Uchawi katika nyumba za kupanga

Uchawi katika nyumba za kupanga

Sijakurupuka. Ngoja nikuonyeshe
Nimetoa kisa alafu chini nimeweka na kuandika kabisa Aya chini n maoni ya wadau.
Ina mana iyo mada niliweka sehem wadau wakachangia ndo nikaona niilete na uku jf soma Kwa makin unapoona Uzi kabla ya kukosoa😂😂
 
Ooh sawaaa😃
 
Miaka tisa nyuma nilikuwa naishi Mbeya.
Basi kipindi hicho ndio nimeanza maisha hivyo kupatiwa apartment eneo la maghorofani jijini mbeya.

Si unajua mbanga za vijana, akija mgeni wako pale anatakiwa aandike anaenda kwa nani, kufanya nini na atakaa muda gani.

Yale maeneo ni karibia na chuo Cha Mzumbe, Grace college, CBE, Open university, Tia na SAUT mbeya.

Hivyo kubadilisha ikawa kawaida ila mkikosa kabisa, mnahamia Mwailubi ilikuja baadae, City lounge, Mbeya pazuri au sagura sagura Carnival.

Kelele zikaanza mpaka kijiweni pa kujitafutia ridhiki hivyo Mimi na wanangu tukashauriane tuhame.
Uzuri ukitoka kwenye premises Yao, kuna kahela kanaingia kanaitwa house allowance.

Mimi nikachugua gheto Veta ya kule juu chini ndio mnaita CCM.
Siku ya kwanza tu michanga chwaa,
Mbwa analia kichizi

Baada ya wiki, nikawa nikilala naota anakuja mtu ananiangalia ila nashindwa kufanya chochote

Hivyo nikaanza mikesha either nikiwa kwenye mambo yetuna minyau au kuangalia Tv gheto

Siku moja nikasema hili haiwezekani, nikasubiria usiku wa manane wakaja wengi.

Nikaamka kitandani nikamlenga mmoja, nikamtia kichwa,
Kumbe nikapiga kwenye pembe ya chumba, huku ikitoka sauti kama bom limelipuka.

Kuja kushtuka damu zinatoka na nundu la kutosha.
Kufika kijiweni naamriwa nirudi kwenye makazi rasmi na niwe na Dem mmoja.

Haya mambo haya yasikie tu, wale wanangu waliludishwa kila mmoja na namna yake.

Wa mwisho Dem wa kisangu kutoka mbarali alitaka kuondoka na mavuzi yake bila hivyo amuoe 🤣🤣🤣🤣
 
Mi picha linaanza nlikua natafuta chumba cha elfu 40 single ajabu madalali wakanipeleka chumba cha elfu 20 full singboad tailiz had rangi nzur mno nyumba inawapngaji 5 pamoja na mm wa 6 nikaona hapa hapa pazur si kwa jeul nikalipia mwaka mmoja madalali walikua wawili nikawapa 20 20 sa cku nilivyoamia ote majirani wananiangalia kwa jicho la uruma na wengine wanatingisha kichwa nikajisemea moyoni ndio hawa wambea wambea ila tutaoneshana na hivi nilivyo single watafurai na show kumbe wenzangu walikua wananionea huruma sa kumaliza kupanga panga vizur mwenye nyumba akanijia ni bb mjane akaanza kunipa mashart ya hapa na pale kubwa zaid la zamu ya kufagia nikasema ntatoa hela ikifika zam yangu, uxk asa kufika uxk mda kama sa kumi hivi nikaota mtu kanikaaba kila nikikukurusana nae naishiwa nguuvu nikajua hapa nakufa nikajilegeza 2fasta nikashtuka ucngizin kuangalia uku na uku sikuona kitu nikahema kwanza nikawasha taa nikasema ngoja nisilale tena nikawasha tv nikaweka cd gafla nikaanza kusikia skuna kwenye korido kama kuna mtu anaenda anasimama nikajua atakua mpangaji 2 nikatulia mara ikaanza tena yan anaenda anafika mwisho anatulia alafu akiianza tena kama anaanzia pale pale uyu atakua kalewa nn ngoja nikamcheki gafla kufungua mlango nakuta kitu kama nguo hivi au upande wa mtu unamalizikizikia kuingia ndani na mlango ukifungwa nikajua labla mama mwenye nyumba alitoka nje c nikatoka nje nikojoe nikamuona paka mweusi kakaa ukutani tukatumbuliana macho mwili ukanisisimka balaa nikajikaza uku naenda uku tunaangaliana axa cha ajabu ile kubadilisha ndalapale chooni nageuka simwon na kuna ukuta mkubwa 2 nikais kaingia kwangu nikaanza kuungia ndani kwangu kwa tahadhali kuanza kumtafuta sijamuona nikapumua mara yule mtu akaanza kupita tena nikasema asaiv stok nje nikaongeza sauti ya tivi gafla kamsingizi kazur kakaanza kulegeza macho yangu nikasema sio kwel nikawai maji kunawa uso aikusaidia nikapitiwa asa nipo ndotoni nikajiona natoka nje kamakuna mtu ananielekeza kitu yule mtu simwoni vizur nikikaza macho kumuangalia vizur kama yule bb vile anacheka kwa kebehi hivi kile kicheko chake hadi nikastuka ndo ckulala tena ad asubh cha ajabu nilipo amka nje majirani ote wameaka wananiangalia nikawasalimia bado wananiangalia kwa jicho lile nusu niwaulize nikakausha nikaoga nikasepa zangu nakumbuka cku hiyo nilala oficn balaa usiku wake sasa cku hiyo mwe mwe mwe jamani kama yupo mtu aamin uchawi aanze kuamini 2 ckulala kabisa ni vitimbwii kwa kwenda mbele mara watu wanacheka kolidon mara wanatembea mara mtu anatwanga niliomba pakuche mbona
Mwambie mshikaji next time amkaribishe wapige stori
 
Nakumbuka katika harakati za kutafuta maisha nikajikuta niko Mbeya soko matola kwenye nyumba moja ya bibi anaitwa binti wa kuchinja,hilo jina lina maana yake
Basi nikapata fremu ya duka,kabla ya yote nikaenda kumsimulia shangazi yangu kama nimepata fremu sehemu inatwa hilo jina,mwenyeji wangu alimind sana akaniambia yule bibi ni mchawi mkubwa watu wengi wanafilisika, kwa hiyo ile fremu ya duka ilikuwa inaogopwa kupangishwa na wenyeji,wakati huo mimi nilikuwa nimetokea Iringa gangilonga uzunguni kabisa
Basi nikaingia naye mkataba kwa kupitia wajukuu zake maana yeye alikuwa mzee sana. NI mnene,mweusi,ngozi imebabuka na midomo myekundu huwa wanasema sababu ya kula nyama za watu,
Nikasafisha duka nikatia mzigo,maana ilikuwa miaka 1995,

kisa kinanza tuko na braza wangu tumelala usiku nikaota nimetumbukizwa kwenye kaburi,halafu ndani ya kaburi kuna joka kubwa jeusi,ile kuangukia ndani ya shimo nikawa nimeanguka kimgongo,nilipiga kelele za nguvu sijawahi kupiga vile,hakuna aliyetoka wala kuja kuuliza kuna nini? Hatukulala usiku mzima tunaogopa
Cha maajabu bibi alikuja kuwa rafiki yangu mkubwa kila kitu kikitokea utasikia mkamuite Marasta,maana nilikuwa na dread miaka hiyo, Nikafanikiwa kimaisha kupitia duka nikapiga hela ndefu sana,badaye nikahamia dar kufungua biashara kubwa
 
Nakumbuka katika harakati za kutafuta maisha nikajikuta niko Mbeya soko matola kwenye nyumba mmoja ya bibi anaitwa binti wa kuchinja,hilo jina lina maana yake
Basi nikapata fremu ya duka,kabla ya yote nikaenda kumsimulia shangazi yangu kama nimepata fremu sehemu inatwa hilo jina,mwenyeji wangu alimind sana akaniambia yule bibi ni mchawi mkubwa watu wengi wanafilisika kwa hiyo ile fremu ya duka ilikuwa inaogopwa kupangishwa na wenyeji,wakati huo mimi nilikuwa nimetokea Iringa gangilonga uzunguni kabisa
Basi nikaingia naye mkataba kwa kupitia wajukuu zake maana yeye alikuwa mzee sana mnene,mweusi,ngozi imebabuka na midomo myekundu huwa wanasema sababu ya kula nyama za watu,
Nikasafisha duka nikatia mzigo,maana ilikuwa miaka 1995,tuko na braza wangu tumelala usiku nikaota nimetumbukizwa kwenye kaburi,halafu ndani ya kaburi kuna nyoka mkubwa mweusi,ile kuangukia ndani nikawa nimemlalia kimgongo,nilipiga kelele za nguvu sijawahi kupiga vile,hakuna aliyetoka wala kuja kuuliza kuna nini?
Cha maajabu bibi alikuja kuwa rafiki yangu mkubwa kila kitu kikitokea utasikia mkamuite Marasta,maana nilikuwa na dread miaka hiyo,nikafanikiwa nikapiga hela ndefu sana
Kulikuwa kunaitwa kwa wajane
Kabla ya chuo Cha utumishi
Kwenda kupangachamsha
 
Mm nilihamia nyumba moja asubuhi yake wakaninyoa kiduku halafu wakanipaka na breech,eeh kesho yake wakaninyoa kipara wakanipaka na mafuta,nikaone eeh siku ya tatu yatatokea makubwa na mafuta Tena nikahama
Wew jamaa umetupanga acha uongo
 
Iliwahi kunitokea kila tukila kuku ama nyama ya Ng'ombe na ikabaki kesho mnakuta baadhi ya nyama haimo so siku moja nikamwambia wife mboga ikibaki kesho musiile,kisha nikaweka sumu bila wife kujua maajabu kesho yake mimi nikadamka kwenda kazini mara nikapigwa simu mama mwenye nyumba pamoja na wajukuu wake wawili wamelazwa Hospital wamekula chakula chenye sumu
Mkuu kwanini hujaweka ya kuua kabisa
 
Mimi nililala Guest House ambayo nadhani ni ya Wachawi, kwa kifupi tu ilibidi ninywe Pombe nikalala asubuhi naamka kumbe Paka nae kalala humo nikawa najiuliza kaingiaje...anyway kwa mtu kama mimi ambaye ni dereva nimeona mengi huwa sitishiki tena na michezo ya wachawi.

Usiogope nenda ukazindikwe huko Kijijini kwenu.

Kwa wale Atheists siku ukikutana na mauzauza ndiye siku utakayoamini kuwa Mungu yupo.
Katika umri wangu huu ninaweza kusema mikoa ya pwani ikiongozwa na Tanga ina mauzauza sana kuliko mikoa ya Inland, kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi kule Mtwara Lindi wakati wa Dangote pia nimekutana sana na mambo hayo.

Mkoa wa Kigoma pia sio haba lakini Umasaini au sehemu wanaoishi Wamasai hakuna mambo ya mauzauza.

Hii ninayokupa ni fact hebu nawewe fanya research.
Sehemu yenye jamii wakorofi ambayo ukiwakorofisha wanapigana kwenye jamii kama hizo hakuna Ushirina, ila kwenye zinazojifanya Wastaarabu wapole watu wa Dini hizo jamii zinakua na roho mbaya sana na wachawi, hizo sehemu nyingi ni pwani na sehemu za Waislamu wengi.
 
Mi picha linaanza nlikua natafuta chumba cha elfu 40 single ajabu madalali wakanipeleka chumba cha elfu 20 full singboad tailiz had rangi nzur mno nyumba inawapngaji 5 pamoja na mm wa 6 nikaona hapa hapa pazur si kwa jeul nikalipia mwaka mmoja madalali walikua wawili nikawapa 20 20 sa cku nilivyoamia ote majirani wananiangalia kwa jicho la uruma na wengine wanatingisha kichwa nikajisemea moyoni ndio hawa wambea wambea ila tutaoneshana na hivi nilivyo single watafurai na show kumbe wenzangu walikua wananionea huruma sa kumaliza kupanga panga vizur mwenye nyumba akanijia ni bb mjane akaanza kunipa mashart ya hapa na pale kubwa zaid la zamu ya kufagia nikasema ntatoa hela ikifika zam yangu, uxk asa kufika uxk mda kama sa kumi hivi nikaota mtu kanikaaba kila nikikukurusana nae naishiwa nguuvu nikajua hapa nakufa nikajilegeza 2fasta nikashtuka ucngizin kuangalia uku na uku sikuona kitu nikahema kwanza nikawasha taa nikasema ngoja nisilale tena nikawasha tv nikaweka cd gafla nikaanza kusikia skuna kwenye korido kama kuna mtu anaenda anasimama nikajua atakua mpangaji 2 nikatulia mara ikaanza tena yan anaenda anafika mwisho anatulia alafu akiianza tena kama anaanzia pale pale uyu atakua kalewa nn ngoja nikamcheki gafla kufungua mlango nakuta kitu kama nguo hivi au upande wa mtu unamalizikizikia kuingia ndani na mlango ukifungwa nikajua labla mama mwenye nyumba alitoka nje c nikatoka nje nikojoe nikamuona paka mweusi kakaa ukutani tukatumbuliana macho mwili ukanisisimka balaa nikajikaza uku naenda uku tunaangaliana axa cha ajabu ile kubadilisha ndalapale chooni nageuka simwon na kuna ukuta mkubwa 2 nikais kaingia kwangu nikaanza kuungia ndani kwangu kwa tahadhali kuanza kumtafuta sijamuona nikapumua mara yule mtu akaanza kupita tena nikasema asaiv stok nje nikaongeza sauti ya tivi gafla kamsingizi kazur kakaanza kulegeza macho yangu nikasema sio kwel nikawai maji kunawa uso aikusaidia nikapitiwa asa nipo ndotoni nikajiona natoka nje kamakuna mtu ananielekeza kitu yule mtu simwoni vizur nikikaza macho kumuangalia vizur kama yule bb vile anacheka kwa kebehi hivi kile kicheko chake hadi nikastuka ndo ckulala tena ad asubh cha ajabu nilipo amka nje majirani ote wameaka wananiangalia nikawasalimia bado wananiangalia kwa jicho lile nusu niwaulize nikakausha nikaoga nikasepa zangu nakumbuka cku hiyo nilala oficn balaa usiku wake sasa cku hiyo mwe mwe mwe jamani kama yupo mtu aamin uchawi aanze kuamini 2 ckulala kabisa ni vitimbwii kwa kwenda mbele mara watu wanacheka kolidon mara wanatembea mara mtu anatwanga niliomba pakuche mbona
Chai ya baridi hii, hakuna mtu mwenye akili timamu anaeza kuelewa au kukubali ulichokiandika ndicho kilichokutokea
 
Sehemu yenye jamii wakorofi ambayo ukiwakorofisha wanapigana kwenye jamii kama hizo hakuna Ushirina, ila kwenye zinazojifanya Wastaarabu wapole watu wa Dini hizo jamii zinakua na roho mbaya sana na wachawi, hizo sehemu nyingi ni pwani na sehemu za Waislamu wengi.
Lakini Mkoa kama wa Kigoma huwezi kusema Majority ni Muslims mimi naamini kuna sababu nyingine kama vile umasikini wa kupindukia na unemployment.
 
Back
Top Bottom