Wale waliokuwa wanasema Bakresa anapata faida sana fursa hivyo sasa waichangamkieKampuni ya simu za Mikononi ya Vodacom imelitaarifu shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom premier ligue ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Watu si wanalalamika kuwa Bakhresa anapiga mpunga mrefu kwenye ligi yetu mimi naona bora aache tuone hao wengine maana watu wanadhani biashara ni masikharaWaende Tu.
Wazee wa haki ya matangazo wanatosha.
HAO wanaona AIBU.
Azam chukua na hyi
TFF inaendeshwa kipumb.v sana..
Azam wamelipa haki za kuonesha mpira kwa miaka kumi in lumpsum bila kujal kuwa league yetu inakuwa kila mwaka..
Alaf Voda com ndio wajipendekeze na kutoa hela za bure huku Azam wakilamba hela za matangazo na subscription fee.. League jinga hiyo
Wee ndio upepo kabisaTFF inaendeshwa kipumb.v sana..