Mimi naona mapenzi ni hisia,,ila pesa inahitajika ili kuvuta attention hasa ya mwanamke....Mwanamke kabla hajawa na hisia na wewe inabidi kumvutia ili upate attention yake na njia pekee ya kupata attention yake ni kupitia kumfurahisha,,wazungu wanasema (impress her to get her attention).
Ukishapata attention yake ndo ataanza develop hisia kwako. Ila sasa hapo ndo penye kuzingatia,,,ukiona unafanya mengi kum-impress ila ile hisia uoni ikiwa developed towards you in time achana nae, tafuta mwingine na kuhusu malaya,,wale hawana hisia,,,utamu wanausikia kama unajua kuzungusha nyonga ila baada ya hapo it’s bye bye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.