Uchawi katika nyumba za kupanga

Uchawi katika nyumba za kupanga

Uzoefu kwa kiwanja nilichonunua nikajenga.
Baada ya kujenga nilipo hamia tu ndo timbwili zikaanza.
Kwanza
makundi ya popo hayajui mchana wala usiku wao wanapaa humo ndani vurugu mtindo mmoja!

Pili
Mipaka mikubwa ya kila rangi inalia milio ya kizee,base,kike kitoto upole ugali basi ni bonge la Tafrani.

Tatu
Majirani ambao kabla hujajenga walikuwa wena sana kwako lakini baada ya kujenga tu wakawa maadui zako yaani hata salamu hakuna na ukiwasalimia hawaitiki.
Kubwa na Mwisho unaitwa na wenyeji na kuwekwa kikao
Maswali
1. KWANINI UNAZUNGUSHA FENCE WATOTO WETU WATACHEZA WAPI USIKU??
2.WEWE NI MTU WA WAPI MBONA MKOROFI UMEHAMIA HAPA UNA PANDA KILA AINA YA MITI KUNA MITI MINGINE INA MADHARA KWA WATOTO WETU!
3.KWA TAARIFA YAKO MTAA HUU HAKUJA WAJI KUPITA GARI TOKA UMEKUJA WEWE GARI ZINAINGIA NA KUTOKA ZINAGONGA WATOTO WETU UKIENDELEA TUTAKUHAMISHA MTAA!
Kifupi kuna mitaa siyo ya kukaa hasa ukikuta maeneo kuna mapagale mengi na viskwata hata kama kiwanja ni cha bure uza kanunue kwingine
 
Pole sana mkuu wazee wa busara sometimes hawana mana kabisa 😂
 
UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA.
View attachment 3282299
Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku.

Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina

Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama kwenye hio nyumba.
Hizi MADA zimesha jadiliwa Sana humu jukwaani..

Naweka link hapa nenda kasome..

Uzoefu kwa kiwanja nilichonunua nikajenga.
Baada ya kujenga nilipo hamia tu ndo timbwili zikaanza.
Kwanza
makundi ya popo hayajui mchana wala usiku wao wanapaa humo ndani vurugu mtindo mmoja!

Pili
Mipaka mikubwa ya kila rangi inalia milio ya kizee,base,kike kitoto upole ugali basi ni bonge la Tafrani.

Tatu
Majirani ambao kabla hujajenga walikuwa wena sana kwako lakini baada ya kujenga tu wakawa maadui zako yaani hata salamu hakuna na ukiwasalimia hawaitiki.
Kubwa na Mwisho unaitwa na wenyeji na kuwekwa kikao
Maswali
1. KWANINI UNAZUNGUSHA FENCE WATOTO WETU WATACHEZA WAPI USIKU??
2.WEWE NI MTU WA WAPI MBONA MKOROFI UMEHAMIA HAPA UNA PANDA KILA AINA YA MITI KUNA MITI MINGINE INA MADHARA KWA WATOTO WETU!
3.KWA TAARIFA YAKO MTAA HUU HAKUJA WAJI KUPITA GARI TOKA UMEKUJA WEWE GARI ZINAINGIA NA KUTOKA ZINAGONGA WATOTO WETU UKIENDELEA TUTAKUHAMISHA MTAA!
Kifupi kuna mitaa siyo ya kukaa hasa ukikuta maeneo kuna mapagale mengi na viskwata hata kama kiwanja ni cha bure uza kanunue kwingine
Jamaa wapo kwenye MIDDLE STONE AGE wapo kwenye MEDIEVAL PERIOD

wewe upo NEW STONE AGE 🤣🤣

HAMA HUKO HARAKAA KIMBUAA
 
Mimi nililala Guest House ambayo nadhani ni ya Wachawi, kwa kifupi tu ilibidi ninywe Pombe nikalala asubuhi naamka kumbe Paka nae kalala humo nikawa najiuliza kaingiaje?...anyway kwa mtu kama mimi ambaye ni dereva nimeona mengi huwa sitishiki tena na michezo ya wachawi.

