Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Nimeipenda hii.Nahisi ntakuwa nimeeleweka kwa kiasi kidogo sanaaaaa....na kama una mtu wako hapa JF na unaamini ni mrembo ibaki kuwa hivyo.....naomba mod aifunge hii mada....
Nahisi ntakuwa nimeeleweka kwa kiasi kidogo sanaaaaa....na kama una mtu wako hapa JF na unaamini ni mrembo ibaki kuwa hivyo.....naomba mod aifunge hii mada....
Vaislay mm kakako nipe heshima yangu.....najua ww ni mrembo ndo maana kuna mkuu mmoja aliwahi kukuandikia mada kabisa akihitaji umkubalie.....kuwa na amani....sikusema wote nilisema asilimia kubwawarembo tumejaa we dogo sio mpk mtu awe na mtu wake hapa....
tena bora ifungwe...
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
Mdogo mdogo mkuu....lol vip una maslahi binafsi apo?
ngoja nipite maana naona:A S-eek::A S-eek::A S-eek:
na hapa chini sio wewe?Me Mbona mwanaume
Wakubwa pokeeni salamu nyingi sana za upendo kutoka kwangu.
Kama nilivyosema hapo mwanzo nilipotea jukwaa hili kupisha kuingia kwenye majaribu na vishawishi. Ila sasa nakaribia kuolewa (nndani ya mwaka mmoja na nusu ) so ningependa sana kupata mafunzo kutoka kwenu. Mnaweza kuona ni mbali ila pia sio mbali, pia sina jinsi kwani mwenzi yuko mbali ni hadi atakaporudi. Ninaamini hapa JF wapo watu wengi sana wenye ujuzi wa mambo mbali mbali hasa kwenye mambo ya ndoa. Kwa sasa ninaona picha zaidi na si masomo yenye mafunzo ndani yake.
Ninahitaji mafunzo kwenye mambo mengi sana hasa linapokuja swala la mume. Nimeposti huku ili kutoa uhuru wa kutumia lugha yoyote mtu atakayo.
Nifunzeni mwenzenu ndoa isijenishinda. Kama una somo zuri la ndoa lisilotumia tafsida njoo nitakuwa naandika kabisa mapoint.
Asanteni.
MBN
Tatizo wanaume wa cku hizi mnadanganyika na picha za photo point!
usipite nataka tutete kidogo..!