Uchawi wa Mahusiano ni pesa

Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Mwanzoni huwa wanasema hivi ila ikitokea sasa,, mtu anaanza kuhesabiwa magoli
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Tuko tofauti Sana, kwako wewe unaweza kuwa hivyo ila Kuna wengine Kama huna hela hakuna thamani ya mapenzi, mapenzi yatakuwa Kama uyoga tu, utaila Kama chakula na muda mwingine ni SUMU๐Ÿ˜‚,
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Joanah ni binti brilliant,anayejithamini ZAIDI ya mabinti wengi waliojazana MIJINI wenye mtazamo tofauti naye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Rafiki Wa Karibu na Role model wa Joanah atakuwa ni baba yake ZAIDI ya mama yake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Joanah atakuwa ni binti ambaye hajapelekwa unyago na kuchezwa na manyakanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Utani Banaa๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Umeweka emoj nyingi kinyama!!

Points 3 tu umeweka emoj 12....!!SMH
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Type hii ya wanawake bado wapo kumbe,kadili siku zinavyoenda wanazidi kupotea.
 
Kuna janamke limoja lipumbavu kabisa ambalo limeshindwa kujielewa
Mwanzo nililipenda Sana nikalithamini
Nikatengeneza nalo mahusiano

Nimelisaidia Sana kwa kila kitu
Eti limeanza kunitunishia misuli
Li sura jenyewe baya kisenge
Limebaki kulingia tako

Mara linivungie ubabe eti kisa Ni linyakyusa

Mara pafyum yangu inalisababishia kichefuchefu
Mara linikazie hug.

Pumbavu Sana moreen

Ntakupiga tukio mpaka ujione huna thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Ukiwa na utu huwezi kumjudge mtu kwa kipato. Shida ni kuwa pesa ime overshadow hekima ya watu wengi sana sikuhizi but luckily kumbe watu wenye busara still wapo.

Mtu anayempendea mtu kitu ni mnafiki kwa hisia zake. Siku pesa zikikata ghafla na upendo unaisha automatically.
 
Pesa inakupa marafiki wanafiki, pesa inakupa wapenzi fake, pesa inakupa umtakaye, pesa inakufanya ujiamini popote pale, pesa inakupa heshima.
Pesa ni sabuni ya roho
True story mkuu...Ukiwa na pesa utazungukwa na wanafiki wengi sana iwe wapenzi au marafiki. Utaona unapendwa na kukubalika ila deepdown ni sababu wananufaika kwa namna moja au ingine na hela zako.

Focus kubwa iko hapo kwenye manufaa tu, the moment maslahi hakuna utatazamwa kwa jicho tofauti sana.
 
Nimeamini uchawi wa mahusiano ni pesa.

Yaani ukiwa nazo, utabembelezwa kama mtoto mchanga; ila ukiishiwa usishangae mpenzi wako kukuita majina ya ajabu ajabu kama vile, wee mbuzi, mbwa, paka n.k

Tutafute vyanzo vya pesa wakuu, tule mema ya dunia
Kwa sababu ameshakuwa mpenzi wangu, na ameshatumia pesa zangu, then nitamuadhibu kwa mujibu wa katiba ya democrasia ya mapenzi.
 
Sijifanyi mtakatifu lakini kwangu mie naona pesa haina nafasi kubwa kwenye mahusiano

Kama kutafuta sisi wote tunazitafuta,siwezi kumdharau mpenzi kwa kumuita majina hayo uliyotaja eti kisa hana pesa ama hapo mwanzo alikuwa nazo sasa ameishiwa

Napenda mtu,utu wake kwanza sio pesa
Tuongee kwa vitendo.
wewe umeolewa na mtu wa aina gani?
Na kama hujaolewa mchumba uliyemchagua ni aina gani?kapuku asiye kitu?
 
True story mkuu...Ukiwa na pesa utazungukwa na wanafiki wengi sana iwe wapenzi au marafiki. Utaona unapendwa na kukubalika ila deepdown ni sababu wananufaika kwa namna moja au ingine na hela zako.

Focus kubwa iko hapo kwenye manufaa tu, the moment maslahi hakuna utatazamwa kwa jicho tofauti sana.
It is very true mkuu.
Mfano mkubwa ni kwa Paulo Makonda katumbuliwa watu ghafla wamemgeuka na wengine kumponda kwa kalikoroga mwenyewe.
Lakini angeshinda kwenye ubunge angesifiwa na kuitwa shujaa,great thinker,mwenye maono.
 
Hahahahah kuna watu walikunywa bia zake nyingi ila now wanamuita mzururaji tu! Life changes esp. ukivuliwa madaraka ama kuyumba kiuchumi maana watu wengi wapo kimaslahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom