Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
ShukranKuna utulivu na ni makazi ya roho na mazingira yake yanavutia hizo shughuli
ShukranKuna utulivu na ni makazi ya roho na mazingira yake yanavutia hizo shughuli
Karibu Ila Mada Zenyewe Huwa zinaletwa Usiku Wa mananeHodii wana jamvi mi ni mpya humu. Ila nilikua nikifatilia sana topic za mshana huwa napenda sana mada za kunifikirisha. Kama hii napata elimu na kujifunza zaidi maana ndo ulimwengu wenyewe huu na uchawi upo mpk kwenye biblia umeandikwa kwa sisi waamini wa bible. So usibishe sana kwa sababu kuna watu wana uishi.
Kitunguu swaumu pia nafanyaje, natafuna au? Nakm jibu ndio inatakiwa ule ndimu nakitunguu kwa pmj? Ni kila siku ziendazo kwa mungu au ni siku kadhaa tu?Ndio ndimu zaidi sana na kitunguu saumu
Unatafuna na ndimu unalamba hata kila siku sio mbaya hebu tafuta hii mada tiba ya kitunguu saumu au nitakutagKitunguu swaumu pia nafanyaje, natafuna au? Nakm jibu ndio inatakiwa ule ndimu nakitunguu kwa pmj? Ni kila siku ziendazo kwa mungu au ni siku kadhaa tu?
Miujiza ipo mingi mno. Hiyo sayansi inaweza ikakupa majibu ya kila Swali??????Mimi siamini katika miujiza yaani siamini Mungu wala Shetani, ila naamini katika sayansi na teknolojia
Time is a perfect teacher. When it comes you gonna understand what Mshana Jr is saying keep watchingSayansi na teknolojia ndiyo dini yangu
Ideas do come first. Ideas are intangible.Creativity, innovations and errors
Angalia mchana ulikula nini au ulishinda mazingira gani.kumbka mfano ukila chakula ambacho kwenye mfumo wa usagaji kitasumbua yaani tumbo litapata shida kusaga lazima hata pumzi itasumbua usku hivyo wakati ukihangaika kupumua ndio unaota sasa pole niulize lolote kuhusu uchawi nitakusaidia na huta kuja logwa na utapuuza kabisa 0756805540Sawa mkuu nimetoka kuota mtu ananilazimisha kula nyama tena vipande vya nyama kama sikosei ni maini,nlpostuka jasho linantoka sna ,vp maana yake nini hii?yan nimechoka hadi dakika hii sielew elew mkuu ukzngatia npo mkoan
Ni msimamo nzuri
Sio kweli hata we2 hunaushaidi wawa wachawi kulisha nyama za watu mtu.Michezo ya wanga na wachawi shukuru Mungu hukula. ..watu wengi hulishwa nyama za watu na wa nyama kupitia ndoto kama hizo!
Ingetokea ukala kesho undeshinda vibaya huku tumbo likiwa limejaa na kujisikia hovyo hovyo tuu
Hahahaaa. Mi wala hazitanikuta mda huo zitanisubiri mpk asubui maana mi sio msomaji wa usiku wa manane.Karibu Ila Mada Zenyewe Huwa zinaletwa Usiku Wa manane
Nilikula chakula cha kawaida tu,tambi na maharage,pia unamzungumziaje huyo m2 alieni nisih na Kutaka kunisokomeza kipande cha nyama .Angalia mchana ulikula nini au ulishinda mazingira gani.kumbka mfano ukila chakula ambacho kwenye mfumo wa usagaji kitasumbua yaani tumbo litapata shida kusaga lazima hata pumzi itasumbua usku hivyo wakati ukihangaika kupumua ndio unaota sasa pole niulize lolote kuhusu uchawi nitakusaidia na huta kuja logwa na utapuuza kabisa 0756805540