sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,056
Wakuu nilikua nataka tupeane habari juu ya aina mbalimbali za uchawi Ambazo hupatikana katika nchi yetu nabaadhi ya maeneo duniani na madhara yake kwa jamii
Ingawa mtu yeyote aaminie uchawi hatauona ufalme wa mbinguni haileti maana kwamba uchawi hakuna kwani umeshatajwa katika vitabu vya dini na historia za mataifa mbalimbali
Kwa leo mm nilikua nina aina chache sana
Nuksi
huu ni uchawi comon katika kila maeneo ganzani kuna ile ya mmoja mmoja na ile inayflow katika blood line. Na ile ya nyumba hadi kwa nyumba hii inatokea kama utakaa katika nyumba ilyonuksiwa basi umekwisha ni wewe na mfululizo wa bahati mbaya na majanga mpaka ukome huna utakachokiunda hata uwe na kipato cha milion kwa mwezi kama familia yenu basi hakuna litakalofanyika mtajikuta mnakosa fursa kizembe hata ambazo ulikua una uhakika nazo unaweza wewe ndio ukawa sababu ya wenzako kukosa fursa fulani mtu mwenye nuks hufikia kipindi hukata tamaa ya maisha kuna watu wanakua na maisha mazuri wananuksiwa kwa vile hawaamin uchawi hujikuta wanapoteza kimoja kimoja na .mpaka wanafikia kipindi hawana kitu
Kipapai
Kipapai ninaina ya sihiri ambayo hupatikana maeneo mengi tanzania hasa pwani ambapo mkusudiwa huangaika na maisha kila analolishika halifanyi na hivyo huangaika kwa kuhamahama katika hii dunia hakai sehem moja hufikia kipindi hukosa Armani ya maisha kabisa huushia katika madeni ndugu humuhesabu katika fungu la kukosa huwezi kumuita ukampata ukimuona leo unaweza usimuone miaka mitano na amebadilika vibaya ni zaidi ya nuksi
Mbigili
huu ni uchwi mdogo unaitwa mbigili kutokana na miba flani za mbigili zile zenye ncha nne zinazochoma
Mbgli ni rahis kujulikana na hutibika haraka katika maeneo uchawi unapatikana kama tu zongo la tanga mbigili mtu ikikupata huwa kama adhabu kwani mwili huchomachoma kama unamiiba na mkusudiwa buangaika kama mtoto mdogo
Mwangeni
Huu ni uchawi rahis kwa watu w Pwani kwa dhihaka wanauita uchawi wa 250 yaani ndio bei ya kuuzia
Huu uchawi hutumwa kwa kutumWa kw Kutumi Upepo kumwelekea mkusudiwa bila kujali umbali aliopo inatakiwa tu ujue mkusudiwa yupo wapi na upepo unaelekea wapi unaweka unga katika kucha unanuia na kuumicha bhasi mrogwa huisi kama mchanga umeingia machoni ni rahis tiba ila ukivhelewa unaweza pata mtoto wa jicho upofu au chongo mara nyingi hufanyiwa Wageni wanaovamia vijiji
Albadir
Ingawa kuna mashekhe ubwabwa husema albadiri ni dua ila sii kweli albadir ni uchawi Kwani mungu amesema aombwe kupitia majina yake ila albadiri huombwa kupitia majina ya watu waliopigana katika vita vya badr
Albadir ilikua inasomwa kwa ajili ya watu ambao hawajulikan wezi wachawi au wafitinishaji vitu kama ndimu mabisi ndimu na sindano huusishwa
Viapo na kusudio hutajwa kuna zile ziliua wezi waliokula mali na walioshirikiana nao kuna moja ilitokea mtu aliiba akafa nduguze wakachuku Zile pesa wakasoma hitima basi kila aliyekula chakula walidondoka mmoja mmoja waliokosa kuhudhuria .msiba na hitima ndio waliopona
Kuna story kuhusu mbuzi za bagamoyo sijui kama bado zipo mtu aliiba mwenyewe akaitandika albadir ya roho mbaya kumbe yule mtu hkuzila akawa ameamua
zifungia akafa yule mtu na zile mbuzi ziliporudi mwenyewe alipojaribu kuzifungia akafa kila aliyejaribu kuzishika kwa kuzifuga au kuzichinja alifariki zikaachwa zikawa zinazaliana na kutembea hovyo ilikua kitambo tokea miaka 1980s
Kwa swala la albadir wakazi wa pwani walishuhudia matukio mengi mno miaka 1980 na 1990
Pia kuna kisa cha batash wa vijibweni kama sio kibada
Sent using Jamii Forums mobile app