Usiogope nenda ukazindikwe huko Kijijini kwenu.

Kwa wale Atheists siku ukikutana na mauzauza ndiye siku utakayoamini kuwa Mungu yupo.
 
Uzoefu kwa kiwanja nilichonunua nikajenga.
Baada ya kujenga nilipo hamia tu ndo timbwili zikaanza.
Kwanza
makundi ya popo hayajui mchana wala usiku wao wanapaa humo ndani vurugu mtindo mmoja!

Pili
Mipaka mikubwa ya kila rangi inalia milio ya kizee,base,kike kitoto upole ugali basi ni bonge la Tafrani.

Tatu
Majirani ambao kabla hujajenga walikuwa wena sana kwako lakini baada ya kujenga tu wakawa maadui zako yaani hata salamu hakuna na ukiwasalimia hawaitiki.
Kubwa na Mwisho unaitwa na wenyeji na kuwekwa kikao
Maswali
1. KWANINI UNAZUNGUSHA FENCE WATOTO WETU WATACHEZA WAPI USIKU??
2.WEWE NI MTU WA WAPI MBONA MKOROFI UMEHAMIA HAPA UNA PANDA KILA AINA YA MITI KUNA MITI MINGINE INA MADHARA KWA WATOTO WETU!
3.KWA TAARIFA YAKO MTAA HUU HAKUJA WAJI KUPITA GARI TOKA UMEKUJA WEWE GARI ZINAINGIA NA KUTOKA ZINAGONGA WATOTO WETU UKIENDELEA TUTAKUHAMISHA MTAA!
Kifupi kuna mitaa siyo ya kukaa hasa ukikuta maeneo kuna mapagale mengi na viskwata hata kama kiwanja ni cha bure uza kanunue kwingine
Hakuna kitu kigumu kama hiko
 
Mimi nililala Guest House ambayo nadhani ni ya Wachawi, kwa kifupi tu ilibidi ninywe Pombe nikalala asubuhi naamka kumbe Paka nae kalala humo nikawa najiuliza kaingiaje...anyway kwa mtu kama mimi ambaye ni dereva nimeona mengi huwa sitishiki tena na michezo ya wachawi.

Usiogope nenda ukazindikwe huko Kijijini kwenu.

Kwa wale Atheists siku ukikutana na mauzauza ndiye siku utakayoamini kuwa Mungu yupo.
Kuna tukio la ajabu lilitokea guest siwezi kusimulia..yaani Kuna maeneo ni washenzi wachawi kabisa.. Mimi nilivyo kua sipendi MAPAKA ningedai pesa yangu ya usiku huo.
 
Katika umri wangu huu ninaweza kusema mikoa ya pwani ikiongozwa na Tanga ina mauzauza sana kuliko mikoa ya Inland, kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi kule Mtwara Lindi wakati wa Dangote pia nimekutana sana na mambo hayo.

Mkoa wa Kigoma pia sio haba lakini Umasaini au sehemu wanaoishi Wamasai hakuna mambo ya mauzauza.

Hii ninayokupa ni fact hebu nawewe fanya research.
 
Nyumba za kupanga zina mengi,kuna siku nililipa Kodi ili siku ya Pili alfajiri nihamie,siku iyo nikahamia saa kumi na moja alfajiri ili nilikimaliza kuweka vitu niwahi kazini,cha kushangaza kufungua nyumba niliolipia Kodi nikakutana na misukule umelala mule.. mwenye nyumba akaniuliza unafuata nn mapema yote hii na watu bado hawajaamka🤷Nilidai hela yangu hapo hapo laki 3 si ndogo ,anayo SS mda uo,nikampeleka Kwa balozi tukaandikishana mm nikatafuta nyumba nyingine chap Kwa haraka coz madalali hawadhindwi kitu,Ila Yule mama alichukia mno nakuniambia utaparamiwa na mizimu isiyo kuhusu
Umesimulia kama visa 100 hivi unashuhudia uchawi, iweje wewe tu mikasa yote hiyo? Kama hizi sio chai basi wewe ndo mchawi.
 
Back
Top Bottom