Uchumi wa Viwanda: Wahitimu Bomu?

Uchumi wa Viwanda: Wahitimu Bomu?

Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
Wizi, sharo ni kweli. Siku hizi unakuta vijana vyuoni wanaibiana
 
Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
Waajiri wenyewe ndio wenye akili kama JIWE.

Unampa mtu nafasi kama ushahidi tu wakati mambo yote unafanya mwenyewe.

Anabaki kuwa mtu wa kutii tu maagizo, matamko na kutolewa kafara mambo yakiharibika wakati hakuharibu yeye.
 
Mwajiriwa ulitaka mawazo utoe wewe?
 
Kwa masikitiko makubwa nimegundua endapo tutakuja kuwa nchi ya Viwanda, huenda tukalazimika kuajiri toka nchi jirani ama toka Asia (INDIA, VIETNAM na U-CHINA). Wahitimu wetu hapa nchini inasemekana ni bomu mambo haya yanahuzunisha sana. Kijana unamuajiri lakini hajitambui ama MWIZI au SHARO kutwa INSTA kufuatilia DIAMOND na MOBETTO. Hatari sana.
Sio siri umelogwa wewe.
 
Hapa kuna ukweli, Tatizo ndio maisha ya sasa, hadi bungeni wanashinda Twitter, Instagram, Facebook,
 
Back
Top Bottom