and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,218
- 39,700
Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.