Uchungu wa kutoswa upo vipi

Maumivu ya kutoswa yanakuwa hivi; unakuwa kama umevuliwa nguo zote halafu umewekwa kwenye halaiki ya watu na kila unaemuona mbele yako unaona kama anakuzomea in short ni kama mtu aliyemwagiwa maji ya ukoko unajiaona kama takataka ila hayo yote utayaona iwapo tu huyo aliyekuacha mlikuwa mmejifunga na vifungo kama ameshakuzalisha,umejenga nae,ulimsomesha n.k ila kama mmejuana wiki moja tu haitauma sana.
 
dah kwa hiyo kila mtu ana maumivu yake ila wengine nasikia wanaifanyia oppurtunity sijui kivipi
 
Back
Top Bottom