Uchawi ndivyo unavyoanzaga hivi....

Uchawi ndivyo unavyoanzaga hivi....

Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
Hahaha you made my day
 
Nilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
umenifanya nicheke msibano ha ha ha
 
Back
Top Bottom