establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,451
Bakora na Kuwajaza sehemu kuwafanyisha kazi za uzalishaji mali Kama kulima na kuchimba barabaraVijana ipo haja ya kutumia bakora sasa
Bakora na Kuwajaza sehemu kuwafanyisha kazi za uzalishaji mali Kama kulima na kuchimba barabaraVijana ipo haja ya kutumia bakora sasa
Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
Ukichagua utawapata wazuri kuliko hata hao wa India au VietnamKwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
MmhNa wahadhiri Ndio hovyo kabisa
Wapelekwe Ruvu wakalime bustaniBakora na Kuwajaza sehemu kuwafanyisha kazi za uzalishaji mali Kama kulima na kuchimba barabara
Na wameshazalisha mabomu mengi ya kutoshaVyuo vikuu mnatuzalishia mabomu
Na siku hizi akili zao zimeishia kwenye kupiga picha na kuweka insta, kwenda beach na outings zisizo na kichwa wala miguuVijana usharobaro mwingi kichwani weupeee