UCHAWI: Upo au haupo?

UCHAWI: Upo au haupo?

Jamaa mmoja mlokole alikataa kata kata hakuna uchawi , mtoto wake alikuwa na akili sana ila mchawi akakung'uta kichwa cha mtoto na kumuachia maji tu ! Piga maombi ila wapi , baba akalegeza uzi na kumpeleka kwa mtaalamu wa kienyeji na mtoto akapona . Sasa mlokole anaamini uchawi upo kwa asilimia 101 . Shikamoo ulimwengu wa roho . Plato said what we see is just photocopy of the reality , we are still in the cave we ought to get out so as to see reality .

Sent using Jamii Forums mobile app
Plato said what we see is just photocopy of the reality , we are still in the cave we ought to get out so as to see reality

Jr
 
Michezo ya wanga na wachawi shukuru Mungu hukula. ..watu wengi hulishwa nyama za watu na wa nyama kupitia ndoto kama hizo!
Ingetokea ukala kesho undeshinda vibaya huku tumbo likiwa limejaa na kujisikia hovyo hovyo tuu
njia ipi ya kuepuka ndoto za kula nyama?
 
Inategemea unasimamia upande gani wa giza ama wa nuru... Kwangu mimi uchawi una maana moja tuu... Kunikumbusha kuwa kila kitu kina upande wa pili

Jr
Hahaha mkuu giza au usiku sio uchawi lakini, ni geographical event. Kila kitu kina upande wa pili lakini siyo kama hivyo. Kuna watu humu waliomba warogwe walisubiri miaka ikapita waka hitimisha haupo uchawi.
Kuna mtu humu aliwahi kutangaza anayeweza kumroga JPM, sio kumuua afanye jambo litokee kisha ategue haikutokea.
Binafsi nasema pia uchawi haupo. Kama upo basi mimi nikiboko yao.
 
Hapana giza na nuru ni vimetumika kama mifano... Kama huamini katika Mungu basi utakuwa sawa usipoamini uchawi... Ila kama unaamini katika Mungu halafu huamini uchawi hapa kuna shida
Btw kila kitu kina formula yake... Huwezi kulazimisha gari itembee angani ama baharini.... Ama huwezi kuifanya meli itembee ardhini
Hawezi kutoka mtu from nowhere tena mtandaoni akaomba kurogwa, mitandaoni hakuna wachawi... Lakini pia uchawi haufanyi kazi kihivyo... Ndio maana kuna usemi unasema mchawi mpe mwanao

Jr
 
Unapolazimisha mm nikuamini ndipo unathibitisha kuwa ni uongo, kwa nini uandikie mate na wino upo ? ? kama kweli uchawi upo na wewe unaweza basi hapo hapo ulipo FUTA HAYA MANENO YANGU HAPA SASA HIVI NAKUPA DAKIKA 60
Sasa unachobisha ni kwamba hakuna uchawi au humu hakuna wa kufanya uchawi wa kufuta hayo maandishi?
 
Hapana giza na nuru ni vimetumika kama mifano... Kama huamini katika Mungu basi utakuwa sawa usipoamini uchawi... Ila kama unaamini katika Mungu halafu huamini uchawi hapa kuna shida
Btw kila kitu kina formula yake... Huwezi kulazimisha gari itembee angani ama baharini.... Ama huwezi kuifanya meli itembee ardhini
Hawezi kutoka mtu from nowhere tena mtandaoni akaomba kurogwa, mitandaoni hakuna wachawi... Lakini pia uchawi haufanyi kazi kihivyo... Ndio maana kuna usemi unasema mchawi mpe mwanao

Jr
Hahaha ninapoamini Mungu naamini pia yupo shetani, lakini haimaanishi shetani nimchawi. Ninaweza kuwa tofauti na wewe kiimani ingawa naamini uchawi umetajwa kwenye biblia na koriani, hatuna proof za moja kwa moja za kuthibitisha uchawi.
Mfano mtu akifa, na watu wakasema kalogwa, nini kinathibitisha kifo cha kuchawi na vifo vingine. Au kwa maneno mengine natambuaje kama nimelogwa au mtu kalogwa nikimtizama tofauti na ambaye hajalogwa. Au tunathibitisha vipi kwamba huu ni uchawi/ulozi.
 
Sasa braza hapa tofautisha vitu viwili, kuamini na kupata ithibati za uchawi... Sote tunaamini Mungu yupo je tunaweza kumuonesha kuwa huyu ndio Mungu? Na je tunaweza kuonesha imani yetu juu ya uwepo wa Mungu?

Hahaha hivyo uchawi hauthibitiki?! Sasa unaposema upo ni imani tu au kuna visible evidence za kuweza ku hakikisha hilo.
Na kwa mantiki hiyo kumbe kulogeka ni imani pia.
 
Hahaha hivyo uchawi hauthibitiki?! Sasa unaposema upo ni imani tu au kuna visible evidence za kuweza ku hakikisha hilo.
Na kwa mantiki hiyo kumbe kulogeka ni imani pia.
Nimejaribu kueleza kwa undani nikianzia na mfano wa Mungu

Jr
 
uchawi upo ila ni vigumu kuamin na kueleweshwa mpaka yakukute!,jamaa mmoja pale Tabora(inyonga) aliandikaga kwenye gari yake"MUNGU ATOSHA",huyu jamaa yeye hakuwah kuamin uchawi kama upo,kuna msukuma alikuja kumpiga kombora ikabidi jamaa azunguke tabora nzima kutembelea waganga baada ya utatuz kupitia kanisa kugonga mwamba,sasa hv ana chale mwili mzima na bado anazungukia waganga kujikinga zaidi,mala ya mwisho nimekutana ikola(tanganyika) akanidanganya kafata dagaa kigoma ila mmoja wa jamaa yake alinambia jamaa kaja kwa mganga flan maarufu sn kwa kuwa na mamba wa kutengeneza na huwa anasaidia wavuvi kuzuia mvua..uchawi upo aisee
sawa ila Inyonga ni Katavi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasiingie nchi jirani au mbali bila visa wakaishi huko

Uchawi ni jambo la kiroho zaidi na mabombadia ni vitu vya kimwili.... Mchawi hahitaji fedha wala mali kwakuwa hana matumizi navyo akitaka kula anakula akitaka kusafiri ni kufumba na kufumbua keshafika... Uchawi ni kitu cha kibinafsi sana
 
Sumbawanga noma nina na rafiki yangu tunaheshimiana ni Polis siku moja katika utani akaniambia (nanukuu) Nina mtu ananipenda lakini Mimi simpendi na ana mke Kama ningekuwa nampenda kwa dhati ningeua mke wake na watoto wote wa tatu akabakia ni wangu tu

Nikamuuliza ukiwaua si utajulikana utafia gerezani?
Akajibu
Nikitaka natuma radi inawasambaratisha wote labda mahakama ifunge radi siyo mimi na alinithibitisha uwezo huo anao bila kuhitaji msaada wowote .
Na aliniambia iwapo nitahitaji msaada kwa mtu aliyeniudhi nimwambie tumfanyizie huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu acheni uzembe, kuna vichwa visivyo zidi 5 vinahangaisha watu zaidi ya milioni 50!...........hebu onesheni uzalendo kama mnavyo jidai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom