Sumbawanga alibebwa ng'ombe na kupaishwa juu angani na ndege MWEWE sasa we beep au jifanye kama unajikuna tu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekua nikisikia simulizi nyingi za vibwengu......na mambo mengi chungu nzima ila.... kila nikiuliza mtu anae simulia hiyo stori anasema alisimuliwa....je kuna ukweli wowote kuhusu dhana ya kuepo kwa uchawi ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mapenzi yalimponzaa...Uchawi upo kabisa,kuna kisa kimoja kuna bibi mmoja tulikuwa tunasikia ni mchawi sasa pale kwake alikuwa ana mjukuu wake black beauty/mrembo flani hivi.Sasa kuna kijana mwenzangu alikuwa anamtaka yule binti halafu binti hana mpango kabisa.Kuna siku alijichanganya akang'oa miche ya mazao ya huyo bibi kisamba cha nyumbani kwa hasira na matusi (kwanza wewe bibi mchawi).Kilichotokea dogo aliugua Malaria iliyopanda kichwani siku ileile na mpaka leo akili yake haipo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndiyo swali la msingi. Alishuhudia? Alikuwepo?
Ulisimuliwa au kushuhudiwa ? ? msipotoshe watuSumbawanga alibebwa ng'ombe na kupaishwa juu angani na ndege MWEWE sasa we beep au jifanye kama unajikuna tu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuUchawi upo na wachawi wapo
Kuna tukio nililishuhudia kwa macho yangu,
Pale morogoro kuna nyumba ya urithi ya watoto 7 iv, lakin anaishi mtoto wa kwanza alafu ni mganga ao watoto wengine wameizira hiyo nyumba maana ukienda kudai urithi tu kesho unaamka chiz watoto watatu wamekua machiz waliobak wakaona sio kesi tumuachie tu hiyo nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app

Basi hao hata Mungu hawamwamini wanamuabudu kufuata mkumbo. Kuniota kuambatane na kulipa madeni yote ninayokudaiWapo wengi sana.. Happy new year best... Nimekuota jana usiku
Jr![]()