine ya jamii.
 
Etiiii...sho..ga....aiseeeee!!!!!Kama unajiamini huna haja ya kutoa matusi...ni fikra tofauti tu tumboo usijenge chuki....

Nshakupm no utume picha tuone tuone ka yako nzurii afu uje useme apa maana umetudharirisha sana ka uliekutana nae yupo ivo cio kila mtu weye
 
Last edited by a moderator:
Umeona ee kajiskia kueka upumba wake humu ka demu wake anasura mbovu anazan wotee hehehee
kapitiwa tu huyo! wala hajakutana na mrembo hata mmoja wa JF!
ngoja siku abahatishe hata mmoja, nakwambia hata mgegedo utashindwa kusimama kwa hofu!
 
Unadhani hapa JF tumekuja kuuza sura?? Hapa ni hoja, ushauri na burudani.

Unafikiri uzuri wa mwanamke ni kujionesha majapa na mati*ti nje na kuvaa nusu uchi ndio umuone mzuri???

Mwanamke kujistiri babu... Nenda FB na Insta ndio utawakuta wauza nyuchi....

Aione Da' farkhina
 
Last edited by a moderator:
Afu sasa naomba uwaombe msamaha kwani akili za wadada wa FB na Inst ni ndogo kiasi kwamba wanawaza kupiga picha na kupost basi ndo sifa yao au exposing personalities zao ndo issue kubwa waliyonayo
 
kapitiwa tu huyo! wala hajakutana na mrembo hata mmoja wa JF!
ngoja siku abahatishe hata mmoja, nakwambia hata mgegedo utashindwa kusimama kwa hofu!

umenichekesha kuna Dada nilipanga nae Promis hapa jukwaani, na ilikua issue ya kiuchumi zaidi ukweli ningemtaja lkn naheshimiana nae sana, she was cute na mtoto alikua anakokota Vogue kwa mbali sunglass duuuuuuu naomba mtoa mada aje akutane nae achanganyikiwe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…