Uchawi niliowahi kuushuhudia!

Uchawi niliowahi kuushuhudia!

Usinikumbushe Ali Mapilau, yeye yalimkuta alifanyiwa vitimbwi na mwenzake akapika halua badala ya pilau, chezea ZONGO weye
Chonde Chonde wakuu,hebu tuache hizi imani za MAPILAU NA MAHALUA,Magufuli anasma tuingie mitaani kufanya usafi,kipindupindu kitatumaliza.
 
ngoja kwanza nikupe stori ya kweli kwenye shughuli za watu.

mie naish uswaz nusu sasa huku shughuli ni almost kila wiki. kuna katabia kale ka watu kusoma dua kwenye menu ya sherehe like wengi wanaopenda mambo ya ushirikina wanatafuta mganga wa vitabu anasoma dua kwenye vyakula kabla havija pikwa na kuandika dua nyingine kwenye maji.

sasa bana hata kama ni watu mia mbili ukapika kg 20 zinaenea kabisa manake mtu akipewa upawa mmoja tu hawez kula tena yaani vinakinaisha usipime halafu unaviona vitam mno. kumbe vimesomewa ma dua ya kiganga nyie mnakinai mnapokula.

binafsi huwa kula kwenye shughuli ni kitu cha mwisho kwangu.
Yaani wewe mi huwa nakufagilia kwa washikaji zetu ,kumbe na wewe elimu yako ya chini ya mwembe kule Uswazi .
 
Kosa kubwa alilofanya mshana ni kusita kuanzisha group la wachawi. Unaona sasa member walivyo wengi.
 
Makitu ya "longi" sana hii aisee....

JF ya enzi hizo ilikuwa tam sana....
 
uko sahihi mkuu...jamaa alikuwa anaongeza chumvi kwenye maelezo yake! Niwasahihishe tu kidogo Pama hakuwa mwembamba, alikuwa ana mwili mkubwa wa mazoezi ila alikuwa na mdogo wake anaitwa MKUSA ndio alikuwa mwembamba! Jamaa walikuwa wababe sana enzi hizo...nyumba yao ya familia ilikuwa pale barabara ya 11. Ni kweli jamaa alifia Italy last yr
Pia hakuwa mwizi wa baiskeli alikuwa

mzungu
 
Mwanzisha uzi kaenda na maji ya Pangani toka 2018 hajulikani alipo
 
ngoja kwanza nikupe stori ya kweli kwenye shughuli za watu.

mie naish uswaz nusu sasa huku shughuli ni almost kila wiki. kuna katabia kale ka watu kusoma dua kwenye menu ya sherehe like wengi wanaopenda mambo ya ushirikina wanatafuta mganga wa vitabu anasoma dua kwenye vyakula kabla havija pikwa na kuandika dua nyingine kwenye maji.

sasa bana hata kama ni watu mia mbili ukapika kg 20 zinaenea kabisa manake mtu akipewa upawa mmoja tu hawez kula tena yaani vinakinaisha usipime halafu unaviona vitam mno. kumbe vimesomewa ma dua ya kiganga nyie mnakinai mnapokula.

binafsi huwa kula kwenye shughuli ni kitu cha mwisho kwangu.
I miss you
 
Back
Top Bottom