Cape city hivi unamjua yule Basha maarufu shabiki wa Coastal Union anaitwa Bwan Kaka?
kana humjui basi wewe Tanga huijui.
Basi wewe huijui Tanga, Je unamkumbuka Sheikh Omari Vikapu?
Huyu alikuwa na shamba lake la minazi basi kuna vjana walikwenda kuiba nazi, shambani kwake. Akatangaza na kuwapa siku saba wezi wajisalimishe la sivyo atasoma hiyo Halal Badri, wezi wakakaidi. Basi Mzee Omari Vikapu akashusha dua ya Halal Badri, kilichotokea ilikuwa ni maafa, wale vijana wote walifariki isipokuwa mmoja alisalimika, punda waliobeba zile nazi waliangamia, minazi iliyotumika kufungwa wale punda ilikauka, vyuma vilivyotumika kufulia zile nazi vilivunjika vipande vipande. aliyesalimika ni kijana mmoja aliyekwenda kujisalimisha kwa huyo mzee na kuomba radhi, lakini aliambiwa ni too late dua ishasomwa. hata hivyo alimshika kichwani na kumuombea dua. alisalimika, lakini alioza pua na mdomo na baada kuhangaika sana akapona lakini alikuwa ameharibika sura kwani sehemu ya pua na mdomo ilikuwa imeondoka na hivyo kuacha kinywa wazi, alikuwa anafunga kigozi ili kuficha meno yasionekane. watu wakawa wanamwita Omari Kigozi na shughuli zake zilikuwa ni pale Soko la Ngamiani. Naamini waliowahi kuishi hapo miaka ya 80, watakuwa wanamkumbuka.

Nina ombi.
Kama kuna mchawi yeyote humu, basi naomba anifanyie jaribio.
Naomba aniroge.

Anaitwa Hamisi Mduruma, golkipa wa Coastal Union enzi za kina Omar Zimbwe ! Alikuwa na timu yake mwenyewe na aliupenda mpira haswa, Razak Yusuf aka Careca ni moja ya products zake! Bonge la mtu ! Mungu amrehemu bwana kaka !
Aliitwa Shariff Kikapu na huyo kijana aliitwa khalfan kigozi ! Yeye aliambiwa atabakia kuwa ushahidi. Wasoma albadir wa sasa wengi ni wezi na hawana karama ! ingawa ni dhambi kubwa kusoma hiyo kwani una hukumu moja kwa moja.

Aiyaaaaa, kumbe alikushakufa!
Watu hawakawii kusema alikufa kwa UKIMWI hapa
Mie nilisimuliwa habari zake na mjomba wangu, na nilimjua kwa jina hilo la Bwan Kaka
Mimi nimemona ! Timu yake ilikuwa inafanya mazoezi shule ya msingi mkwakwani. Alikuwa na timu nzuri sana na wachezaji wake wengi walikuwa wanajiunga na Coastal wakitokea kwake, kama sikosei hata Alli Maumba na Khalid Dodo na Majisu na huyu kocha wa Timu ya Mgambo JKT alipitia kwake ! Hakuwa "Basha" bali alikuwa ni Foreman Bandari ya Tanga, sasa tabia za watu wa Bandarini zinajulikana !
Weweee ! Mambo mengine hajaribiwi oooh hoo ! Ukipigwa SHAKIZI, break ya kwanza uko Darfur tena kambi ya wakimbizi na bakuli la uji !

We mwache tu huyo Nyani Ngabu, kuna kitu anakitafuta, hajui kuna magwiji wanafuatilia huu uzi kwa karibu sana, mwambie aangalie hapo chini, atawaona.
Basi hizo sifa za ubasha atakuwa amekufa nazo kimakosa.
Basi mjomba wangu alikuwa akitusimulia khabari zake huku akimuigiza sauti yake vile anavyooongea kama anabashia vile, hadi raha, maana nilikuwa nacheeeeka mpaka basi
Acha kunitishia nyau.
Kama kuna mchawi humu na aniroge.