Najua basi...?
Mmmmmh
Unaguna nini? Ninyi si ndo mabingwa wa kumtafutia kaka yenu michepuko? Ndo yuko kuchepuka sasa hivi
Mbona we unachepuka kuliko yeye....mwache ainjoi na yeye
Ajiandae kulala hukohuko....
Huku nyumba ni Yake?
Futa kauli. Nyumba YETU sio YAKE
Na yeye ana funguo....
Autoe wapi....funguo zote unazozijua ninazo mimi
Hadi Mie Nina funguo za nyumbani kwenu kwa taarifa tu
Oooh...is that so? Kesho nabadilisha vitasa vya nyumba nzima
Nitavipata tu....
Labda sio mimi aisee....
Zile funguo Malaya zina kazi gani kwanza
Nikikukuta nakupigia kelele za mwizi walah
Na kwa nini unikute sasa
Unakuwa unatafuta nini wakati mi sipo ww mwanamke....