wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Mtani jibu lako umevuka mataa alafu kama la kichokozi hiviNilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
